Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna wakati ukisoma uchambuzi uliopangiliwa namna hii unahis unawaona Kabisa special troops wa Russia walivona molarity ya kuipa NATo kipondo Cha uhakika
 
Mjomba unafaham kama Venezuela na Iran, hizi nchi 2 tu kwa pamoja wana miliki world share ya zaidi ya 27% ya Oil reserves duniani? Ukilinganisha vs Russia mwenye reserves ya share ya below 5% au United state mwenye 2.1%?

Vile vile upande wa Natural Gas, Top three countries. Russia 24% Share, Iran again 17.3% na Qatar 12.5%. Ondoa Qatar baki na hizo mbili Russia na Iran nchi mbili ambazo hazina influences ya west pa1 ni over 41%

Sasa unaposema almost zote una maana ipi? Point yako hapo imejikita wapi? Uzalishaji au reserves? Na kama ni uzalishaji vipi kuhusu vinavyotakiwa kuzalishwa? Yes am asking kuhusu reserves?

Kwenye hizo tafiti uliangalia kiasi kilichogunduliwa? Let me help you with some data. Kiasi kilichopo kilichopo Ukraine Upande wa natural gas ni 39 millions MMcf, ambazo ni 0.6% ya world share. Na upande wa Oil reserves ni 395 millions barrels ambazo pia ni kama 0.024%

In comparison, Russia ana Natural gas reserve mara 40 zaidi ya zile zilizopo Ukraine, Russia ana Oil reserves mara 195 zaidi ya zile zilizogunduliwa hapo Ukraine.

Kwa hizo data vipi unahisi hayo madai unayo yaita ukweli ni sahihi? Kama tu kiasi kwamba kile kilichogunduliwa hakikidhi mahitaji ya Ukraine yenyewe vipi for that case unafikiri wanaweza kukidhi mahitaji ya nchi zingine?

Vikundi vya kirusi vikaonekana kuzidiwa na Ukraine ikafanikiwa kuyarudisha majimbo yaliyogunduliwa hizo rasilimali!!!!
Unaweza kutusaidia majina ya hayo majimbo yaliyo rudishwa na Ukraine yenye hizo rasilimali mjomba?

So hapa unajaribu kutuambia kwamba hayo madai yote si ya ukweli bali ni visingizio vya Urusi tu kwenda kuiba Ukraine mali zao?

Kwamba hakuna Nazi, Hakuna wa Ukraine waliokua wanauwawa hapo Donbass, wala hakuna maabara za US hapo Ukraine. Kwamba vyote ni visingizio. Na kitendo cha Pentagon kukiri uwepo wa hizo Labs nao waliteleza, ni Uongo wa Urusi kutaka kuiteka mali ya Ukraine au sio?

Unafikiri kwanini Russia asiende kuibeba Qatar, Saudia Arabia au Iran UAE au kwa Venezuela mbali kutoka kwake. Nchi zote hizo aziweke mikononi ziwe chini yake abaki kujisumbua na Ukraine ambae resorces zilizopo hapo upande wa nishati zote zinasoma figure chini ya 1% ya world share?

Unaweza kuona na kuhisi vita ni siasa au dini ndiyo inasababisha lakini ukweli ni rasilimali asili kwa kiasi kikubwa sana ndiyo msingi mkuu na siasa au dini ndiyo hutumika kama kichocheo.
Kwenye hii kauli yako hapa nusu nakubali na nusu nakupinga, Vita vina sababishwa na siasa pia nakubaliana na wewe kua vita havisababishwi na dini n.k

Unapozungumzia siasa, haziishii kwenye kampeni kushinda uchaguzi. Unapozungumzia siasa unazungumzia power, na ili uwe na power lazima uwe na nyenzo za hizo power.

Hizo nyenzo za power kubwa kabisa ni Pesa na nyingine ni rasilimali. Kwenye uchumi hizi Raw materials ni Primary sector. Hupati Secondary sectors bila kua na Primary sectors. Nina maana ya kua hupati uzalishaji kama hauna malighafi/rasilimali.

Lakini world power system imebase kwenye pesa pekee as a nyenzo of power kuliko rasilimali. Angalia nchi kama Iran, ina resources nyingi mara dufu kuliko bara lolote ulaya. Je Iran ina nguvu kuliko Germany? Kuliko Italy? Kuliko Spain au France au UK?

Mwenye pesa anahitaji rasilimali na mwenye rasilimali anahitaji pesa. Rasilimali ngumu kupatikana but pesa printer zipo na wino wa kutosha. Prrrrr ni mlio mwepesi kusikika kwenye masikio zinapohitajika.

Russia rasilimali anazo lakini anaendelea kuziuza kwa mataifa yanayo mpa vikwazo kwasababu anahitaji pesa. Why pesa? Coz hizo pesa ndio nyenzo kuu ya power katika mfumo mzima wa dunia tulio nayo hivi leo.

Hapa Tz si tuna gesi? Bila pesa tunawezs kuitoa ardhini? Na tukiitoa ardhini kutafuta nini?

Any way kuhusu huo upande wa mashariki mwa Ukraine ndipo kumejaa vile vinavyomtambulisha Ukraine duniani. Issue nzima ya chakula kama ngano shairi n.k ambazo west wamekua wakipiga kelele kila siku kua wanazihitaji. Wala sio issue ya nishati.

Ni mtazamo wangu binafsi!!!!
Yah ni mtazamo wako binafs, upendezeshe uulishe nyama usogelee karibu uhalisia.

Mitazamo ipo mingi kuhusu kile kinacho endelea Ukraine. Hapa a hata mmoja bali nimejikita katika katika "faults" za mtizamo huo ulio nao.

Kesho mwanao amekuwa wa 7 darasani, muulize kwanza kapata wastan upi ulinganishe na top wao uone kama anastahili pongezi au achapwe aongeze juhudi. Kwani anaweza kua kapata wastani wa 10 out of 100 ila kawa wa 7 ihali wa kwanza ana wastani wa 94.

Mimi ni mmoja katika watu tunao amini sana katika number, Huh Numbers never lies na zilizo DATA ndio msingi wa ukweli na silaha ya kutokomeza uongo.
 
Na mimi Msomaji wa Bandiko hili Nahitimisha Kwa Kusema
MUNGU IBARIKI URUSI
 
Wanajeshi 1000 wa Russia waekwenda na maji cheki video hapo chuni Pro Russia mkuje huku

 

The fact that a learned individual like him doesn’t understand this simple, blatant truth explains clearly and unequivocally how much the US and her propaganda machines have succeeded in deluding almost all their blind subjects.
 
Hivi anajua silaha za $40 ni silaha ngapi wanapata?????, Halafu akumbuke Ukraine inaviwanda vya silaha anajua kuna ngapi zimezalishwa kipindi hiki cha vita????
 
Hivi anajua silaha za $40 ni silaha ngapi wanapata?????, Halafu akumbuke Ukraine inaviwanda vya silaha anajua kuna ngapi zimezalishwa kipindi hiki cha vita????
Tumetuma zaidi ya hizo mkuu, kumbuka hizo ni za United States peke yake. Also kuna fund tunazopeleka bila official statement to the public, there hundreds od companies too, don't forget kuna silaha tunawapa Ukraine behind doors because what we desperately want is a defeat for Russian side. All of these when reaching Ukraine are officially weapons of Ukraine not us any more. So casualties concerning those weapons are to be counted as Ukrainian's casualties.

Previously, I said, the figure Russian Side gives to the public is too low, its below our expectations. Probably as I said, I think the Invaders want to keep the image of "Millitary Operation" to the world while few of us we know exactly the situation in the field is hell.

Since February we have been constantly pouring weapons to Ukraine, the Ukraine is running out of armor and ammunition to defend itself. Where do those weapons goes? It's Russian destructions and few of them managed to inter black markets.

So all in all what I can say, figure provided by Russia are too low compared to the real situation in the field.
 
Nuke wapigane ulaya Mimi Huku nitaathirika na nini, Wacha wazitwange wawe wakimbizi
 
Argument yako ya "too low" naikubali, na hilo lipo wazi. Nchi zinazopeleka silaha wala hazipigani wanadai stock zao zina hali mbaya kwasababu ya Ukraine. Na nchi ambazo ni kubwa kiuchumi, na wana budget kubwa tu kila mwaka.

US kama mfano, ni B53 zimemtoka ndani ya siku hizi 140, ukiangalia silaha zipi kwenye hiyo fedha lazima uthubutu kusema kua figure za Urusi wanazotoa ziko chini mno. Na huenda kama unavyodhania, kwamba kutunza ile image ya Special Military Operation kwa dunia.

Ila kusema hizo figure ni kubwa duh 😏

Nikikumbuka ile picha ya Helmet ya yule mwamba aliyeandika kwenye Helmet kua wapo like in Hell. Unapata majibu ya hali mbaya ilivyo.
 
Urusi anamstir mpinzan wake
 
Unamfahamu America??.
Yaani amwache tu Russia anayemtibulia kule Syria awndelee kutamba?
Labda ujifanye hujui vita baridi na ni mtoto wa 2000.s
Unamfahamu Alexander the Great mzee Roman empire?

Alikuwa anatisha lakini wajuba wenzie wakamtoa.

Ikiwapi sasa ile Roma iliyokuwa na nguvu kubwa sana?

Kwahiyo hata huyo USA 🇺🇸 nguvu itamuishia tu.

Au Mkuu umesahau dunia inaenda zake?
 
Urusi anamstir mpinzan wake
Sure! Nahisi ana sababu zake za kufanya hivyo. Ukiachilia mbali ile hoja ya Grand Master kuhusu image Russia anayo ihifadhi hapo Ukraine. Mie naweza kujikita zaidi kuangalia mahusiano ya raia wa kawaida wa Urusi na Ukraine.

Hao ni ndugu, Ugonvi baina ya ndugu hupiganwa na wastaarab wakiwa macho yao wameya elekeza katika maisha baada ya ugonvi. Russia anafanya kila analo weza kushow humanity kwa raia wa kawaida wa Ukraine.

Tumeona wanawapa maradhi, wanawapa vyakula, wanakomboa kwenye mikono ya jeshi la Ukraine wakichukuliwa mateka n.k, Yote kuonesha kua Russia sio adui yao bali ndugu yao na rafiki yao mkubwa zaidi ya vile wanavyo tangaziwa.

Ukitembelea Official page za Russia hukuti mapicha ya ajab ajabu kuonesha wapiganaji wa Ukraine walivyokufa au kusulubiwa. Na ni kweli kama alivyosema huyo jamaa hapo juu. Russia kajikita kutoa taarifa za vifaa tu sio jeshi la wapiganaji hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…