Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilichogundua,
Pro nato wengi Wanaikubali russia kimya kimya[emoji16]
 
Yaani nilivyojua jua kuwa wayaudi walivyopigwa na hilter waliona ni Bora kuwa na mataifa mawili makubwa. Basi hata hii vita ilipo Anza niliona urussi kushindwa sio leo wa kesho

Hapo chini ni jamaa alieitwa Theodore hall ambaye alituma secret data za calculation ya critical mass for atomic bomb. Jamaa ni myaudi na alifanya hivyo kuogopo USA ingee da kuwa fascist country. So urussi kuanguka sio rahisi Kama tunavyofikiri
 
Ujerumani alikuwa ameiteka urusi sema theluji Kali ilimzingua.
 
HUMU MNANICHEKESHAGA SANA WA URUSI WABONGO MNACHUKUA VYANZO VYA HABARI KUTOKA RUSSIA NA UPANDE WA WABONGO WA UKRAIN NA US SOURCE YA HABARI ZENU NI US MNAKUJA KUBISHANA HUMU MPAKA NYUZI IMEFIKA PAGE YA 2000 MPKAKA LEO VITA HAISHII
Lete zako za CNN,BBC,dw..... Hakuna Mji uliochukuliwa, Urusi kaishiwa chakula, kaishiwa silaha, wanajeshi wamegoma, na hawana morali..... Utakuwaje na akili sehemu ya kutolea uchafu ndio unashindiliwa pipi nyama.....
 
Hapo tu ndipo nolipoikimbia History maana nikicnzia darasan ni msala bora nichomoke.
Tengeneza Visual kidogo kipindi kitavutia vinginevyo tegemea comment za wakurupukaj maana si rahisi kusoma hizo notes zooooooote af mtihani saa hiyohiyo[emoji22]
 
Si unajua mkuu kipindi kile nchi zimetoka kwenye Vita zina njaa walikuwa wanahitaji Yale makaratasi ya kuprint ili wakae sawa 🤣🤣🤣🤣
 
Escuta gringito tamos preparados.
com armamento russo tamos esperandos.
Dah! Nyimbo inatia mzuka sana kwa sisi wazalendo
NB: hapo nimeandika kwa kireno hayo maneno na sio kihispanyola,kwa kuwa lugha hizi zinaingiliana kimtindo kwahiyo nawasikia wanasemaje
Nalog off  Z
 
bila misaada Africa haiwezi kusogea, bila ARV sasa hivi maiti tungekuwa tunaziokota mabarabarani
Na bila ARV za bure tz isingekuwa hata na asilimia 5 ya wagonjwa wa ukimwi ...wewe ujui ni kwanini ARV zinatolewa bure ...wewe unadhani mzungu ni mjinga ..hata hakupe dawa za bure kwa ugonjwa kama wa ukimwi bila ya sababu ..mbona covid wanaziuza kwa mikopo ...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…