Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu Mathanzua kuna kitu unakijua na una shauku ya kukisema,tafadhali ongea yeyote humu atanasa mawili matatu kama chakula ya ubongo.
Usisubiri hadi Mlokozi abishe ndio useme kitu.
 
Asante kwa jibu.
Naona tunaangalia dunia kwa macho tofauti, tuone tnaweza kufika wapi.
1. Kwanza sioni askari wa Urusi wanasaidiana na majeshi ya Jamhuri mbili kutoka Donbas. Kuanza vita ni azimio la Putin, kuumbwa kwa vijamhuri hivi ni azimio lake, na mwisho wa vijamhuri utakuwa azimio lake.
2. Pili sikubali kwamba "Wanazi wa Ukraine" walilazimisha watoto na wanawake kubaki Mariupol; wala sioni kwamba jeshi la Kirusi lilijali hata kidogo lilipopiga. Masimulizi haya kuhusu "Wanazi wa Ukraine" ni propaganda; kama wako Ukraine, wako pia Urusi. Lakini pande zote hawatali, ni makundi madogo ya wafuasi wa itikadi kali.
3. Dai lako kwamba "Urusi anashusha mabomu ya wastani ya kuharibu sehemu ya juu ya nyumba bila kugusa sana basements" - si kweli. Kwanza tunajadili grenedi kutoka mizinga si mabomu. Pili grenedi hizo huwezi kulenga vile. Mkakati wao ni kutumia faida yao katika mizinga, kufunika máeneo kwenye mstari wa mapambano kwa grenedi nyingi hadi kusaga kila kitu, halafu kuingia na askari. Wakiona upinzani bado upo, wanarudia.
Ona picha hii ya Mariupol:
Hailingani na maelezo yako hata kidogo. Mkakati wa Urusi haujali watu raia, haiwezekani katika namna yao ya kuendesha vita.
Kwa silaha wanazotegemea hasa hawawezi kulenga vile unavyodai.

Nyumba hizi zilipigwa juu, chini, katikati

4. kuhusu "Marekani kushawishi washirika wengi wa Russia kujiunga NATO" - nchi gani ililazimishwa kujiunga na NATO? Walipaga foleni peke yao na kuomba waingie.
Maana Lithuania, Latvia na Estonia - Je unajua zilivamiwa mara ngapi na Urusi katika karne zilizopita? Na kulazimishwa kuwa koloni za Urusi?. Baada ya kupata uhuru 1990/91 waliogopa Urusi itarudi hivyo waliona NATO ni njia ya kuingia katika jumuiya ya hiari ya nchi zinazoteteana.
Uliza watu wa Poland: Je unajua walivamiwa mara ngapi na Urusi? Na kulazimishwa kuendelea kama nusu-koloni ya Urusi miaka mingapi?

Kaka amka katika ndoto mbaya. Mashambulio ya Putin sasa ni jaribio tena kupanusha ukoloni wa Urusi.
 
Hiyo ni operation tu Kwa mujibu wa Putin na sio vita
Nicheke au nilie ??
Basi
Tafadhali nionyeshe mwalimu au mtaalamu yeyote wa elimu ya "special operations" anayesema: poteza askari zako tu kwa sababu unawatuma na silaha zisizo bora!! Nani????
Hakuna. Kile ambacho ni muhimu katika "special operation" ni wanajeshi wako. Moyo yao, elimu yao, ujasiri wao.
 
"A dead end that offers no way out”: US-China ties are at risk of being poisoned by Washington’s “growing Chinaphobia,” Chinese Foreign Minister Wang Yi said.

As Wang held talks with US Secretary of State Antony Blinken, he told his counterpart that tensions in the China-US relationship are caused by Washington’s “misperception of China.”

🗣 “The self-contradictions and say-do gap in the US policy toward China reflect serious miscalibration of its views on the world, on China, on China-US relations, and on interests and competition. Many people thus argue that the United States is taking on growing Chinaphobia. If such threat inflation continues unchecked, the United States’ China policy will only lead to a dead-end that offers no way out,” Wang warned.
 
We should spread the word! Citizens of Berlin! A ring of steel surrounds your rotten city! We will crush all those who dare resist the will of the Red Army! Abandon your posts... Abandon your homes... abandon your city.....abondon all hope! URA!
Viktor roznov
 

Russian Navy Takes Delivery of First "Nuclear Tsunami" Submarine​



Yesterday, July 8, 2022, the Russian Navy took delivery of the first submarine capable of firing the "Poseidon" nuclear tsunami drone torpedo. No other submarine on earth has such capability and there is no defense at all against its "Poseidon" drone nuclear torpedo.
The Russian Navy submarine armed with a strategic nuclear torpedo the size of a school bus was delivered to the Kremlin this week, according to an announcement from the shipyard.
Project 09852 Belgorod is based on a Russian Oscar-class guided-cruise missile submarine that has been altered to accommodate six Poseidon nuclear torpedoes that could each be armed with a warhead of up to 100 megatons.
The submarine was delivered to the Russian Navy in a ceremony in at the Northern Fleet’s headquarters in Severodvinsk on Friday.

“The Belgorod submarine opens up new opportunities for Russia in conducting various research, allows conducting diverse scientific expeditions and rescue operations in the most remote areas of the world ocean,” according to a statement from Russian Navy chief Adm. Nikolai Anatolyevich Yevmenov.
“The ship is designed to solve diverse scientific problems, conduct search and rescue operations, and can also be used as a carrier of rescue deep-sea and autonomous unmanned underwater vehicles.”
The cut-away shown below provides readers with an understanding of the vast capabilities of this new vessel:

Mini or Midget submarines for deep sea operations - including cutting communications cables on the sea floor - are carried aboard or beneath this new sub.
Yet the most fearsome aspect of this vessel is its new "Poseidon" autonomous, nuclear drone torpedo. Take a look:


Here are the known specifications:
Length: 24 meters (79 ft) (estimate)
Diameter: 2m (6.5 ft) (estimate)
Speed: 70 knots (Reports that Poseidon can travel at very high speeds and/or uses super-caitation have been debunked).
Range:
Operating depth: >1,000 meters (3,280 ft) (reported)
Propulsion: nuclear
In 2019, the Russian Navy put out a video on Youtube, showing the torpedo being LAUNCH tested (not exploding). Here's the video:



The torpedo is carried to maybe 100 miles offshore of a target city. It could be launched much farther out to sea as well.
It is launched and commences autonomous operation. The sub which launches it does not have to remain anywhere near it.
The torpedo travels to it's programmed location at a deep depth of maybe 1 kilometer, then waits as long as it is programmed to wait . . . could be days or even weeks, allowing the sub that launched it to be safely far away, then detonates at a depth of about 1 kilometer.
At that depth, there is so much water, that even the heat of the nuclear blast will not turn ALL of the water to steam which vents harmlessly upwards. A massive amount of the water will be "pushed" by the expanding blast force and that "push" will create a Tsunami wave, traveling toward the target coastline.
As the depth of water gets shallow approaching the coastline, the water piles-up on itself, reaching a projected height of up to FIVE HUNDRED METERS (1500 feet) above the typical ocean surface- and slams ashore at about 600 MPH, smashing absolutely everything in its path.
Entire cities would be knocked down and totally flooded by such a wave.
Worse, because the wave was caused by a thermonuclear explosion, all the water is radioactive. Once that water comes ashore, the radiation levels from the flooding will be so high, that nothing will be able to survive and nothing will be able to enter into the flooded area for hundreds of years.
So ferocious is this new weapons system, that, if detonated off the Atlantic coast of the United Kingdom, it could submerge the entire British Isles, wiping out every living thing, and making the entire UK uninhabitable for hundreds of years.
With the ongoing troubles between Russia and Ukraine, and with the US and UK using NATO to supply weapons to Ukraine to kill Russians, the Russians are getting aggravated to the point where, on Russian Television, they told their citizens that just one Poseidon drone torpedo could sink the UK into the sea, killing every living thing. Here is that video from Russian TV:



Now, imagine they detonated one of these off Washington, DC, or New York City, or Boston . . . or all of them?
Imagine if they detonated one of these off Los Angeles, or San Francisco . . . or both?
There is no defense against this type of weapon. And there would be no surviving its effects.
Now that Russia actually has an operational submarine capable of launching this now-tested and operations nuclear drone torpedo, maybe picking a fight with Russia over Ukraine is not such a good idea for the Untied States.
The US has clearly fallen in the arms race. Yes, we have about 6200 nuclear warheads, but Russia has hypersonic missiles and we do not. Russia has this nuclear drone torpedo and we do not.
Looks to many people that if war breaks out, Russia survives . . . and we . . . . do not.
 
I wish mngeelewa uhusiano Kati ya Vita ya Ukraine na Russia na Mungu.Anyway kwa vile hamtaki Mungu ahusishwe kwenye mambo ambayo anahusika kwa njia moja au nyingine,nimeacha.Nashangaa kwa nini watu mnamchukia Mungu kiasi hicho.
Mdau usitusemee kitu ambacho hatujakisema, hilo la kumpinga Muumba hakuna aliye lisema. Ulichopingwa ni kuhusu madai yako ya "End game" kuhusu NATO hapo Ukraine.

Na ulipingwa kwa hoja tanabaishi, ungekuwa muungwana ungezipangua hizo hoja kuliko kutusingizia kua tunamkana Muumba. Kwani ni muumba ndie aliyekwambia kua "End-Game" ya hivi vita ipo namna ambavyo unadai ipo?

No... If really uko Good wala sio "Psychos" kama sisi kwa mujibu wako basi ungejikita katika kutufafanulia kua baada ya vita ya Nukes kutokea wata tawala kwa namna hii na vile kama ambavyo tulijikita kukufananulia kua halitowezekana kwa namna hii na ile.

Vita ya NATO na Urusi ni swala la kufikirika, ila Practically lina almost zero chance kuweza kutokea.

Tukuongezee sababu zingine ambazo hatukuzitaja.
1. Katika nchi zote za NATO kwa bara la Ulaya, nchi zilizo powerful kivita kuliko Ukraine ni France, Spain, Germany, UK, Turkey na Italy.

Tena katika nchi hizo 6, almost their Military Power Index zinashahabiana. Zitizame hizo nchi na hali inayoendelea huko ndani.

Kama Ukraine kachakazwa kiasi hicho tena kweye Just Millitary Operation kivita itakuaje? Je ziko tayari kupigana na Urusi?

Turkey? Germany? Italy? UK? France? Who?

2. Pili hizo nchi zipo too closer kwa Russia, Na aliye mbali kiasi kwa hapo Europe ni UK. Lakini anaweza kufikiwa chini ya dk 7 kutoka Moscow. Je huyu Germany jirani apo? Unahisi atafanywa nini?

3. Ndani ya mataifa hayo hawapo United. Ikitokea Lithuania akapigwa kwa jeuri yake, Unafikiri nchi kama Turkey unategemea atajiingiza kwenye hivyo vita ambavyo chanzo cha mzozo (sanctions) wao wako against nazo?

4. Base kubwa ya NATO kwa Europe ni Germany, You heard alot kui-sponsor tu Ukraine hali imekuwa mbaya, Je wakijiingiza kwenye vita ya moja kwa moja itakuaje?

Umesahau tena kama Germany na France ndio waliokuwa msitari wa mbele kumpinga Lithuania kuhusu hiyo Blockade ya Kaliningrad? Huoni kama huyu akipigwa watasema alionywa akagoma.

5. Lithuania GDP ni less than 60 billions dola, Uchumi wa hiyo nchi ni kiasi cha Aid waliyomwaga hapo Ukraine. Lithuania ina population of less than 3 millions people hii ni nusu ya watu waliopo Dar hapa Tanzania.

UK, Germany, Turkey, Italy, France na Spain zote hizo ni Trillions Dollar economy with Population of over 50Millions kwa kila Nchi, unafikiri wako radhi kupoteza yote hayo kisa kiburi cha Lithuania? Jibu ni Hapana... Hapa tunakazia tena hakuna NATO country inayotaka vita na Russia.

Yasiwe mengi kaa na hayo machache tuhamie kwenye Population.

Tulikupa hoja chache tu, zipangue kwa maelezo mazuri tukuelewe. Spritual fact zinazopingana na uhalisia uliopo daima tutazipinga tu.

1. Europe nzima ukitoa Russia ina Population ya watu Mil 700. Ukiongeza na Russia plus US na Canada unapata idadi ya watu kama B 1.3 hivi, Idadi ambayo haijafikia hata Idadi ya watu waliopo china pekee.

Tukakwambia Population ya Dunia iko Scattered. Hii vita ikitokea uwanja wa mapambano utakuwa Global North kuliko na hao 15% of Population.

Kama lengo ni kuteketeza watu B7 kwa Vita, how will they achieve hilo kwa watu weusi afrika na wale walioko Asia, bila kusahau Latin and South America ambako kwa pa1 kuna zaidi ya 85% ya watu duniani?

2. Tukakupa mfano wa mawasiliano, na ile means of Power ilivyo. Hizo means of power ambayo of course ni Pesa. Mifumo ya kifedha wanaimiliki wao ambayo as a matter of fact zote zitaharibiwa ikitokea vita baina ikapiganwa.

Je baada ya vita watatumia nini kuendesha utawala wao? Kwani wanamiliki pumzi hao?

Ikipigwa Nukes huyo Klaus Schwab ni Invisible? Kwamba ye ndio atasalimika katika watu hao? Hizo industries za kutengeneza Chip, au hizo maabara za kutengeneza migonjwa zitabaki?

Sasa instead of caliing others Psychos kisa wanakupinga yasiya na maana. Show them kwa facts zilizonyooka kwamba kile wanachoelewa sio ila chako ndicho.

Hapa kila mtu ana imani yake, wapo waislam, wakristo wapagani, mabudha n.k Kila Iman na maelezo yake.

Tumepewa akili tuitumie, Imani bila Maarifa ni aina flani ya Upumbafu. Tuone kwa macho "A" halafu aje mtu atuambie hiyo Spiritually ni "Z" tuitikie tu???? Hiii baghosha 🤪🤪🤪

In Sukuma Voice hapana kwa kweli. Tuendelee na Ukraine vs Russia yetu tu.
 
Tuendelee na ishu ya Ukraine Vs Urusi tu,halafu unasema humchukii Mungu!Acha uhuni wewe Msukuma.
 
Kwa wadau wa terminator2
 
Mkuu T14 Armata tunaomba uongezee nyama kidogo hapo☝🏽☝🏽☝🏽☝🏽
Hiyo ni test mission, sio ajabu kufeli. Fuatilia Urusi walivyokuwa wanatest Poseidon underwater nuclear drone ilivyolipuka na kuua wanasayansi kwenye kituo cha majaribio. Ni kama mwaka juzi hivi ilikuwa

Jambo lisilo zuri sana ni kulipuka kwa rocket au missile ikiwa kwenye matumizi yake. Juzi kuna video ilisambaa mitandaoni ya Russia air defence yao ilifyatua missiles mbili zikalipuka kwa kufuatana. Na wiki hii hii kuna warship ilifyatua Kalibr cruise missile ikafeli. Ndio maana makombora yana error rate, unakuta ni kama 4%
 
Tuendelee na ishu ya Ukraine Vs Urusi tu,halafu unasema humchukii Mungu!Acha uhuni wewe Msukuma.
Ha ha ha pangua hoja acha kushambulia watu, Usijikute unamjua Mungu ilhali kila siku unamtukana.

Usijione mwerevu kuwashinda wenzio ilhali unakariri vitu. Be logical kama unavyojisifu kwa kupangua hoja na kama huezi basi kausha tu mdau.

Haya sasa nasema "Iwe bojo" in Haya Voice... Niite muhaya baadae nije na Kingoni 🤪.
 
Another Anti-Russia falls


Bwana jaribu kusoma habari kama mtu anayetumia akili ya wastani - si kama mshabiki wa Putin (anayelazimishwa kuzima ubongo)
Waziri mkuu wa Estonia anabadilisha vyama katika serikali yake. Hapo anajiuzulu iliachaguliwe upya na ushirikiano mpya aliyounda (tena - vyama hivi viliwahi kushirikiana).
Kitu gani Anti-Rusia imefeli?????

Kallas, prime minister since January 2021, kicked out the left-leaning Center Party from the two-party coalition on June 3 following disputes over spending and welfare policies amid increasing household costs due to high inflation.
The politically liberal Reform Party that runs on a conservative fiscal policy platform said late Friday it has struck a coalition deal with the opposition Social Democrats and the small conservative Fatherland ("Isamaa") party.
The three parties together muster a comfortable 56-seat majority at the 101-seat Riigikogu legislature.
According to Postimees, Estonia’s leading newspaper, the 45-year-old Kallas will head the new government that is expected to be appointed by President Alar Karis by mid-July. Kallas, however, needs to first formally step down before being reappointed, the newspaper said.
 
Tutaendelea kuvamia na kupiga mabomu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
James Delicious kwenye ubora wako 🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…