Magimbi, mahindi, viazi mbatata, kisamvu, mafuta ya kula, petroli/dizeli vinapatikana kwa urahisi hata ukiwa kilaza kama sio mvivu ila iPhone, gari, mtambo wa solar, CT Scan, sindano ya kukudunga, na Chanjo za TB, Polio na ndui vinakuhitaji uwe smart sana kuvipata/kuviunda.
Kuna mji huko wakat huu moto unaendelea kuwakaLeo usiku sikilizeni mziki wa Russia huko Kiev . Hawa jamaa na Irani deni lao Huwa halilali.
Duh....aisee...poleni jamani...wakimbizi hao wa Ukraine watarudi kweli lakini katika Ukraine mpya...baada ya Donbass kuchukuliwa miji inayofuatia ni Odessa, Kharkiv, Kramatorsk na baadaye Kiev....Wakimbizi wa Ukraine watarudi nchi mwao hata leo hii kama Putin akiacha kurusha makombora kwenye malls, shule, na makazi ya Wa Ukraine na akiondoa wanajeshi wa Russia wanaokalia nyumba, mashamba, na makazi yao huko Mashariki walipokimbia.
Putin, wafuasi na wapenzi wake hamtaweza ku "rewrite" historia hii ovu ya Russia.
Hebu fafanua hii paragraph zaidi, design kama sijaielewa vizuri.Kama ni hivyo kwelii si ndio angekua mstari wa mbele kuwakashifu hapa akili KU mkichwa wandugu kuna agenda inapenyezwa kimkakati.
Mawazo yako ni kama yangu mkuuKuna mji huko wakat huu moto unaendelea kuwaka
UKRO NAZI natamani malengo ya VVP yabadilike akawafyagie mpaka KIVU[emoji16]
Maana wanajiona wanaweza kumbe wapuuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
One rat at a tine comradeJapan anaenda kupoteza dollar billion 15 kwa kiherehere chake [emoji23][emoji23][emoji23] ofcourse ni unfriendly nation alieshabikia sanctions towards Russia. Pigo baya sana
Hebu fafanua hii paragraph zaidi, design kama sijaielewa vizuri.
Official acc ya jeshi la UK ya twitani nasikia wahuni wamepita nayo
[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yodachenikov
Hao ni vibaraka wao na ni lazima wakimbilie kwao..Kwa sababu hizo ndio serikari zinazowafadhili ili kuweza kutimiza matakwa yao, yaani kupitisha ajenda zao.
Turejee tukio la Tundu lisu kutaka
Kusivunjwe mikataba ya kinyonyaji ya madini na kelele zake.
wewe ni mfanyakazi wa ASALeo usiku sikilizeni mziki wa Russia huko Kiev . Hawa jamaa na Irani deni lao Huwa halilali.
Anha sasa nimekupata, hao huwa inawauma mara ya kwanza tu ka mtoto wa kike anavyotolewa "hymen" mara ya kwanza kujigi jigi... Days after anaendelea zake kufurahia show!Alinyanyaswa kijinsia akiwa mdgo na analaani kitendo hicho na kutoa ushauri wa jinsi ya kulinda watoto wa kiume.
Ila hapa n Pro Ukraine kindakindaki ( kwa maana nyingine anatetea ushoga)nadhani umepata picha.
Ushoga unatangazwa kwa njia zote za kusifia na kuuponda.