Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Trump aliviumbua sana vyombo vya habari wakati wa utawala wake
Kipindi cha korona lilisemaga kabisa 'CNN is fake news, don't talk to me'.

Lile jamaa bhanaπŸ˜‚πŸ˜‚.

Halafu naongelea 'kipindi cha korona' ukute labda bado kinaendelea!? sijui maana sijafatilia habari[news] mdaa, maana bora kutafutaga taarifa[informations], kuliko kusubiri kuletewa habari[news]
 
Lakini naamini Serikali ya Japan ina uzembe mkubwa katika Ulinzi wa Viongozi..Hivi kweli PM mstaafu anauwawa na gobole tena walinzi walikua wamezubaa tu...Jinga sana
 
We jamaa unatuchafulia uzi kama huna hoja ni bora ukanyamaza, mambo ya dini nenda kwenye jukwaa lake.
 
Thank you for instilling some sense for all: Ni ukweli usiopingika kuwa power is a relative thing. Kadri kunapokuwa na watu wengi wenye utofauti wa uwezo[power] wale wachache waliowazidi uwezo ndio wanakuwa na power juu ya hao wengi wazembe/dhaifu.

Sasa kwa nini wawapunguze!? Si bora hata watengeneze wajingawajinga wengi wa kuwategemea ili wapate hiyo power walewe hiyo power kwa kuwa juu yao.

Halafu kusurvive hii power struggle mojawapo ya mbinu kubwa ni kujiongezea ujuzi, elimu na maarifa zaidi. Simple.
Umewazia ma EMP bombs nini? Kuna wakati nawazaga hii ndiyo risk kubwa zaidi tunayoiface kuliko athari za mabomu mengine yoote.

Ushauri tuuweke uchumi wetu katika hali ambayo haitathirika hata kama taarifa zote zitafutwa. Mfano badala ya kuiweka hela kwenye 1s and 0s tuziwekeze kwenye tangible assets magari, mamashine, mashamba, mazao etc etc.

Asee unaandika vitu sensible sana, shukrani.
 
Sometimes if not most of the times, adult understanding is actually resonation. Yaani mtu akipokea kitu kina 'vibration' alizonazo ambazo ndio yeye basi anakikubali halafu anakiri kuwa NIMEELEWA.

Ili iwezwkane mtu kuelewa kweli itabidi ajifanye kama mtoto mdogo, awe curious awe na shauku na akubali kutojua, au kufuta alichodhani anajua kwa muda.

Hili lipo hivyo na wakubwa wote maphilosopher wakubwa walishakutana na hii kadhia katika kuwaelimisha watu. Nadhani ndo maana mmoja akasemaga ; Tusisumbuane bhana, ni hivii hamuamini nnachoamini na siamini mnachoamini na mwingine alisemaga 'We jamaa, hata nikikuambia, hautasadiki'

Haya ni ya kuweka akilini kwa wote pro Nato na pro Russo mda tuvumiliane tu.
 
HIMARS inafanya mambo huko, na video twaziona...
Hizo video zinachukuliwa na mfumo wa HIMARS? au Closed/Controlled Circuit Television? au kuna mdau ana wambia mkianza kupigana nina record?

Sisemi haiwezekani ila Vita siyo K-part. Kuwa makini na vyanzo vya video za mapigano ya vita bora hata iwe footage inaweza shawishi.
 
Mnahangaika....Methali 17:12
Afadhali kukutana na dubu jike aliyenyanganywa watoto wake, kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
 
Yani watu wawili watatu wakiwa against na hii OP ndio nchi nzima unaona haifurahishwi.

Huko Quora unaandika nini kwanza usikute we ndio Unafanya waafrika tuonekane Mijinga kwa mashudu unayotema

Kwa mataifa ya kijamaa hususan Warusi, kuandamana ni hatari kubwa sana, yaani ni kujitoa mhanga maana lazima utayakuta, hivyo wachache wanaojitolea ni wale wamemua wafe tu....huo ndio mzuka unaofaa sio kama ule wa watu wenu wa kujilipua kisa dini.

Kwanza huko Belarus kuna wapiganaji wamejitolea kwenda kupambana dhidi ya Urusi kule Ukraine.

 
We jamaa unatuchafulia uzi kama huna hoja ni bora ukanyamaza, mambo ya dini nenda kwenye jukwaa lake.

Kama huna bando kaa pembeni, humu lazima uwe na subira ya kuambiwa ukweli, unafiki wenu unaumbuliwa jinsi mlivyo.
 
Mzee wa EWURA ..... Tunaaagiza mafuta Urusi au tunasusa!!??
 
Majinga hayo yamekaririshwa kama mchezo wa "Baaaaabaaaaa kaseeeemaaaaaa tuchooooreeeeee mbuziiiiiiii" wote mnachora mbuzi.... Mwingine akichora mbuzi(kibao Cha kukunia Nazi ) wanamcheka.... Hii elimu yetu usipojichosha kufikiri nje ya notisi ndio tatizo linapoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…