Sawa mkuu usijali, kama malengo yote ya Urusi yakitimia ndani ya huu mwezi basi mwezi ujao itaondoka ila kama yatakuwa bado hayajatimia basi itaendelea kuwepo mpaka pale itakapoona yenyewe imetosha na malengo yamefikiwa.Ndoto za.mchana ,baada ya mwezi huu Urusi out of Ukraine
kujiunga na NATO hakijakuwa ujinga kwa mtu makini. na ndiyo maana tunaona Poland na Sweeden wamejiunga majuzi. Naona Putin his days are numbered, warusi wenzake wanakaribia kumgeuka.
Mkuu kuwa mzalishaji mkubwa sio tatizo, tatizo nikuwa hicho mnachozalisha kinatosha kwa matumiz yenu?.juzi mlipoambiwa Marekani ndiyo nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji mkubwa wa Gesi mkabakia midogo wazi.
Kuna kila dalili lile kundi la wanajeshi waliokuwa wanapewa mafunzo toka 2014 limemalizwa sasa wanaokoteza marcenary na kuwafundisha Kwa muda mfupiWakuu source zangu hazina taarifa za matumaini
=======
The Ukrainian military has received less training in recent weeks, making it difficult for them to use the new weapons systems in combat against the Russian armed forces. This is reported by Foreign Poliсu, citing officials from Ukraine.
The publication notes that in Kyiv they complain that they were not provided with some of the elements necessary for the use of weapons. For example, they did not receive fire control systems from the United States. At the same time, American and European officials say they are deliberately slowing down the introduction of the HIMARS artillery system, because the Ukrainian military needs to be trained to use it.
NATO walimdanganya mwenzao ona sasa anararuliwa alafu wao nchi zao ziko salamakujiunga na NATO hakijakuwa ujinga kwa mtu makini. na ndiyo maana tunaona Poland na Sweeden wamejiunga majuzi. Naona Putin his days are numbered, warusi wenzake wanakaribia kumgeuka.
Na hapo ndipo Rubble itakapogonga 15 against.USDDunia ya sasa,malighafi na chakula ni muhimu kuliko dollar. Hii ya nafaka kwa ruble,itaihusu dunia nzima. Wale waliotarajia ruble kuanguaka,watasubiri Sana.
Rasilimali zilizopo Russia ni nyingi sana na dunia inazihitaji sana gesi pekee ni trilioni za kutosha kwa mwezi achana na mafuta na vitu vingine kuidhoofisha ile nchi sio jambo jepesi Russia inalipwa pesa nyingi sana kwa mwezi na hizo nchi zinazo ipatia Ukraine misaadaNitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.
Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
MK254 , nilikwambia utakimbia hili jukwaa ukabisha,njoo huku sasa.
Hii kauli toka vita inaanza mnaisema mlisema hawezi kupigana vita kwa mwezi, mara miezi 2 sasa naona mmefikia miaka 2Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.
Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
Mkuu unapotoa hoja mbele za watu wenye akili jaribu kuficha ujinga wako.juzi mlipoambiwa Marekani ndiyo nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji mkubwa wa Gesi mkabakia midogo wazi.
wameshakubali liwalo na liwe kuliko kumpigia magoti dikteta; wacha gesi inayompa jeuri imdodee.Every second German is afraid of freezing in the coming winter due to reduced gas supplies and rising inflation in the EU.
This is reported by Bild, citing INSA survey data.
75% of respondents called the price increase a heavy or very heavy burden, 50% reported a deterioration in their economic situation.
Inflation in the EU in June peaked for the first time since the introduction of the single currency 20 years ago, the newspaper said, which cites data from Eurostat.
Earlier, the German economy minister warned that Germany is in for a difficult time, especially in winter, and that some sectors of the country's economy could stop for a long time due to gas shortages.
View attachment 2280626