LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
wenzako wanatafuta huruma wewe unawafaria nato waliapa kuingia vitani iwapo ukraine itavamiwa ha ha ha ha ha wako wapi? Zelensky yupo za ubeleji kaficha kwe ofisi za umoja wa ulaya ha ha ha ha mavikwazo hayafanyi kazi
Wewe nimekuomba ulete ushahidi badala yake unazidi kuleta ngonjera tu hapa,leta ushahidi kwanza ya Wanajeshi wa Ukraine wakivaa nguo za kiraia na kula kona kama ulivyosema ili tuendelee na mengine,unless umeamua tuendelee na porojo zenu za "kiev imegeuka kuwa majivu tangu juzi"
 
nakukumbusha propaganda ni silaha muhimu niliambia hiki ni kifa cha urusi na mzungu mmoja huko twitahapa putin anapigwa na media za magharibu
 
Itafika wakati watakubali tu
 
Wajinga kabisa,Nini kilitokea wakati Russia amejenga umoja na Cuba na kupeleka vifaa vya kijeshi huko?Unajua USA alifanya nini?
Vifo lazima vitokee kwenye vita,ila uzuri kwenye hili la Russia watu wamepewa option,live or die fighting!
 
Nadhani propaganda imekukamata na unakuja hapa nakuamini kabisa hizo story. Vita unashinda lakini lazima hasara upate ni kawaida tu. Kumbuka Russia waliwasaidia Europe kuwatoa Hitler hao England na France walikuwa maji shingoni na zawadi yake kuchukuwa East Germany nadhani kasome history.
 
Kama kwa yale mabomu ya jana bado imesimama I salute the president. Ana mbinu za kipekee. Jana mida ya saa sita nilikuwa nafuatilia nikaona milipuko mikubwa na mingine ya kawaida nikajua kama amelenga vilipo vikosi ndo basi. Sasa kama bado vita vinaendelea SALUTE KWA UKRAINE. sasa na wao wangeweza ishambulia Moscow sijui ingekuaje.
 
Jana kiev urusi ilibiga tower hakukuwa na operation za ardhini lile bomu lilipigwa eneo flani ndaji ya ukraine
 
nakukumbusha propaganda ni silaha muhimu niliambia hiki ni kifa cha urusi na mzungu mmoja huko twitaView attachment 2135882hapa putin anapigwa na media za magharibu
Aliyekwambia hivyo uko Twitter ni mtu sio media. Uelewa wa mtu unategemeana, hakuna mtu mwelewa na ashindwe chuja vyanzo vya taarifa. Ni sawa na wale wanaopost picha za Zelensky akikagua majeshi mwaka jana kwamba ni za sasa. Zile picha niliziona the same day ameenda kukagua majeshi, akapita kwenye trench uko frontline ya Donbass. Leo hii watu wanaamini ni za vita hii.

Ghost of Kiiv hii niliikataa tangu mwanzo. Public stunts nyingine ni kutumia miss wao kapiga picha na silaha, yule si ni kama yuko location tu. Haya mambo yamezoeleka vitani, hata Marekani ile WW2 walimpelekea Elvis Presley enzi hizo akiwa maarufu sana hadi kwa sasa hakuna msanii Marekani ni maarufu compared na yeye. Hata sisi ikitokea vita hapa, hawa chawa wote, wabinua makalio na wasanii watakuwa recruited kwenye porojo.

Ila hakuna media waongo kama za Kihindi, hawa jamaa uongo sio kwenye movie tu. Nilishaacha kuwasoma hasa magazeti yao online huwa wanapondea jeshi la China hasa hao Hindustan Times. Silaha zao unakuta wanaziita never seen before, state of the art, second to none wakati za kawaida tu. Kwenye vita ya Ukraine wanaendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…