Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Hata Russia Kuna wabunge Wana lalamika Putin anawatoa kafala vijana hiyo ni kawaidaMbunge wa Marekani alalamika kuwa NATO na viongozi wao 'wa hovyo' wa Marekani wamewalazimisha waMpelekani kuwa kwenye vita na Urusi nchini Ukraine pasi na matakwa ya wamarekani.
Mbunge huyo anasema bili kubwa wanalipia kuendesha vita hivyo vya Ukraine na wanateseka na ongezeko la gharama za maisha.
Anasema ni muda muafaka raia wa Marekani waingie mabarabari ili wajiondoe ktk NATO na waepuke vita na Urusi.
View attachment 2277680View attachment 2277681View attachment 2277682
Wakamchukue babu Biden akapiganeUkrein a.k.a NATO maji yamezidi unga, kwa Sasa wanatumia polisi kusaka watu mitaani na kuwalazmisha kwenda kupigana vitani .
Mkuu naomba link niidownload hii vidioColleagues we have been debating about the Russia-Ukraine conflict for a while now.But do we really know who the bad guy is in this conflict.Yes Putin is not a Saint,but given the two evils,Russia and America,which evil would you choose.Watch this superbly compiled clip,it will give you an answer.
Mkuu naomba link niidownload hii vidio
Je wamefukuzwa kama ulivyo sema au wameondoka wenyewe maana wewe kuna post ulisema Russia wamefurushwaBBC wamesemaje? Kwahiyo Urusi bado wapo pale?
Ile february op ilipoanza, Zile packege za sunctions zilivyokuwa zinatangazwa na kila nchi nikajua Russia wameingia cha kike. Haswa ile ya kuizuia russia kufanya miamala ya kimataifa kupitia swift, benki zake kuzuiwa kufanya biashara, asset zake nje ya nchi kuwa freeze, nikajua russia ndio basi tena.
Jinsi biden alivyokuwa akitoa kauli za kishujaa, dah kumbe hamna kitu. Mara rubo ikashuka thamani kwa 100% nyingi dhidi ya dola. Ikafuatia warusi waliowekeza nje mali zao kutaifishwa au kushikiliwa na serekalai za magharibi. Ref Abromovich na chelsea yake.
Dah kwa sasa mdogo mdogo wanaufyata, mkuki umegeukia kifuani kwao, unatishia kuwachoma. Macdonald sasa inaoperate kwa jina lingine wateja ni walewale. Swift imegeuka mtego kwao. Sasa wanalipa kwa rubo [emoji16][emoji16] bidhaa iliyopaswa kulipiwa kwa dola. Wale viongozi viburi aina ya zele wamekatiwa huduma sasa ni kilio na kusaga meno huko poland nk. Maisha yao yamekuwa magumu kuliko ya warussi waliokuwa wamelengwa na vikwazo.
Credit ziende kwa Rutin rais bora tangu karne ya 18.
Dimietry Mediedev mkuu wa usalama wa taifa. Mkuu wa majeshi Shaigu. GUR, nk
Pongezi kwa pro russia wote hapa jukwaani kwa mchanfo mkubwa mnaoonyesha kupangua hija dhaifu za wale western pro.
Mkuu nimeona mengi kikubwa hali ngumu lakini tunapambana.