Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji631]"The next stage for Washington is to inflate underwater balloons, given the presence of Poseidon in our country.

The Speaker of the State Duma reacted to the news that the Pentagon will start using balloons against Russian hypersonic missiles.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu anashangaa habari za muda huu katika ulimwengu huu . Nipo kwenye makundi ya wa Ukraine ya wassap na fb sioni cha ajabu na mara nyingi napost hapa jambo na utasikia baadae . Ukitaka habari jiweke katika mazingira ya kuzipata . Yapo magrupu mengi ya fb ya war in Ukraine. Tupo wengine tunaiponda sana fb lakini ndio chanzo bora kabisa cha habari na maarifa inategemea wewe umejiset vipi.
 
Shule hii asee hii ni A+ in shangazi ngaboru voice
 
EU EU EU
acha tuone khatma!!!
 
RUBO ileeeeee[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Poleni MKUU unahisi kama hali itaendelea hvyo hvyo tutegemee reaction gani toka kwawananchi
Nna jamaa yupo GERMAN nae lawama zake kama usemavyo wewe
Ila mtuvumilie tu ndugu zenu tutasimama na RUSSIA mpaka mwisho kama mnavyosimama nae ninyi
Ikiwezekana mjiandae kurejelea makwenu walau sisi tupo huku ughaibuni kwanafuu
Ila tunatamani ndugu zetu muwe salama ila kiukweli tunamani EU+EUROPE kwaujumla wake mpaka kule US waingie kwenye civil war ili waone utamu wake
mungu awatangulie sana
 

Mimi natumia taarifa ya tulichoshuhudia, Urusi aliingia hasara kubwa sana pale Kyev, msafara wote huo tulishuhudia ukifyekwa, alijichanganya kwenye mahesabu ya intelijensia kaangukia pua.
 

Tatizo la wananchi wa huku ni watu rahisi kuwa control mnoo. Ndo maana unaona huku wananchi wengi wamepigwa chanjo ya UVIKO.

Waziamini sana serikali zao mpaka hali inavyokuwa mbaya sana ndo wanashituka ila hapo tayari uharibifu umeshatokea.

Jambo jingine ni unyanyapaa. Ulaya mtu ukiwa na hoja mbadala siku hizi kumekuwa na tabia ya kunyanyapaliwa. Mfano, watu wengi hawaungi mkono ushoga, ila hawawezi kutamka hadharani kwa kuogopa kunyanyapaliwa. Waliopinga chanjo kama tulivyoona waliitwa conspiracy theorists.

Wananchi wa Ulaya wengi wanaamini mainstream media kwa asilimia 100. Na hiyo ni Hatari sana kwasababu media inakuwa controlled na interests za majitu mengine. Media zinapigia chapuo agenda za watu ambao wana malengo hasi na jamii ila ndo hivyo huku pamoja na viwango vyao vya elimu kuwa juu, bado wengi ni mazombi tu. Ukikaa na wazungu ndo utagundua kwamba wengi wao ni mazezeta tu.

Hivyo tusitarajie makubwa sana kutokea coz mpaka sasa wengi wanaamini Putin ndo chanzo cha matatizo yao, hawaoni kabisa ujinga unaofanywa na viongozi wao kwa kushirikiana na Marekani.

Kwa sasa jambo la kufanya ni kusubiri wakati utajibu. Bahati nzuri sisi wengine tuna makwetu, kikinuka tunakwea pipa haooooo. Afrika moja, hali ikiimarika tunatia timu. Wapambane na hali zao.

Narudia tena, Putin na mimi ni ndugu. Namuunga mkono mpaka siku ya kiama.
 
Huyu nae hana hoja kila siku kurudia rudia comments ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbona marekani ilipewa kichapo cha nusu dakika na Iran kule Iraq ha ha ha ha ha
Komenti yake hiyohiyo toka nimemjua. Nashukuru kumbe na wengine mshamsoma na kunotce Kwamba hajui kuuficha ujinga wake unaotokana na ubongo uliojaa maji.
Mpaka leo anaamini Ukraine washaingia Moscow na kufanya uharibifu .
Lakini tusimhukum Sana huyu mtu Ni mkenya. Ni Mara chache Sana mkenya kua na akili nzuri ya kuchambua Mambo. Wengi ikiwamo yeye wanna njaa Kali.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine hajapoteza hata eneo moja. Wako kwenye kitu ambacho kivita ni cha kawaida kabisa. Kinaitwa ^tactical retreat!^

Soon, watamzunguka adui na kutoka kulia, kushoto, mbele na nyuma na juu, na kumvaa kama gauni la pamba za Mwanza.
Ha ha ha.
Duh hem kwanza nicheke.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
US wanasema maeneo yaliyochukuliwa Ni Kama vile hayatorudi kuwa Ukraine tena.kwa Hali halisi iliyopo we unakazania eti haijapoteza Ni ritrit [emoji16]. Au sio
 
Kutakuwa na Siri nzito dhidi ya Hawa masenari .


The US authorities are currently working on including Americans Alexander Druke and Andy Winch, detained in June near Kharkiv, in the list of persons whose potential release could be negotiated with the Russian side, The Washington Post reports.
 
Kwa nini ulienda mahali pabaya hivyo na badala yake hukwenda Belarus, Urusi, Iran au China??
 
Muulize huyo jamaa yako anayelaumu kwa nini alienda na bado anang'ang'ania huko Ujerumani mpaka sasa badala ya kurudi Africa au kwenda Urusi ?

Muulize sababu ni zipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…