Imeshapita hiyo,tugange ya yajayo.Mathanzua baba / mama wa kukopi na kupest.
Habari ya asubuh MKUU haujatutolea ile sintofahamu ya jana.
Eti inapigwa risasi ...Kinjekitilie anawaambia semeni "Mma" risasi itageuka kuwa maji ..... Kuna akili zingine mpaka unajiuliza Kwa akili za huyu hiviiiiiiiii ANAWEZAJE KUISHI HUYU!!??Vita ni silaha imara na mbinu usituletee mambo ya kinjikitile utakufa kama kuku mwenye kideri.
Imeshapita hiyo,tugange ya yajayo.
Ila mnanikera sana,concepts zingine kama ya "copying and pasting" zina ajenda za siri,acheni kuwa parrots.Wenzenu wanatumia concept hiyo to water down truth.And afterall,how do you know whether one has copied and pasted or not.It only means one thing,that you do not have that capability and so you believe everyone doesn't either, that is rubbish.If you are not capable it's you,acheni ujinga,mnatuniwa bila kujijua!
Na hata kama the information is copied and pasted,what is the problem,the key thing is information.Elimu zetu zenyewe ni copied and pasted.By the way hatuandiki dissertations au Thesis hapa,nia ni kupeana taarifa,that is all.I repeat do not accept to be used by our enemies for their evil desires.
Huyo Mzee ni mfano halisi wa UNAFIKI NA UKIGEUGEU..... MNAFIKI NI KAMA TITI LA PAKA HALIFAI KWA MTINDI....Jamaa yangu T14 Armata huwa ananifurahisha sana. Ukimuuliza swali specific ktk silaha fulani kali ya Urusi, yeye kwenye kujibu atakujibu kuhusu Marekani hata kama Marekani + NATO hawana silaha hiyo ila Marekani yupo tu anapambana na tafiti zenye kufeli.
Ukimuomba atoe maelezo ktk udhaifu fulani wa Marekani yeye atakuja na maelezo juu ya udhaifu wa Urusi.
Sifa moja wapo ya Mpumbavu nikubisha vitu kwa makusudi, ni heri hata ya mtu mjinga ukimuelewesha anaelewa.Ukiwa nayo, tumia akili ya wastani. Wapi umepata habari eti rais wa Ukraine alifukuza ("fired") mabalozi hao? Lete ushahidi!!!
Unauliza "huoni kama sentensi yako ya kwanza na yapili zinapingana". Najibu: Hapana, sioni. Kwa nini? "Hubadilishwa" kwa lugha ya Kiswahili inataja hali ya kawaida. Vivyo hivyo ni kawaida kwamba kuna mifano michache ya kinyume. (menginevyo tusingesema "kawaida" bali "daima")
Nasema : Kubadilisha mabalozi ni jambo la kawaida kabisa. Ukipinga - eleza misingi ya hekima yako.
Ukimfukuza balozi - unamwondoa katika utumishi. Ukimbadilisha: Utamhamisha kwenda kituo kingine au kurudi wizarani.
Lete ushahidi mabalozi hao waliondolewa katika utumishi.
Mnavyomjibu ndio mnamjaza upepo.. Nyundo mtie ignore list .....We jamaa unatuchafulia uzi kama huna hoja ni bora ukanyamaza, mambo ya dini nenda kwenye jukwaa lake.
Eti inapigwa risasi ...Kinjekitilie anawaambia semeni "Mma" risasi itageuka kuwa maji ..... Kuna akili zingine mpaka unajiuliza Kwa akili za huyu hiviiiiiiiii ANAWEZAJE KUISHI HUYU!!??
Sijawadharau wale wazeee ...la hasha .... Bali huyu Mzee wa kuhamisha magoli wa humu jamvini sijui Masanzua ..... Anaulizwa hiki anarukia kile anahama hama tu hana mstari mnyooofu wa kujadili lilipo mezani .... Ndio huyo namshangaaa anaweaje KUISHI !!!?? Kwa akili hizo!!??Hizo ni motisha/morali ili watu wasikimbie waendelee kupambana ukizingatia tulitumia mishale,mawe,mkuki na simple tools zingine vs magobore.
Mbona hata huko Ukraine wanatumia simple tools vs heavy tools za kirashia ila wanapambana kutetea taifa lao.
Tuwape heshima mababu zetu walitupambania tofauti na sisi tunaona /tunajua ila ni ma keyboard warriors.
Narudia tena wale ni mashujaa kwa kipindi chao mpaka sasa hakuna mwenye uthubutu waliokua nao.
Kuhusu hilo Mathanzua kapatia zaidi.Mungu hapendi vita!!! Wewe jamaa hata biblia hujui. Yeye anaitwa bwana wa vita.
3 Bwana ni mtu wa vita, Bwana ndilo jina lake.
Kutoka 15:3
Umenigusa sana hapo kwenye kipigo kibaya cha RukayaUmejiandaa lakini kwa hoja? Maana sitegemei tukimbiane. Ha ha haaaa!
Tuanze. Bold ni nukuu kutoka bandiko lako
==
1.Maana Mariupol na Severodonetsk hakuna dalili za kujali hata kidogo. Utusi imesaga miji hii hadi kuwa vumbi.
---
Wanajeshi wa Russia wakisaidiana na wanajeshi wa Jamhuri mbili kutoka Donobas walipofika maeneo ya Mariupol waliutangazia ulimwengu wote kupitia viongozi wao kuwa Russia itatoa siku kadhaa, wananchi walio katika maeneo hayo waondoke wapite kwenye njia zilizoanishwa. Kwa kukosa utu, Nazi wa Ukraine waliwashikilia mateka wa Mama na watoto wa Ukraine wasitoke kwenye maeneo hayo. Lengo raia hao wawe kama Kinga kwa hao nazi. Kudhihirisha neo Nazi walidhamiria kuonyesha unyama wao, walivunja daraja lililokuwa rahisi raia hao kuvuka Kwenda sehemu salama. Kila raia aliyejaribu kutoka kwenye maeneo hayo alishambuliwa na neo Nazi kwa risasi!!!
Russia sasa akawa anashusha mabomu ya wastani ya kuharibu sehemu ya juu ya nyumba bila kugusa sana basements. Alijua raia wengi wako chini kwenye basements. Aliposawazisha maeneo hatarishi, kasema Sasa hakuna kutoka bila kaguliwa kama wewe ni neo Nazi ama raia wa kawaida. Ni kwa staili hii Russia kwa utu wake aliweza kuepusha maafa ya watoto na raia wa Ukraine. Ushahidi wa maelezo yangu haya upo hata kama utaziba macho ili usiuone! Ha ha haaaa!
====
2. Severodonetsk hakuna dalili
---
Kilichofanyika Mariupol ndicho kilifanyika Severodenetsk. Tofauti ni kuwa kule Mariupol neo Nazi walifyekwa kwa uchache wakati huku neo Nazi wote waliojifanya kukimbia walifyekwa! Yaani kilikuwa kipigo kibaya "cha Rukaya"!!!
===
3.Urusi ina akiba kubwa ya mizinga na grenedi za zamani. Inazitumia kuvunja kila kitu mbele ya mstaru wa mapigano
---
Urusi amefanya modernisation ya Jeshi lake. Baadhi ya silaha zake aliziboresha kutoka uzamani kuja kwenye upya. Za Zamani nyingine ambazo ni very effective aliwauzia washirika wake nyingine alimuuzia Marekani mfano helkopita, ambazo Marekani alitaka kuwapelekea Afghanistan zikaishia kurudi Poland nadhani. Shehena nyingine ya silaha za Zamani ziko kwenye eneo la Moldova ambalo linapakana na Ukraine. Na aliziacha hapo wakati anarudi kutoka WW2.
Sasa Baada ya Marekani kushawishi washirika wengi wa Russia kujiunga NATO, anachokifanya Sasa anawalazimisha wapeleke silaha hizo walizonunua Russia huko Ukraine zikasagwe sagwe. Lengo la US ili baadaye wakisha maliza stock ya Silaha zao hizo aje awauzie silaha zake hao jamaa ambazo anasema ni silaha za kisasa, lakini baadhi ya hizo anachelea kuzitumia zisimuumbue! Hivyo, Kusema Russia ana silaha za Zamani, nadhani Sasa uzamani umeuelewa.
===
4.Urusi haia askari wengi hivyo inatumia mbinu wa kusaga kila kitu mbnele yake halafu kutuma sakari wanaoona kama adui bado yuko. Kama yuko na kujitetea, wanarudi na mizinga inaanza upya. Halafu wanarudi kwa miguu kuangalia...
---
Hapa Mkuu sijakupata, ebu fanya uhariri Tena. Labda nitaelewa ili nikupe majibu unayohitaji.
Karibu tusemezane.
Mkuu tatizo ni kuwa alidanganywa Sana kuwa wataipiga urusi atapewa misaada ni watamlinda, sasa west wamekuja kugundua wameingia kwenye chaka la kibwengo yaani wanapigwa halafu anayewapiga hawamuoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa west wanatafuta njia ya kukimbia mapigano Ila Ukraine hana jinsi ya kutoka kwenye mapambano maana alishavuka ule mstari wa no returnHuyu dogo nae anguko lake lipo karibuni, tena ataangushwa na waUkraine wenzie,
Na sehemu anapofeli nipale anapo lazimisha matatizo ya nchini mwake yawe ya nchi nyingine au dunia nzima. Na maana ya neno msaada naona bado inamchanganya.
Ujinga zaidi alio nao nipale anapolazimisha viongozi wa nchi zingine wachukulie matatizo ya nchi yake kama yao. Sasa naona ameanza kujichimbia kaburi mwenyewe kwa kuanza kutengeneza mpasuko wa kisiasa.
Mpaka hii operation ije kuisha, Mrusi atakuwa ameng'oa wanasiasa wengi sana kwenye nyadhifa zao.
Kweli bila shaka, ushoga ni hali ya kuzaliwa nayo, asilimia hufanana kote duniani.
halafu: Washabiki wa Putin hawapendi kukumbuka kwamba Urusi ilifua sheria ya kupiga marufuku ushoga tangu 1994.
Au labda hawajui kweli. Basi wakiona topic hii ina umuhimu wowote, wajue sasa!
Una maanisha nini, kusema ushoga ni hali ya kuzaliwa nayo?
Jamaa yangu T14 Armata huwa ananifurahisha sana. Ukimuuliza swali specific ktk silaha fulani kali ya Urusi, yeye kwenye kujibu atakujibu kuhusu Marekani hata kama Marekani + NATO hawana silaha hiyo ila Marekani yupo tu anapambana na tafiti zenye kufeli.
Ukimuomba atoe maelezo ktk udhaifu fulani wa Marekani yeye atakuja na maelezo juu ya udhaifu wa Urusi.
Fuatilia links hizi kupata ushahidi:Pili sikubali kwamba "Wanazi wa Ukraine" walilazimisha watoto na wanawake kubaki Mariupol; wala sioni kwamba jeshi la Kirusi lilijali hata kidogo lilipopiga. Masimulizi haya kuhusu "Wanazi wa Ukraine" ni propaganda; kama wako Ukraine, wako pia Urusi.
Sikweli, kuundwa kwa Jamhuri mbili ni matakwa ya wananchi wanaoishi Donobas na ambao wamepata madhila makubwa chini ya utawala wa kinazi wa Ukraine kwa miaka nane! Ushahidi huu Tena kutoka chombo cha habari chako pendwa BBC.kuumbwa kwa vijamhuri hivi ni azimio lake, na mwis
Shukrani sana kwa kuonyesha dukuduku lako juu ya jambo hili na kwa kweli umefanya vizuri kuweka picha.Dai lako kwamba "Urusi anashusha mabomu ya wastani ya kuharibu sehemu ya juu ya nyumba bila kugusa sana basements" - si kweli. Kwanza tunajadili grenedi kutoka mizinga si mabomu.
Mkuu Kuna udhibitisho Tena uliopitiwa na reviewers Nguli wa masuala ya kimataifa juu ya hila za Marekani kuwaingiza hizo Nchi ulizotaja kwenye NATO. Ukitumia jicho la Tatu kusoma muhitasari wa huu hapa chini wa mtaalamu wa masuala ya kimataifa, kama siyo mbishi kupindukia utakubaliana na maelezo yangu Karibukuhusu "Marekani kushawishi washirika wengi wa Russia kujiunga NATO" - nchi gani ililazimishwa kujiunga na NATO? Walipaga foleni peke yao na kuomba waingie
Mkuu katika historia ya uwepo wa Ulimwengu, ni nchi za Ulaya na Marekani, na Baadhi ya zile za Mashariki ya kati zilizofanya ukatili wa kibinadamu katika kutafuta makoloni kukidhi matanio ya kupata rasilimali. Russia hakuwa na haja ya kutafuta makoloni na kujiingiza kwenye dhambi kubwa ya ukatili wa kibinadamu kwa sababu tayari yeye alishabarikiwa rasilimali nyingi na za kutosha. Kwa hiyo, tujiulize sisi wawili(Mimi na wewe Mkuu) na kisha tuwashirikishe wengine wanaofuatilia mjadala huu swali hili. Je. Ni nani kati yetu wawili bado yupo usingizini na yawezekana anahangaika na ndoto za kufukuzwa na nyoka mwenye vichwa sita?Mashambulio ya Putin sasa ni jaribio tena kupanusha ukoloni wa Urusi.
Tumepitia pagumu Mkuu. Hatusahau kwa sababu ni muhimu kukumbuka yasije kujirudia.Umenigusa sana hapo kwenye kipigo kibaya cha Rukaya
Nani anazaliwa shoga wewe acha kutuibia. Mnaupenda wenyewe ushoga alafu mnasingizia kuzaliwa nao nyie vipi!?Kweli bila shaka, ushoga ni hali ya kuzaliwa nayo, asilimia hufanana kote duniani.
halafu: Washabiki wa Putin hawapendi kukumbuka kwamba Urusi ilifua sheria ya kupiga marufuku ushoga tangu 1994.
Au labda hawajui kweli. Basi wakiona topic hii ina umuhimu wowote, wajue sasa!
Taratibu mkuu utaua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Balozi hubadilishwa mara nyingi kila baada ya miaka 3-5" Mwanamkiwi
"Huyu wa Berlin alikaa tayari tangu 2015" Mwanamkiwi
Sasa ndugu mwanamkiwi, huoni kama sentensi yako ya kwanza na yapili zinapingana kwa mjibu wa maelezo yako kuhusu time interval ya Balozi kubadilishwa?
Kutoka mwaka 2015 mpaka 2022 ni miaka mingapi hiyo?
Sasa kama unabishana wewe mwenyewe mimi kweli ndo nitakuweza hata nikisema nijitolee kukuelimisha?
Ningeona dalili za uelewa, ningejitahidi tueleweshane ila kwasasa acha nijifanye kama sijui wala kuelewa tofauti kati ya kutumbuliwa(fired) na kumaliza muda wa utumishi (retired)
Ngoja nikuachie Twitty ya Ukraine [emoji1255] Upambane nayo, mimi nimeona dalili za kuto kukuweza Maana huna hoja.View attachment 2285862
💢 Belarus will "absolutely" unload all ordnance on Poland in the event they do something crazy.
Deputy Chief of the General Staff of the Armed Forces of Belarus, Major General Ruslan Kosygin, said that Belarus would strike missiles at targets in Poland in the event of a military conflict between European countries and Russia
According to him, in the event of a conflict, the territory of Poland with its military infrastructure "becomes the primary target of a strike."
"Namely, decision-making centers, elements of the control system, points of permanent deployment of the national armed forces, arsenals and bases, as well as critical objects of their economy and transport infrastructure"
Poland is being hinted that it will not be able to do anything in Ukraine.
@NewResistance