Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya matusi sasa
 

Lengo kuu lilikua kumpindua Zelensky na kuweka stooge wa Urusi, tatizo intelijensia ya Urusi haikua na taarifa vizuri ya walivyokua wamesubiriwa, kilichoakuta pale Kyev watakikumbuka vizazi kwa vizazi.
 

Kule wanapokezana vitu vinavyotumia akili sio kama huku ni fulu vijembe vya uswahilini, wale kule hususan Warusi wanaolipwa kueneza propaganda kwa kweli wanafanya research sio mchezo.
Kwa waarabu kule hawanipi tabu maana wako kama nyie kuongozwa na mzuka wa kidini kwa chuki za kijinga dhidi ya Marekani, mnadhani kwamba Mrusi anamkomoa Marekani.
 
Harafu anakuja mkenya mmoja na njaa zake anasema Urusi inapigana vita, Vita gani hadi unamlipa mshahara na pensheni opponent wako?

Mmatumbi mwingine anatokea anakwambia Russia ni nchi masikini. Nchi masikini inaweza kuendesha operation dhidi ya mataifa 30+ na kuanzaa mchakato wa kulipa mishahara ya raia wa taifa lingine?

Russia ni tajiri asie kuwa na kelele, kama hujaishi nae huwezi kujua utajiri wake.
Dunia iliaminishwa kuwa Russia ni masikini ila chakushangaza Masikini mmoja anawachakaza matajiri zaidi ya 30. Hakika njia ya Muongo ni fupi mnoo na muda huwa ni shahidi mzuri wa ukweli.

Acha mvua [emoji378][emoji378] iendelee kunyesha tuone panapovuja.
 

Uwezo wa kubomoa kwa siku mbili ndivyo mlidanganywa na ujasusi wenu, ila kha poleni maana bado nakumbuka limsafara nacheka sana, wabeba javelin kitaa walikua wanaziondosha hadi nikawa naumwa kwa namna nilikua napata raha....
 
Kwa mara ya kwanza toka miaka 20 iliyopita siku ya leo thamani ya dola na Euro iko sawa.

Baada ya bomba la gas kusimama kwa ajili ya matengenezo.

Mfano leo ukimnunua Ronaldo kwa Euro 15 itakua sawa na Dola 15.


1 dollar equals to 1 Euro leo tarehe 12/7/2022
 
Hivi hiyo sentensi backs umeielewa? Au umekurupuka kuileta katika kiswahili?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…