Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Napo ni wale wa DPR, LPR bila sahau wapaka mafuta chenchens. Sisi wa Moscow tunasubir shoga yyote wa NATO aingie
 
Russia sio manpower TU,
Bali hata kimbinu Yuko vizur Sana.

Wanajeshi wa Ukraine wanaenda Frontline kichwa kichwa Kama kuku asiye na shingo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa akiamua kusimamisha kwa mwezi tu Hilo Bomba,yuro itakua sawa na tsh[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu umeandika vizuri sana, inshort EU viongozi w ni vibaraka wa US haya mambo wanaweza kuta waliplan. Wale viongozi hawako kwaajili ya nchi zao ila wapo/wamepachikwa kwa ajili ya kutimiza matakwa au maslahi ya US.

Good news ni kwamba wananchi wao wameshajua ukweli kuhusu US naamini viongozi wengi wataangushwa. Suala la kuanguka kwa dollar lipo njiani hata Putin alisema impact itaanza onekana hata mwakani. Russia sahv hatumii dollar kabisa kwenye kuuza nishati zake. ACHA NIISHIE HAPA

Welcome MULTIPOLAR WORLD [emoji289]
 
Huyu jamaa anamaneno magumu balaa, hapepesi yaan[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaha
 
25,000 Ukrainians have signed a petition to replace the monument to Catherine II in Odessa with a monument to American gay porn actor Billy Herrington

"Catherine II is a controversial historical figure who, by her actions, caused great harm to Ukrainian statehood and culture. The very fact of installing this monument was a terrible mistake. Every day of its continued existence signals that Odessa is in the zone of Russian cultural occupation. It's time to change that’'-the explanation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…