Tufafanulie vzr jumla na hasara aliyopata Russia kwenye hii operation.
Kaa chini likumbushe fuvu lako lililokosa mwelekeo kwenye mteremko, Ujiwahi kabla hujaangukia pua.
πΈHii ni US(Left) vs Vietnam (Circled) mlipotumia milongo miwili buuuuuure.
View attachment 2281426
πΈAgain, this is Afghanistan. Mlikojikusanya na wahenga wenzenu wa NATO, mkatoka patupu. NATO vs Afghanistan (Circled)
View attachment 2281428
Mwenzenu alipowaambia kua Ukubwa wa nchi kieneo hauna mahusiano hapo alikuwa anaelewa anacho kizungumza.
Pro-NATO igeni mfano wa Grand Master. Ongeeni kwa step with deep understanding ya vile vinavyotoka vichwani mwenu.
In case ulikuwa hujui, hizi mapping tunaziweza saaana tu mdau. We si una download za watu? Huku ikihitajika Illustration tunakuandalia Chap chap dk zero tu πππ
Huna hata aibu,taja hayo mataifa ambayo yanaweza kuikalisha Urusi,mwa mjibu wa NATO,walisema wameanza kujitayarisha kwa hii vita kutoka 2014,mpaka sasa hivi,Ila bado wanapigwa.
Milipuko yarindima ndani ya mji wa Urusi
Majengo yalipuka huku milipuko ikiendelea.... ====== Russia has accused Ukraine over explosions which reportedly killed three people in the city of Belgorod, near the border with Ukraine. The regional governor said the blasts hit dozens of residential buildings and air defences had been...www.jamiiforums.com
Naona mada zako hapo juu [emoji115]. Unaanzisha sana uzi wa kutafuta wadau wa kujitia moyo
Russia baba lao
Soma hapo chini map not to scale maana yake hiyo raman haijazingatiwa scale hivyo basi vipimo havipo sawa
Sijaelewa nini haswa unacholalamika kuhusu.
Umechapwa Moja ya uso, Umehama kutoka Nchi ndogo kwa Nchi kubwa sasa umeanza habari za Nchi ya mbali na Nchi ya karibu.Vietnam ilikua nchi ya mbali sana, Ukraine na Urusi ni hapo jirani tena huto tumiji ameambulia ni ile tu kwamba wakazi wa huko asilimia kubwa wanaongea Kirusi hivyo wana undugu.
Na Ukraine wamepoteza kwa kiwango gani???Mpaka sasa Mrusi amepata hasara ambayo ingekua kwa JWTZ hapangekua na jeshi pale, yaani zaidi ya inventory ya majeshi ya EAC combined, na mpaka sasa wameambulia tumiji tuchache hukoooo!!!!
Nato hii hii iliyochakazwa na Iran kule Iraq?Akosee njia aguse kataifa kamoja huko NATO kunayo hata kajirani kake hapo Latvia, au asubiri Finland aingie NATO, amekua akimchokoza sana huyo Finland, sasa aingie NATO kisha athubutu kuendelea na huo uchokozi.
NATO kuna mibabe ambayo moja tu imetosha kumkalisha Urusi, ukizingatia ameshindwa na kainchi kadogo Ukraine.
Umechapwa Moja ya uso, Umehama kutoka Nchi ndogo kwa Nchi kubwa sasa umeanza habari za Nchi ya mbali na Nchi ya karibu.
Hii Libya na Mataifa ya NATO ni pua na Mdomo. Umoja wa nchi 30 ulinengereka hapo Seven Months kumuangusha Gaddafi.
View attachment 2281644
Haya sasa ropoka lingine maana hamkosi visingizio. Nyie ni watoto sana kwenye Hoja, Wacha nikukaushie tu uendelee kujifariji.
Confirmed: The CIA is running Ukraineβs fight against Russia
(Natural News)
A report published earlier this week provides fresh evidence that the U.S. Deep State is heavily invested in Ukraine and is going all-out to prevent the country from falling into Russian hands.
Readers likely recall that despite the fact that the U.S. and the North Atlantic Treaty Organization (NATO) knew months in advance that Russia was building up its forces around Ukraine in preparation for an invasion, Washington and Brussels appeared to do little to shore up Kyivβs defenses. Once Russia sent its forces into Ukraine on Feb. 24, most outside observers figured that the Red Army would make quick work of the lesser-armed and overmatched Ukrainian army.
But shortly thereafter, out of nowhere, the Biden regime moved quickly to provide Ukraine with lethal aid even after the same people criticized then-President Donald Trump for doing the same thing during his administration. This, of course, after tens of millions of Americans learned that the Obama regime meddled in Ukraine in 2014, causing a coup, and Hunter Biden scored lucrative business deals in the corrupt country, much of which he was forced to share with his dad.
And since then, the globalists in Congress have gotten on board as well, approving billions in weapons aid and money to what was one of the most corrupt countries in all of Europe.
Now we learn that the Central Intelligence Agency (CIA) has been heavily involved in Ukraine as well, likely running operations there like the Cold War never ended.
The New York Times has now confirmed what many have suspected for some time.
βAs Russian troops press ahead with a grinding campaign to seize eastern Ukraine, the nationβs ability to resist the onslaught depends more than ever on help from the United States and its allies β including a stealthy network of commandos and spies rushing to provide weapons, intelligence and training, according to U.S. and European officials,β the Times reported.
βMuch of this work happens outside Ukraine, at bases in Germany, France and Britain, for example. But even as the Biden administration has declared it will not deploy American troops to Ukraine, some CIA personnel have continued to operate in the country secretly, mostly in the capital, Kyiv, directing much of the vast amounts of intelligence the United States is sharing with Ukrainian forces, according to current and former officials.β
Meanwhile, βa few dozen commandosβ from other NATO member countries such as Britain, Canada, France, and Lithuania have also deployed inside Ukraine, though the U.S. reportedly withdrew some 150 military instructors ahead of Russiaβs February invasion (a further indication that the U.S. and NATO were aware of what was coming). That said, βcommandos from these allies either remained or have gone in and out of the country since then, training and advising Ukrainian troops and providing an on-the-ground conduit for weapons and other aid,β the Times added, quoting three unnamed U.S. officials.
The paper said there are not many more details regarding what the CIA personnel and associated commandos are actually doing. However, the fact that they are in Ukraine at all appears to suggest that the effort to provide lethal assistance to Ukraine was not only happening secretly (and without the approval of American voters), but is much bigger in scope than previously known.
Also, having any U.S. military and intelligence personnel in the country entails huge risks, especially if any of them are captured.
Army Secretary Christine E. Wormuth offered a few details regarding the operation in May at a national security event held by the left-leaning Atlantic Council. She noted that the special ops cell was providing assistance in managing the flow of weapons and other gear into Ukraine.
βAs the Ukrainians try to move that around and evade the Russians potentially trying to target convoys, you know, we are trying to be able to help coordinate moving all of those different sort of shipments,β she said.
The globalists running Bidenβs regime are doing all they can to pick a fight with nuclear-armed Russia. Americans did not vote for this.
Andika kwa Kiswahili badala ya lugha ya "mabeberu".
Uchawi wa uchumi mkubwa wa marekani upo katika kitu kimoja tu ...nacho ni dola kuwa ndiyo pesa ya dunia basi ...hivyo hicho kitu kinaanza kupigwa vita polepole ..kama nchi za asia zikiunda pesa yao na kulazimisha manunuzi kwa hiyo pesa basi uchumi wa usa [emoji631] utapolomoka kwa kasi ya kimondo.Chukua GDP mbili (ya bara zima la Africa jumlisha na ya Russia) yathaminishe makorokoro yote unayofikiria yalipaswa kuhesabiwa katika GDP zao ili huwa hayawekwi. Hayo ni pamoja na mchicha, viazi mbatata vyako unavyolima, huduma za kuhudumia nyumba wanazotoa wake zenu na michepuko n.k Badilisha nominal GDP ya sasa ya US iwe actual na katika mfumo wa PPP ili ipungue, bado jumla ya GDP mbili za Africa na Russia hazitafika nusu ya US.
Mbona hizo ni pumba tupuNimekuvulia kofia[emoji119]
Umechapwa Moja ya uso, Umehama kutoka Nchi ndogo kwa Nchi kubwa sasa umeanza habari za Nchi ya mbali na Nchi ya karibu.
Hii Libya na Mataifa ya NATO ni pua na Mdomo. Umoja wa nchi 30 ulinengereka hapo Seven Months kumuangusha Gaddafi.
View attachment 2281644
Haya sasa ropoka lingine maana hamkosi visingizio. Nyie ni watoto sana kwenye Hoja, Wacha nikukaushie tu uendelee kujifariji.
Vietnam hawakutumia high tec yoyote kijeshi walitumia gobore tu na ak47 na ulimbo kuangamiza askari zaidi ya 60000 ya jeshi la USA je wangepewa siraha kubwa ingekuwajeVietnam ilikua nchi ya mbali sana, Ukraine na Urusi ni hapo jirani tena huto tumiji ameambulia ni ile tu kwamba wakazi wa huko asilimia kubwa wanaongea Kirusi hivyo wana undugu.
English na KISWAHILI zote ni official language kwenye ardhi ya JMT.
Jikite kwenye mada.