Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umesahau England kuna scotland

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
War news Update


WARUSI wanashambulia kwa kasi mji wa SIVERSK,kuanguka kwa mji wa Siversk itakuwa ni pigo kubwa kwa vikosi vya UKRAINE vilivyopo Lysychansk maana njia zote za kutokea zitakuwa zimefunga.

Kwa iyo option itayobaki ni kupigana mpaka kifo,kufa kwa njaa au kujisqlimisha kwa WARUSI
 
👏👏👏👏👏🇷🇺🤝🤝
 
Baada ya mashambulizi makali na kichapo kikali wavamizi Russia wameamua kukikimbia kisiwa Cha Snake islandView attachment 2277641
sawa, ila mimi nafikiri RUSSIA ni taifa la kuliamini!!! sina hakika kuwa ukraine kashinda hapo snake island!!
kwa namna ambavyo nimekuwa nikifuatilia Russia kwenye OP hii nadhani kuna mpango uko mezan !!
naomba Pro NATO shangilieni sasa hivi lakin mkubuke huenda baadae mkahudhunika zaidi kuliko furaha yenu ya SASA,
Russia inaonekana kuwa na watu makini sana.
 
Taarifa za Ukraine zinasema Urusi imefanya evacuation kwenye Snake island juzi. Mashambulizi yaliwazidia kisiwa kidogo tu lolote unalofanya pale halifichiki
 
Heshima sana mdau🤝🤝🤝🤝
 
Sauti zimeanza kupazwa,taratibu mambo huanza ,mwisho wa siku mambo yanakua kweli.
Maandamano ya kuikataa NATO Yako njiani yanakuja kwenye nchi zote Wanachama.
Maana NATO ni walengwa namba moja wa nuke za Russia.
 
Je huna aibu kusambaza hapa msimamo wa Majorie Taylor Green, mmoja wa wabaguzi wakali nchini Marekani? Anayechukiwa na Wamarekani Weusi kwa kashfa anayosambaa??
Hongera mfuasi wa Taifa Teule !
Kwa hiyo hapa alichosema ni Cha uongo?
Ama tabia yake ya ubaguzi inamnyima haki ya kuizungumzia hatari inayoweza kuifika Marekani yote?
 
Snake Isiland ni Aircraft carrier isiyoweza kuzamishwa, huo ndio umuhimu wa kile kisiwa. Russia inamiliki anga na maji hakuna faida yoyote NATO wataipata kwa Putin kukiachia
Ha ha haa umeandika ukweli kabisa.
Lakini umesahau kua,Russia inaweza kabisa kukifuta kisiwa hicho kwe ramani ya Dunia.
Kama ikiona kero lkn.
 
Akili yangu inaniambia Kuna kitu kibaya sana Urusi inaweza kufanya kwenye kisiwa hicho.
Sidhani kama itawaachia Ukraine na west wakitumie wao.
Akili inasema huenda Urusi ikafuta katika ramani ya Dunia.tena inasubiri wajijenge upya hapo.
Mwanadamu kwa asili ukimtendea jambo nae pia anatafuta njia ya kulipiza, wao wakipiga snake Island Ukrine wanaondoka,
Nao pia Russia wakikaa pale nao wanapigwa mpaka mmoja wao anatulia..

Mi naona kama Russia tuna mu over estimate sana.
 
Ha ha haa umeandika ukweli kabisa.
Lakini umesahau kua,Russia inaweza kabisa kukifuta kisiwa hicho kwe ramani ya Dunia.
Kama ikiona kero lkn.
Mwanadamu hawezi ondoa kitu alicho kiweka Mungu, labda wapaache magofu sio kuifuta kwenye ramani ya dunian yani maana bahari ipa cover..!?
Msiwe mnakalili maneno muwe mnafikiria.
 
Mzigo mwingine huoooo !!! Mrusi kazi unayo !!

The US president also announced another $800m of military aid to Kyiv

NI sawa na 1.864 Trilion Tshs. Ni kweli hii vita haiishi leo wala kesho Mrusi ajiandae kisaikologia.
 
Taarifa za Ukraine zinasema Urusi imefanya evacuation kwenye Snake island juzi. Mashambulizi yaliwazidia kisiwa kidogo tu lolote unalofanya pale halifichikiView attachment 2277895
Hivi inakuaje mtu unadanganyika eti Ukraine kamuondosha Russia pale snake Island?

Yani unajiongopea mwenyewe mpaka una amini uongo wako.
 
Akili yangu inaniambia Kuna kitu kibaya sana Urusi inaweza kufanya kwenye kisiwa hicho.
Sidhani kama itawaachia Ukraine na west wakitumie wao.
Akili inasema huenda Urusi ikafuta katika ramani ya Dunia.tena inasubiri wajijenge upya hapo.
Yes mkuu. Russia ni miongoni mwa Nchi Bora zaidi kwenye ujasusi wa vita. Kwa hiyo it's a plan

Kuna kitu kitamutokea Ukraine Cha maangamizi.

Kuondoka Snake island it's a game of war
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…