Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hili pambamo inatakiwa liahirishwe km Soviet alivyofanya. Wajiandae next time warudi ilingoni. Kwa sasa watopotezwa wote mpaka.kizazi Chao.
 
‼️ 🏴‍☠️ 🇺🇦 Summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

▪️ In the Slavyansk direction, the Russian Army is conducting offensive actions in the direction of Dovgenkoe – Mazanovka;

▪️ In the Bakhmut direction, Russian troops are advancing in areas
Mironovka – Luganskoye and Golmovsky – Novoluganskoye;

In the Avdiivka, Kurakhiv, Novopavlovsky and Zaporizhia directions, Russian troops fired at the AFU positions from tanks, mortars, barrel and rocket artillery. Also, the Russian Aerospace Forces carried out an air strike on the AFU facility near the Mariinsky;
 

Hivi hawa watu ambao wanaungana na kujadili jinsi ya kuijenga Upya Ukraine na kwamba zinahitajika approximately $750Bilions wapo serious??

Ukraine ambayo ipo kwenye OP ya Russia na ina azibiwa vibaya na kubomolewa, unajadiri kua itashinda na hivyo unafikiria kuijenga upya??

Au NATO wanazani ni zama zile za 1945 kuwa at the end watamu overcome Russia kama walivyofanya kwa Japan pale Yaroshima na Nagasaki??

Au confidence yao ni nini? Hawa ogopi satan 2??

NATO fully of propaganda na Zelensky ni mpuuzi zaidi kama mpaka sasa haja elewa kua USA anaitumia tu Ukraine kwa maovu
 
@T14 Armata [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni kibaraka wa Putin ndio maana raia wa Ukraine walimuondoa madarakani kwa maandamano.
 
Kimenuka uko UK boris mda wowote anabwaga manyanga narudia tena Russia ni lidude likubwa sana wakae nalo mbali , Kilichomkuta macron kwenye serikali yake nikajua boris atajifunza meisho wake ndio ivyo ana go down for good bado olaf wa germany na yeye bibi angel markel anampa ushauri mzuri tu wa kuokoa uchumi wa nchi yake yeye anawasikiliza wa marekani yani natamani hii vita ingemkuta bibi angel markel yupo madarakani NATO wangejuta
 
RUSSIA kamatia hapo hapo babaaa[emoji16][emoji23][emoji16]
Hao UMBWA c wamesema wanambadala[emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
‼️ 🇬🇧 Power is collapsing in Britain right now: Prime Minister Johnson has lost the confidence of the majority of parliamentarians from the ruling Conservative Party.
This was stated by Labor MP Meg Hillier.
The BBC reports that members of the British Cabinet plan to call on Prime Minister Johnson to resign.
Sky News reported in the afternoon that more than 30 members of the government had already resigned in a day.
 
Hata US wenyewe wanaona Biden mzinguaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…