Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama Kuna watu walikua wanadhani Russia ni dhaifu ndo waache Sasa mawazo hayo.
Russia ni super power.
Hofu na mashaka imewatawalanEU.
 
Another one loading..


Njia pekee Kwa viongozi wa EU,NATO na USA kuepuka aibu ni kuachia ngazi au kuhukumiwa kwenye Sanduku la Kura, ingawa nyie mnaona kama wananchi wanawafukuza lakini ukweli wanashukuru wamepata sababu ya kuondokana na aibu,

Hakuna kitu kinawauma na hawakutaki ni kukubali kuwa wameshindwa na Russia kashinda

Kitakachoenda kutokea viongozi Wote watakao ingia madarakani watakubaliana na Russia na kurejesha mahusiano na pia watakubali matakwa ya Russia, kipindi ambacho wanafikiria njia mpya ya kushindana na Russia katika miaka 50-70 ijayo
 
Wengi wanona kuwa Urusi itaendelea kuona matatizo katika jeshi lake. Tukumbuke Putin alikuwa na makisio kwa jeshi lake mara 15 ya Ukraine: mwaka 2020 bilioni 61 kulinganishwa na bilioni 4 za Ukraine. Kwa pesa hiyo nyingi alipata nini? Alipaswa kukimbia Kyiv, alifaulu kusogea mbele mwanzoni kwenye pwani, sasa kwa kupoteza askari wengi anasogea mbele polepole sana katika Donbass, akitegemea hasa mizinga na grenedi za enzi za Kisovyeti.
Pamoja na hayo: vipuli muhimu wa silaha zake za kisasa alipata kutoka magharibi. Hapa sababu kwamba kifaru maarufu T-14 Armata hakifikii uwanjani.
Itakuwaje sasa?

Ona:
Is it true that in Ukraine, the Russian army is wasting more weapons and vehicles than the Russian industry can produce?
Originally Answered: Is it true that in Ucraine, the Russian army is wasting more weapons and vehicles than the Russian industry can produce?
“Ukraine”

First, Russia is decades behind in advanced military electronic components and hopelessly relies on the West for those supplies for its heavy weapons. That is now a huge problem with the sanctions in place.

Russia is also losing weapons at a rate beyond its capacity to replace. Russia is visually confirmed, by video or photo evidence, to have lost at least 800 tanks in 120 days of the war.

The real losses is over 1,500 tanks destroyed or captured. Russia cannot even manufacture 10 new tanks in a month and is losing like 200 in a month. That’s for tanks only.

Before invading Ukraine in February, the Russian Army was believed to be far stronger, much more effective, and technologically advanced. But in this war, the Ukrainian Army, despite being outnumbered more than 10-to-1 in heavy weaoons, has battered the reputation of Russia’s military.
 
Safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It does not make any sense
 
Miaka hiyo 70 Afrika itakuwa imeamka sana. Ulaya zitakuwa nchi za kawaida sana kama visiwa vya Comoros vya sasa.
 
Mkuu T14 Armata njoo utupe comments zako hapa
 
Watu hawataki hizi ngojera...watu wanataka matokeo uwanjani....Ukraine
kaishashindwa..mengine ni kujifariji na kupoteza muda tu
 
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu T14 Armata njoo utupe comments zako hapa
EMP forces zishafanyiwa majaribio miaka ya Cold war na ni rahisi kwa wenye nuclear ICBM. Sasa badala ya kutumia EMP si ni sawa na kutumia missile ikapiga kwenye silo.

Na hilo suala linajulikana ndio maana kuna mutual assured destruction. Na bado kuna nuclear deterrent triad kwamba kwenye land kuna Minuteman III zipo kwenye silos mamia ya makombora. Kwenye anga kuna B-52 Stratofortress, B-1B Lancer, B-2 stealth bomber na sasa mpya za B-21 Raider ziko na mabomu na missiles za nyuklia. Majini kuna Ohio class subs zipo na mamia ya warheads.

Alafu tunajichosha, ni mpuuzi pekee either ndani ya Russia au Marekani anaweza anzisha nuclear exchange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…