lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Unaandika kirahisi sana wanaojiuzulu UK.View attachment 2282817
MP for East Devon Simon Jupp has called on the prime minister to resign
ππππEscuta gringito tamos preparados.
com armamento russo tamos esperandos.
Dah! Nyimbo inatia mzuka sana kwa sisi wazalendo
NB: hapo nimeandika kwa kireno hayo maneno na sio kihispanyola,kwa kuwa lugha hizi zinaingiliana kimtindo kwahiyo nawasikia wanasemaje
Nalog off βZ
Yani itakuwa simu moja tu π wahuni wote ndani ni kutembezeana mkong'oto wa nderemo na vifijoUmesema kweli kabisa.
Ni kama wanasubiri TU NATO waingie na wao wataingia.
China,Iran,Syria, Korea Kaskazini,na wale jamhuri za zamani za USSR walioko mashariki na kusini wa Urusi.
Akina Kyugistan na wezake.CSTO.
Hata NATO wanalijua hili hawawezi kufanya kosa hilo.
Na kusema ukweli Kuna nchi upande wa NATO hazitaki kabisa vita na Urusi,zinakua fika kuwa USA ndio ka provoke vita hii kwa maslahi yake.Yani itakuwa simu moja tu π wahuni wote ndani ni kutembezeana mkong'oto wa nderemo na vifijo
Anatumia masaburi nyumba ya nnya kufikiriTUMIA AKILI ACHA KUTUMIA MAKALIO KUFIKIRI AU NA WEWE NI TEAM SA100 RAIS WA WATUMIA MAKARIO KUFIKIRI? Ukrain ilipigwa ndani ya week moja tu habari ilikwisha.vita inayopigwa sasa siyo na ukrain bali ni vita ya nato vs urussi
Hawataki kuhusika na kichapo cha Tsar Bombaπππ ukifuatilia kwa karibu utakuta washaomba na visa za kwenda kuishi India.Waliokua wanasema uingereza itapigana Vita ya 3 ya dunia Sijui wanajiskiaje na hili wimbi la mawaziri wa boris johson kujiuzulu mfululizo.
Sahivi wamefika 42,
Nnachokiona Hii Serikali inaanguka soon[emoji16]
Wanaogopa haswaa. Vijana wa Boris watakuwa wana mpango wa kuikimbia UK mapema kabla mzigo wa YARS haujatumwa London πππ Medvedev kashikilia remote tayari!Na kusema ukweli Kuna nchi upande wa NATO hazitaki kabisa vita na Urusi,zinakua fika kuwa USA ndio ka provoke vita hii kwa maslahi yake.
Ebu kaufufue,tujikumbushieKuna uzi uko humu kwamba russia ana uwezo wa kuziangusha serikali zote za ulaya na USA sasa kinachotokea uk naanza kuamini.
Wanaomba time-out π€£π€£π€£π€£ waambie sio Mpira wa kikapu hii mbungi Haina poo ....Hawa wanatamani Putin afanyeje?
USA iliogopa kupereka jeshi lake Berlin ili kumuondosha hitler, ni majeshi ya Russia pekee ndiyo yaliyofanya hivyo japo kwa causality kubwa Sana approx 15,000Wewe ndio una taarifa sahihi... Hii ndio battle ambayo Russia alipoteza zaidi kuliko yeyote ile Duniani.View attachment 2282456
π π πNatamani kujua uwezo wa akili yako ila ndio hivyo ni kukuombea kwa mungu akipe uwezo kichwa chako siku za usoni.. kwanza utakuwa mpenzi wa BBC au CNN , pili umeshindwa kujua kama Russia anapiga na nchi zaidi ya 30 pamoja na vikwazo vyote kugonga mwamba.
It has beganUK wanakutana na majanga mengi msimu huuView attachment 2282935
Ni kweli Berlin si mchezo, ndo sababu USA hakuwa tayari kupereka jeshi lake kule.... Ila mwamba Russia aliingia Berlin na kumsambaratisha hitler ......so hapo utagundua wachechinia wanakumbushia Ile battle ya ww2, make hakuna aliye amini Kama Kuna wakumtoa Hitler Berlin ....Berlin pasikie tu! Kuna Kuna wanaume kabisaa wenye roho za kikatili za kijeremani... Wana akili,Wana ukatili, Wana fitna, Wana pesa.
Labda wafike kinyerezi ila sio Berlin.
πππAMRI
Kesho saa 2 asbuhi kwa saa za Africa Mashariki ufike bila kukosa ofisini kwangu hapa Moscow ili nikufanyie IQ score verification kwani roughly IQ yako inasoma 27(Severe)
Russia ana waumbua sana