Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

I know but sio kama unavofikiria. West kwa sasa hawana huo ubavu.
Mbona mnakuwa na ushabiki ambao hauna logic na rationality jamani?Mimi naomba msiangalie hii conflict ya Russia na Ukraine in a worldly perspective only,look at it also in a spiritual perspective,mtakuwa more balanced in your thinking.Hii sio issue ya Yanga na Simba,it is more complicated than that.
 
Acha kulaumu watu fafanua hoja yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee upo kwenye dimbwi kubwa la imani nzito. Wakeup, hakuna kitu chochote in spiritual perspective. Hiyo ni imani yako tu.
 
I believe this is wishfull thinking.Usisahau kwamba the West desperately want war with Russia.This is their goal,kwa hiyo wakipata nafasi tu,they will directly fight Russia.Huu ndio mpango wao mkuu.It seems you do not know the "End Game."
Acha kujipa west hawana ubavu wakupigana na Russia kwa sasa labda baada karne 3 kupita
 

Hehehe!! Ndio mumehamia huku....kwani kosa liko wapi watu wakigegedana.
 
Dah!Kama ungefuatilia mkutano wa the WEF Davos ungenielewa.Anyway,I know the problem is that humanity is suffering from Mass Psychosis or Mass Formation Psycosis,so you cannot understand me na huna uwezo wa kunielewa.
Mzee tumekuambia nothing will happen. Hizo ni siasa tu. Bado hujakua kisiasa. Hizo unazoona ni international politics.
 
Mzee upo kwenye dimbwi kubwa la imani nzito. Wakeup, hakuna kitu chochote in spiritual perspective. Hiyo ni imani yako tu.

😂😂😂😂Kameza chuki mpaka imepitiliza.

Kiualisia west (matajiri) hapo walipo ni nguvu za mababu zetu,sasa ivi (kizazi chetu)labda na kuendelea pamoja na rasilimali zetu.

Sio mbaya wametuzidi ujanja wanakula mema ya dunia na ndivyo pia Russia anawazidi ujanja ale mema ya dunia.

Sasa ukileta mambo ya spiritual kwenye ulimwengu wa nyama hatutaelewana labda afungue uzi aelezee spiritually ni azabu kwa binadamu kivipi na kutokana na maandiko ya imani yangu yanasema.

"Mungu aliapa hata tuangamiza tena kwa maji wala moto ushahidi kaeka upinde wa mvua."

Angesema ni karma tungemuelewa.
 

Sasa hizo exhibition za nini zimeshindwa kuteka Kyev, limsafara liliwa na wabeba javelin tu, je ingekua jeshi kamili si ndio Urusi wangeisha kama senene.
 
Mambo ya udini una ng'ang'ana nayo ya nini. Huo ni ubaguzi na haukubariki. Mbona wewe hujishitukii umekomaa na udini tu. Kama huna content si usome comments tu.

Hakuna udini hapa, acha kutuvuruga

Sio nang'ang'ania ila ni kitu nimeshuhudia kote, mwanzo sikua nalijua hili, hadi pale niligundua kila ninayejadili naye huu ugomvi iwe ofisini, mtaani au hata huku social media, wale wa dini ya mwarabu wote wana mtazamo mmoja tu, wameegemea upande mmoja hakuna hata mmoja anayetumia akili zake binafsi, sijakutana hata mmoja hivi mwenye mtazamo tofauti.

Kwa mfano kwenye mpira, yaani Liverpool vs Chelsea, utakuta mashabiki waliotokea kwenye hiyo dini ila wako pande zote, lakini kwenye huu mgogoro sijui ndio mnahubiriwa huko kwamba Putin anakomoa Marekani adui wenu.
Wafuasi wa madhehebu mengine wako balanced, unawakuta pande zote mbili na tunabishana kwa hoja, ila nyie dini moja wote mko upande mmoja mumeshikilia bango la mashoga Ukraine wapigwe mabomu.

Natamani sana nikutane na walau mfuasi wa hiyo dini hata mmoja tu hivi, yaani mmoja tu mwenye mtazamo tofauti.
 
MK254 umekula lakini!? May be njaa inakusumbua.
 
Hapa kuna mengi ya hovyo yanatengenezwa....
 
Huyu MK254 ni kivuruge sana sijui kwa nini mods hawamp ban juu ya tabia yake ya kuleta mambo ya udini

Hehehe!! ndio ukweli, hata mtuondoe huku, huo ukweli utabaki kuwa kweli, natamani sana, amini yaani natamani sana ie mtaani au hata huku JF au popote ple nikutane na mfuasi wa hiyo dini mmoja tu yaani mmoja hivi mwenye mtazamo tofauti, anayetumia akili zake mwenyewe.
 
No na wala sitaki league kwenye hili.

"Understanding"

Kwenye kila kitu mtu huelewa kutokana na prior knowledge yake kichwani juu ya kile alichokisikia.

Mathanzua hizi mambo nazipata vyedi ya unavyowaza... Hao WEF, Khazars, Zionists, Globalists, Cabalists sijui Rothschilds ama Rockefellers zote nazielewa kiundani zaidi ya vile unavyofikria.

Kuna siku hapa niliwahi sema.

Kila knowledge ina some flaws, kila elim au maarifa tunayoyapata yanatoka kwa binadam kama sisi. Hakuna aliye timilifu, na katika maarifa au elimu ipo hivyo.

Hakuna elimu au maarifa yaliyo hundred percent correct. Na pale inapotokea mtu anashindwa kuzing'amua hizo spot ambazo si sahihi ndipo kunazuka watu wa aina flani.

Anajua lakini mbishi kwenye kile ambacho mwingine anakiona si sahihi.

Mtu anapofikishiwa jambo, Ubongo wake huchakata katika mazingira tofauti.
🔸 Reference to Prior knowledge juu ya kile alichokisikia
🔸Hisia zake juu ya jambo lile alilolisikia
🔸Mazingira au external influence juu ya kile alichokisikia.

So ukielewa hayo matatu yanavyoathiri uelewa utajua namna gani uchuje kila kipya unachojifunza.

To you wote walio opposite na kile fikra zako ziliko unawaona kama Psychos.

But if you are well knowledgeble in right ways basi jibidiishe katika "Curiosity" ya kila taarifa rather than flan kasema au kikundi flani kimesema.

Mdau mie Conspiracy theorist ile ile ila nina chujio ya hizo taarifa za mlengwa huo. Not all conspiracies ni ukweli na sio kila conspiracies ni Uongo.

Unachohitaji ni kutumia utashi wako kuchukua lililo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…