Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Oh maskinii nchi yao inaendelea kumegwa wao wanasifia silaha zinazoonekana kabisa hazitabadili chochote

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hi inachekesha.
Em kwanza ncheke

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ulaya imekuwa ubaya
 
Hi inachekesha.
Em kwanza ncheke

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine akili za Anglo-Saxon breed ni fyatu kabisa!! Majivuno yao,viburi,dharau na racism vimewatalawa sana,wanajiona wao ni bora kuliko binadamu wengine hapa Duniani. We fikiria akikamatwa askari wa kukodi/mamluki huko Ukraine kutoka UK au USA basi badala ya Serikali zao kuwaombea msamaha kwa Putin wao wanakimbilia kutoa vitisho kwamba wakinyongwa Putin atafikishwa mahakamani the Hague, hata hili la kusema eti mfanyakazi wa NGO kutoka Uingereza kafia gerezani,hakuna cha NGOs wala nini sijui - wale wote ni majasusi yanayo jificha nyuma ya patizia za NGO kuanzisha na ku-fund vikundi vinavyo chochea colour revolution, ndicho kilicho tokea huko Ukraine in 2014.

Mapema mwaka jana nchi za magharibi zilikuwa mbioni kutumia aridhi ya Ukraine kama spring board ya ku-instigate regime change nchini Russia kwa kutumia NGOs za Uongo na kweli pamoja na ku-encouraged na kuwapatia silaha kali jeshi la Zelensky kushambulia/vamia majibo ya mashariki mwa Ukraine yanayo kaliwa na ma-separists ikiwemo na Crimea - Urusi iliwahi jeshi la Zelensky kabla hawaja tekeleza mipango yao ya kijeshi - kuzidiwa kete na Putin kuliwakasirisha sana US na UK akina EU ni bendera fuata upepo hawana kauli mbele ya USA Administration - kimya kabisa, unaweza kufikiri EU ni jimbo la 51 la Amerika.
 
Kuna muda wanapiga vifaa vilivyopo karibu na makazi lakini inawafikia wakazi walio karibu


hii gharama kubwa inawakuta warusi kwa sababu zelensky kaamua liwalo na liwe .


Taarifa kubwa ni kwamba russia wana control kituo kikubwa cha nuclear kipo chini yao kuanzia siku ya leo.
 

Russia Building Laser Weapon To 'Soft Kill' US Spy Satellites​


Russia is developing a new anti-satellite weapon that could soon disrupt Western spy satellites flying over its territory.
The Space Review published a new report indicating "strong evidence that a space surveillance complex in Russia's northern Caucasus is being outfitted with a new laser system called Kalina that will target optical systems of foreign imaging satellites flying over Russian territory."


Construction of the Kalina project began in 2011. In a 2014 financial document, Kalina's stated purpose was to "create a system for the functional suppression of electro-optical systems of satellites" using high-powered laser pulses.

Another document from 2017 described Kalina as a "laser system for electro-optical warfare" and said it was a special quantum-optical system" being developed by the Rosatom state corporation.
Kalina can permanently blind optical sensors on satellites, and this is different than other laser weapons known as "dazzlers," which can temporarily blind optic systems).
Russia's desire to target satellites via a so-called 'soft kill' approach is a much different strategy than launching an anti-satellite missile, as it recklessly did in November 2021, knocking a defunct satellite out of orbit and, in return, generating 1,500 pieces of space junk.
The report said, "the project has suffered numerous delays, but recent Google Earth imagery shows that construction is now well underway."
News of Russia's next-gen laser weapon comes as Space X CEO Elon Musk has said his company could launch more satellites than Western adversaries can shoot down. It seems like the Kalina project could soon challenge Musk's satellite constellation via low-cost beams of light rather than costly missiles, making it cheaper and easier for Moscow to take down more satellites.
 
Kutakuwa na jambo linataka kutokea huko Kiev wamarekani wanekimbia ofisi Yao.


💢The American Embassy in Kiev is closed for business, without an employee in sight, say eyewitness reports.

The other day, the United States appealed to its citizens to leave Ukraine.

@NewResistance
 
Kuna kitu kizito kunakaribia kuwapiga hao kina Zele
 
Ahahahah

Acha wapelekewe moto
 
Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wezao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo - Putin akumbuke kwamba Zelensky anatumiwa na USA kwa lengo la kuhujumu Urusi kiuchumi na pia kujaribu kudhoofisha Urusi kijeshi ili mwisho wa siku wa instigate regime change na ikiwezekana Taifa la Urusi ligawanywe vipande vipande ili multinational companies za magharibi ziifanye Urusi iwe shamba la bibi, ndio walivyo hakuna cha kusema USA ina uchungu wa kweli kwa Ukraine no raia wake, hawana kabisa shida yao ni unyonyaji tu,basi.
 
Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wenzao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo. Mbinu Putin alizo tumia huko Syria kukabiriana na waasi walio kuwa wanatishia utawala wa Asaad ndio zinazo takiwa kutumika nchini Ukraine - brute force,that is.

Putin akumbuke kwamba Zelensky anatumiwa na USA kwa lengo la kuhujumu Urusi kiuchumi na pia kujaribu kudhoofisha Urusi kijeshi kwa njia ya ku-prolong vita inayo endelea chini Ukraine ili mwisho wa siku USA wa instigate regime change na ikiwezekana Taifa la Urusi ligawanywe vipande vipande ili multinational companies za USA ziifanye Urusi iwe shamba la bibi, ndio walivyo, hakuna cha kusema USA ina uchungu wa kweli na Ukraine wala raia wake, wazo hilo hawana kabisa, shida yao ni unyonyaji na kuwafanya watu wawe watumwa ,basi
 
Nafikiri Putin anajitahidi kadri inavyo wezekana kuto wazuru raia wasiokua na makosa.
Lakini anatakiwa awape kichapo zaidi watiifu wa Zelensky ili kuwanyima mwanya wa kujipanga na hao NATO.
Ila naamini Russia anatambua haya
 
Kumbe warusi walikuwa mapumzikoni.

💢 The ten-day operational pause in the fighting in the Donbass is coming to an end, according to the American neo-conservative "Institute for the Study of War" in its new report.

👉Over the past 24 hours, the Russians carried out several ground attacks northwest of Slovyansk, southeast of Seversk, along the Bakhmut-Lysichansk highway, southeast of Bakhmut and southwest of Donetsk. That is, the Russian troops are trying to resume the offensive.

And, although the offensive is not yet large-scale, they may expand in the next 72 hours, the report says.”

@NewResistance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…