wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
UNHCR Ita-facilitate zoezi Hilo mkuu.,Hahah.He he he hapo ni "if and only if" nauli za kuja huku wanazo [emoji23].
Sasa Mjomba kama makazini siku hizi wanaenda kwa miguu wabane matumizi huku Yombo watafikaje [emoji38]
SASA backs Canada ndio kuikoromea , Backs ni kusapotiMarekani amewakoromea Canada kwa kurudisha pangaboi la urusi ujerumani,
Baada ya hapo,
Waziri wa nishati Canada na msemaji wa serikali ya canada wakasema,
Lengo lao sio kuisupport urusi kuivamia ukraine.
Bali Ni kuagalia maisha ya ujerumani na bara la ulaya waendelee kupata gesi kuelekea katika kipindi hiki kigumu wanachoitegemea urusi kwa kiwango kikubwa cha nishati.
My take:
Marekani Hana Lengo zuri na serikali za nchi za ulaya,Tafsiri yake Ni marekani anafurahia maisha magumu ya watu wa ulaya kwa chuki yake na serikali ya Russia.
View attachment 2287784View attachment 2287786
Na bado,hivi karibuni mataifa ya Ulaya yanayo yanayo jifanya kususia Russia - wote hao watalazimika to go down on their knees begging Ivan the terrible (Putin) to forgive them, la sivyo viwanda vyao vikubwa Ulaya vitafungwa kutokana na ukosefu wa: Nishati ya gesi yenye uhakika na bei nafuu, ukosefu wa mkaa wa mawe ,mafuta na madini hadimu kuhadimika kwa nyenzo hizo mihimu kuta sababisha viwanda vikubwa kifungwa na raia wao watakosa ajira ya uhakika na winter ikikaza hukumu watakufa kwa baradi kali, zahama hizo zitawakumba kutokana na ujinga wa Mataifa ya Ulaya kusikiliza ushauri potofu wa Merikani - inawadanganya kwamba Urusi si lolote si chochote Merikani ina uwezo mkubwa wa kukidhi mahitaji ya Nishati kwa mataifa ya Ulaya miaka nenda rudi hivyo Mataifa hayo yasiwe na wasi wasi Amerika hipo kuwasaidia kwa hali na mali - kumbe ulaghai mtupu, USA uwezo huo hana kabisa-hivi sasa ndio Ulaya wameanza kumshtukia Biden.Uingereza yasema kiama chaikumba Ulaya, kuingia winter pasi na gesi ya Urusi
Urusi toka jana imezima gesi yake iliyokuwa ikimiminika kwenda Ulaya. Sababu kuu ni maintenance ya miundombinu ambayo hufanyika kila mwaka kwa siku 10. Ila Ulaya wanapata wako na hofu kubwa kama Putin atawasaidia tena kuwawashia gesi au ndio Super Power kaamua kuwachinjia baharini🤣🤣😆😆😄😄😄
View attachment 2287892
Jicho tena......Alikuwa na jicho tamu sana aisee!.
hii ni ndege mpya hapa kwetu?Leo mimeona wana test STK-35 anga la bandari salama
[emoji23][emoji23][emoji23]Jicho tena......
Embu waulize ,naona kuna mtu Instagram anauzaga vitabu anasema urusi onaelekea kuteka Kharkiv duu jamaaa anawavisha watu kamba wakati urusi wanabadisha majemedari.huku wakipogwa vibaya sana.Kule vyombo vyao vinaripoti kipropagandaBado hamjamaliza Vita nyie warusi?
WanapigwaEmbu waulize ,naona kuna mtu Instagram anauzaga vitabu anasema urusi onaelekea kuteka Kharkiv duu jamaaa anawavisha watu kamba wakati urusi wanabadisha majemedari.huku wakipogwa vibaya sana.Kule vyombo vyao vinaripoti kipropaganda
"Baghdad na Tripoli zimekojolewa"
Kule WEST GATE alshabab walifanya nini?
Ni hivi RUSSIA chini ya utawala wa PUTIN kyve "INATWALIWA"
Linganisha mkojo (us) na kupakatwa(Russia).
#JIBU MOJA TUU.
ZzzzzzzzzzzzzzzWa Ukraine mnajisahau sana cheki pigo hilo kutoka kwa Putin..
Ok nionyeshe na mateka wa russia..ZzzzzzzzzzzzzzzView attachment 2288108
Ni sawa na PM Majaliwa akafanyie kikao chake cha kazi pale Nairobi. Bonge la tusi. But, kichekesho ni kwamba bado jamaa wana ndoto za ushindi.Vibao vya barabarani Hivi ndani ya Ukraine.
"Occupied by Kremlin"[emoji38]