Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dada hapa umejielezea a to z, hupendi challenge inaonekana.
 
KOPI KUTOKA FESIBUKU.


"HATUNA HURUMA KAMA PUTIN" Kim Jon Un Amuonya Zelensyk na Ukraine...

Korea Kaskazini Imemuonya RaisI Volosmyr Zelensky wa Ukraine kuwa Korea kaskazini haina Huruma kama aliyonayo Rais Putin wa Urusi kwani Pamoja na kuwa na Jeshi Bora na Silaha Hatari Duniani amekuwa akisita kuiangamiza Ukraine na kuchagua kutumia wanamgambo badala ya Red Army Jeshi Rasmi la Urusi.

Kim Amesema.." Tutaigeuza Kyiv kuwa Jangwa na makazi ya nguruwe badala ya Binadamu, hatutatumia hata wiki Moja kumkamata na Kumnyonga Muigizaji kibaraka aliyetumwa kimkakati Ulaya kusudi aendeleze mikakati ya Unyonyaji wa marekani kwa Bara hilo"...

"Anazungumzia Vitendo?, Mchekeshaji anaweza kutenda nini mbele ya Korea yenye Makombora yenye kufika Washington bila kuonekana?, Kyiv itakuwa Majivu, hautabaki hata Mfupa wa MTU, Tutaigeuza malisho ya nguru, Na ajaribu...Aliyemtuma alishashashindwa na Korea Tangu Babu Yangu Mwenyekiti Kim Ill Sung akiwa na Upanga wake hapa, Leo Kyiv?"...

Korea Kaskazini Imefikia Hatua ya kutaka kuishambulia Ukraine kwa Makombora ya Nyuklia baada ya Rais Zelensyk Kutishia Kuwa Ataiwajibisha Korea kaakazini na Rais wake Kim Jong Un baada ya Taifa hilo la Kijamaa kulitambua Taiga Jipya la Jamhri ya Donetsk kuwa NCHI huru baada ya kumegwa na Russia kutoka Ukraine...
 
Kim Jong Un [emoji45]
 
Mbona mambo ni n'titi n'titi

Zele akiinama n'chale akiinuka n'chale
 

European designers help save money.

In an effort to support avoidance of frequent and prolonged showering due to the prevailing high inflation, designers have developed a print that helps to mask the stale clothes.

Now you are not a stinker, but a conscious citizen who saves energy!
 

Nimekitafuta mpaka nimekipata.
Sio mimi wala grand kadefendi point zake kwa kutumia figa kama hapo.

😂😂😂😂😂Ndio naulizwa data ni nini? Aiiseee keyboard warriors

Ila kupitia taarifa/riport ambazo zinaleta jibu moja kubwa au ndogo,mmoja katumia asilimia mwingine katumia cash kimsingi ni mtazamo mmoja.

Kwa mtazamo huo inatakiwa jibu liwe mpaka sasa ngapi ngapi kwa kila aspect hapo juu.
Ningependa kuona mtazamo mwingine.
Qibsyl
Nasubiria majibu 😂😂😂😂au maji yamezidi unga.
NB.
Sijamanisha figa ndio hizo tuu ila utaona utakapoanzia ili utupe usahihi bado tuko na 150k au zimepungua/ kuongezeka (kimsingi ndio jibu lilivyo pasa kujibiwa so usimezwe na point yangu wala ya grand)
 
Nasoma comments huku namwagilia moyo mitaa ya mbezi beach africana, nilisema hapo nyuma "tunywe mtori nyama tutazikuta chini" Ulaya inapita kipindi kigumu sana. Soon winter inakuja, hakuna nchi itakua busy kuwaza mambo ya Ukraine na kuacha ya kwao ndani... hakuna.

Zelensky ataona rangi zote soon, inawezekana urusi walitaka donbase pekee lakini si ajabu wakachukua Ukraine yote! Nina uhakika dunia inaenda kubadilika, tulizoea US akiwa na chawa wake EU pamoja na Israel wakiwa ni 'viranja' sasa watake wasitake ukiranja wao utakua ni kwao huko huko na si dunia nzima kama zamani.

Kumbe ukubwa wao wote ulikua ni 'mbwembwe tu' propaganda za media na movies zimetudanganya sana. Ni cowards sana... anyway ngoja tuone mpaka December itavyokua.
The irreplaceable
Mbezi dsm

 
haha sio kwa spana hizi pro NATO wakiona hii wanashikwa na tumbo la kuhara wengi hawana hoja watupu kichwani .
 

Unatumia nguvu nyingi kuaminisha watu upo sawa. Hupendi challenge, hutumii maneno yako vizuri. Andikeni mnachojua ni juu yetu kuamua nani yupo sawa au nani hayupo sawa. Unakataa hujakech feeling but believe me, unateseka.

By the way am the one who asked you what is data, you didn't answer the question. My dear Data is facts, What I said earlier to support my arguments was facts not figures. Grasp the difference.

You don't need mobilization of people to settle with your views, its their choice depending on what comes from your brain. Someone who you think has attracted a lot of attention it's all about what he/she tried to give to the majority.

We are all adults here with sense, we give credit to the one who deserves. I didn't see any of either you pro-russia or us, pro-west praising someone from no where.

After all you said huamini data, better be like that to the last. There is no need to compromise.
 

Acha kimbelembele basii alinikoti sinaga tabia za kutafuta watu wanipambie.

Sina ligi yyte na ww wala mtu mwngine.
Natafuta mtazamo mwingine tusipangiane.
 
The first M270 MLRS arrived in Ukraine from the United States, Defense Minister Oleksiy Reznikov said.

“The family of the Ukrainian army has replenished: the first MLRS M270 arrived! They will be good company for HIMARS on the battlefield. Thanks to our partners. No mercy for the enemy,” he wrote on Twitter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…