Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo ni siku ya 128 ya vita.
Ni wiki ya 18
Ni miezi 4 na wiki tatu

Ngoma bado isambe....
 
Unajihangaisha kumjibu huyo chakula
 
Tuhuma za wizi....

How is Russia stealing grain from Ukraine?​

It's very hard to track individual shipments of stolen Ukrainian grain but there is plenty of evidence that much of it goes first to Crimea.
"They take grain to the annexed Crimea first, where they transport it to Kerch or Sevastopol [ports], then they load Ukrainian grain on Russian ships and go to the Kerch Strait," says Andrii Klymenko, an expert at the Institute for Black Sea Strategic Studies in Kyiv.
 
Muizrael wa kwanza kukamatwa mateka na Russia.
The Russian army captured an Israeli mercenary who was fighting for Ukraine. He specializes in electronic warfare.
Your browser is not able to display this video.
 
Muizrael wa kwanza kukamatwa mateka na Russia.
The Russian army captured an Israeli mercenary who was fighting for Ukraine. He specializes in electronic warfare.
View attachment 2278212
Naamini ataachiwa mapema huyu. Israel inazingatia sana usalama wa raia wake na Russia haina shida na Israel, pamoja na huu mgogoro kuanza bado hawakuvunja makubaliano yao nchini Syria. Israel ataendelea kushambulia silaha za Iran zinazopitia Syria kwenda kwa wanamgambo wapinzani wa Israel na Russia hatoizuia
 
Mkuu unisamehe lakini siwezi kuona kwamba una picha kamili kuhusu maana ya "kudhibiti anga" wakati wa vita. Maana yake ni unafyeka jeshianga la adui, pamoja na vituo vyake vya mizinga / roketi za kupambana na ndegevita.
Hapo sababu katika mpangilio wa vita za kisasa mashambulio dhidi vituo vya mizinga/roketi za aina hiyo, pamoja na viwanja vya ndege, ni hatua ya kwanza. Kazi hii unahitaji kurudia mpaka unamaliza - au unashindwa kudhibiti anga.

Mfano 1967 Isareli ilfaulu kufyeka jeshianga la Misri kwa njia hii, baadaye Marekani walifaulu kuharibu jeshianga la Iraki. Baadaye walitawala anga juu ya eneo la adui waliweze kwenda walipotaka na jinsi walivyotaka. Kinyume mwaka 1980 Iraki ilishindwa kuharibu jeshianga la Iran waliposhambulia, kumbe walikosa udhibiti wa anga baadaye. Iliwapa matatizo mengi. Marekani haikuweza kudhibiti anga juu ya Vietnam Kaskazini, kwa sababu vita ilianza polepole, si kwa shambulio moja.

Kudhibiti anga si maana unapiga kila baisikeli barabarani (ungeweza..) - lakini unapata uhuru kuzunguka, kulipua madaraja, kuona na kuharibu vifaru , malori na vifaa vingine vinavyoelekea mstari wa mapigano wakati bado viko mbali.

Warusi walishindwa kufikia hali hiyo. Watazamanji walishangaa kwa nini hawakumaliza kazi hii, lakini sasa hawana uwezo kuzuia askari na vifaa kufika kwenye mstari wa mapigano.
 
Hahahahahah kisiwa chenyewe hakina ishu. Nafikiri ni muda muafaka wa kukipoteza na sarmat moja matata 😂😂😂 hao wanaojifanya wamewafurusha warusi itakuwa ni eneo lao la makaburi!
Mkuu, uniruhusu kushangaa kidogo juu ya mantiki yako. Kama kisiwa hicho hakina ishu, unavyosema, kwa nini Warusi walipeleka askari mamia na vifaa vyenye thamani kubwa kwenye kisiwa hicho? Na kusubiri mpaka wengi wamekufa, vifaa kuharibika hadi kuondoka tena?

Halafu kwa nini unataja Sarmat hapa? Sarmat ifanye nini? Yaani roketi ya Sarmat imebuniwa kwa kazi kubeba silaha za nyuklia kilomita elfu nyingi, 5,000 hadi 18,000. Ilhali kisiwa hiki kipo karibu na Urusi, ina mantiki gani kutumia Sarmat hapa?
Pia Sarmat bila bomu la nyuklia juu yake ni kipande kikubwa cha bati tu. Unafikiri kweli kwamba kisiwa hicho kina umuhimu mkubwa hadi Urusi kuanza vita ya kinyuklia? Je unaonaje matokeo ya vita ya kinyuklia kwa Urusi?

Halafu bomu la nyuklia na Sarmat ni ghali sana. Kama kisiwa hicho "hakina ishu" - kwa nini mtu yeyote atumie silaha ya gharama kubwa ??

Nashukuru ukinisaidia kuelewa mantiki yako.
 
Hizo ni 'trophies' of war...😂😂 USA iliiba gold bars huko Iraq worth of millions of dollars....mpaka Sasa USA bado inaiba mafuta huko Iraq, Syria na Libya...Ufaransa iliiba gold bars kutoka Mali...nadhani hata kutoka Burkina Fasso...Ufaransa kwa Sasa ina akiba kubwa ya dhahabu lakini Haina hata mgodi mmoja....
Ukiona mtu anazungumza kuwa nchi fulani wakati wa vita inaiba sijuil nini na Nini kutoka nchi nyingine wanayopigana nayo ujue huyo uelewa wake ni mdogo Sana au anatumika kipropaganda....Mpaka Sasa Rwanda inanufaika vilivyo na mgogoro wa DRC huku sehemu ya utajiri wake ukitokana na raslimali za DRC Kama madini, mbao na kadhalika...
Pengine umri wako ni mdogo lakini nikufahamishe tu kuwa TZ tuliwahi kuipiga Uganda...1978-1979...na Kuna vitu tulivichukua huko...naishia hapo...acheni hizo bwana nyie Pro-NATO...

NATO imeundwa na 'devils'....soma kitabu Cha THE RISE AND FALL OF GREAT EMPIRES Cha mwandishi Kennedy...ndipo utajua USA inaanguka Kama zilivyoanguka Roman empire, Persian empire, Soviet Union. na Sasa ni zamu ya Western empire...
 
Kilichotokea Kisiwani hakina tofauti na kilichotokea Bucha. Wakati wa Bucha,Russia alionyesha good will baada ya Ukraine kuonyesha kukubali mazungumzo ya amani kabla handlers wake kumzuia asiendelee na mazungumzo hayo. Russia alivyoondoka Bucha Neo nazi wakaua raia eti kuisingizia Russia kuwa eti wauaji, bahati nzuri Ukraine na neo Nazi wake wakaumbuliwa na juzi juzi wamemfukuza Mmama wao wa propaganda aliyekuwa anatunga uongo kujaribu kuficha aibu ile.

Sasa Kisiwani, West walilalamika Russia kaziba bandari wasichukue chakula. Sasa Russia kuonyesha hana nia ya Kuzuia watu wasile ngano ya Ukraine kaamua kujiondoa Kisiwani hapo, na akaacha baadhi ya zana zake! Neo Nazi wakaona hii ndiyo nafasi ya kujichukulia ujiko. Wakalipua hizo zana walizoziacha Russia na Sasa wanajisifu wamewafurusha Russia.

Kwa hiyo narudia kuandika kuwa nadhani kilichotokea Bucha ndicho kimetokea Kisiwani.

Tusemezane Ha ha haaaa!
 
Wakuu, ninashangaa kuhusu taarifa hizo kutoka Urusi. Tunajua kwamba uwongo ni jambo la kawaida vitani, tena pande zote.
Ila hapa ninashangaa habari eti waliharibu ndegevita 226 za Ukraine. Nikiangalia idadi, naona Ukraine ilikuwa na ndegevita 209 wakati wa Februari, kabla ya mapigano. Ona chanzo hapa. Hizo 209 ni pamoja na ndege ndogo 47 za mafunzo Aero L-39 Albatros ambayo haifai kwa mapigano.

Yaani wanadai wameshaharibu ndegevita idadi kushinda iliyopatikana. Hata ukiongeza ndege kadhaa kutoka Poland na Slovakia, kwa kadirio ya sasa Ukraine haina kitu tena. Ila bado wanatangaza wameharibu ndege.
Nadhani idara ya propaganda huko Urusi inahitaji kunyosha kidogo.
 
Leo zimeonyeshwa nyumba zitakazojengwa Marliapol na kugawiwa Bure kwa wananchi wote

Мариуполе показали строительство и дизайн первых домов и квартир, которые жители получат бесплатно.

😊
 

Attachments

  • IMG_20220701_164048_000.jpg
    54.2 KB · Views: 18
  • IMG_20220701_164114_333.jpg
    47.1 KB · Views: 17
  • IMG_20220701_164058_324.jpg
    75.5 KB · Views: 21
Mbona unakuja tena na ule uwongo kuhusu dhahabu ya Iraki? Hauna ukweli wowote. marekani walifanya mabaya mengi kule Iraki lakini hawakuiba dhahabu!
(Kinyume: jeshi lao lilikamata lori lenye dhahabu, watumishi wa Saddam walijaribu kuiba. MArekani walifanya utafiti na kurudisha yote Baghdad)

Alicholeta FUSO ni sahihi kabisa, tena huyu anaelewa kanuni za vita kushinda wewe. Kuiba ni marufuku, kuna mikataba ya kimataifa kibao. Inaonekana wewe bado uko zama za mawe; ukimwita "mtoto" unaonyesha tu elimu yako.

Nchi za dunia zimekubali mikataba ya Hague tangu 1899. Hivyo ni marufuku kwa askari kuiba mali katika nchi nyingine (looting), ambayo ni jinai. Kisheria tofauti ni amri ya mkuu wa jeshi anayeagiza kuchukua mali (requisitions). Hatua hii inahitaji tangazo rasmi halafu ni lazima kutoa risiti kwa vitu vinavyochululiwa, vinapaswa kufidiwa baadaye.
Tena kitu kingine ni fidia (reparations) zinazokubaliwa baada ya vita wakati wa mkataba wa amani .

Walichofanya Warusi Ukraine hadi sasa yote ni mwizi mtupu na hivyo jinai. Sheria iko wazi.

Wakifauli kuificha kama mfano wako waKongo hakuna anayeshtaki hivyo hakuna kesi. Lakini sheria iko wazi. Mahakama ya Kimataifa ya Haki ilihukumu Uganda ilipe $ milioni 325 kwa DRC kama fidia ya wizi wakati wa vita.
Achana na mawazo yako ya kishamba, Bwana, nyakati zinabadilika.
 
Kumbe generali manyota nyota wa NATO FRANC THE GREAT yupo anapitia uzi huu pendwa kimya kimya ila kwingineko ndio ana comment[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2278295
Unapigwa sebuleni unaenda kujiliza chumbani [emoji23], Ukute yupo anatumia ID nyingine kwenye huu uzi kulinda CV, maana ID mpya zipo nyingi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…