Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii hapa inajieleza mkuu,kuna panya anajiandaa kuchomolewa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†


Ukisikia kuku kafukuzwa kachoka inafika mahali kichwa anaficha kwenye shina la mchaichai mwili Wote upo nje akidhani hujamuona, 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ndiyo hawa West wanatoa vijisababu ili tuone kuwa Wana scandal ndiyo imewatoa madarakani kumbe ukweli wanamkimbia Putin
 
Yule aliyesema drones hazipo cheki hapo warusi wanafumuliwa msituni wameficha magari ya vita

 
Kati kati ya msitu mrusi anapelekewa moto anaficha magari tunamfwata hukohuko

 
Chakula ya ubongo hii

sijaacha hata herufi moja
#AmProudToBePro-Russia
 
Kama ambayo alitegemea amkomoe kwenye vikwazo ila mission ikafeli. Alitaka kuona Russia inateketea kama zimbabwe
 
Huyu nae hana hoja kila siku kurudia rudia comments ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbona marekani ilipewa kichapo cha nusu dakika na Iran kule Iraq ha ha ha ha ha
 
Lakini Ngoja nikuulize swali...Kwanini Ukraine inashindwa kurudisha maeneo iliyoyapoteza mpaka leo?
Ukraine hajapoteza hata eneo moja. Wako kwenye kitu ambacho kivita ni cha kawaida kabisa. Kinaitwa ^tactical retreat!^

Soon, watamzunguka adui na kutoka kulia, kushoto, mbele na nyuma na juu, na kumvaa kama gauni la pamba za Mwanza.
 
Russia anatoa kipondo kikali muda huu . Haijawahi kutokea toka Op imeanza huenda OP imeisha SASA ni real war. Kipigo ni Ukraine yote yaani huku gas imezimwa huku kipondo cha jeh
Na wewe acha fix bwana. Eti muda huu. Inamaana ni wewe tu unayepata taarifa lakini wengine hawana, hata media hazina.

Hilo neno " Muda huu". Litoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…