Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wezao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo - Putin akumbuke kwamba Zelensky anatumiwa na USA kwa lengo la kuhujumu Urusi kiuchumi na pia kujaribu kudhoofisha Urusi kijeshi ili mwisho wa siku wa instigate regime change na ikiwezekana Taifa la Urusi ligawanywe vipande vipande ili multinational companies za magharibi ziifanye Urusi iwe shamba la bibi, ndio walivyo hakuna cha kusema USA ina uchungu wa kweli kwa Ukraine no raia wake, hawana kabisa shida yao ni unyonyaji tu,basi.
Wiki iliyopitaKutakuwa na jambo linataka kutokea huko Kiev wamarekani wanekimbia ofisi Yao.
π’The American Embassy in Kiev is closed for business, without an employee in sight, say eyewitness reports.
The other day, the United States appealed to its citizens to leave Ukraine.
@NewResistanceView attachment 2292951
Kuna jamaa alisema HIMARS zinapiga show mrusi hatembei π€Kumbe warusi walikuwa mapumzikoni.
π’ The ten-day operational pause in the fighting in the Donbass is coming to an end, according to the American neo-conservative "Institute for the Study of War" in its new report.
πOver the past 24 hours, the Russians carried out several ground attacks northwest of Slovyansk, southeast of Seversk, along the Bakhmut-Lysichansk highway, southeast of Bakhmut and southwest of Donetsk. That is, the Russian troops are trying to resume the offensive.
And, although the offensive is not yet large-scale, they may expand in the next 72 hours, the report says.β
@NewResistance
Kumbe warusi walikuwa mapumzikoni.

Amefanya hivo kwa kuogopa majibu ya Russia baada ya kuvunja onyo alilopewa la kutopeleka Makombora ya masafa marefu ambayo yanaweza Shambulia ndani ya Russia.Kutakuwa na jambo linataka kutokea huko Kiev wamarekani wanekimbia ofisi Yao.
[emoji96]The American Embassy in Kiev is closed for business, without an employee in sight, say eyewitness reports.
The other day, the United States appealed to its citizens to leave Ukraine.
@NewResistanceView attachment 2292951
Na bado, mazezeta hao wa Ulaya watajuta sana kwa kusikiliza na kifutata ushauri potofu wa Wamerikani - huku Merikani/Biden yuko maili elfu nne kutoka bara la Ulaya akila kuku kwa mrija - anawacheka tu, ni Hungary na Serbia ndio walishtukia plot za Wamerikani ndio maana walikataa kuingizwa mkenge kwenye chuki binafsi za Biden kuhusu Putin.Vurugu Kila pahali loh π€£π€£π€£
π’ Militant labor action in Hamburg, where workers are protesting at the docks.
"Who cares about Russia, we're losing homes and can't eat"
Dockers demand changes in working conditions, stating that against the background of rising prices due to Germany's economic self-sabotage against Russia, they do not have enough money to feed their family.
@NewResistance
View attachment 2293266
Kuna jamaa alisema HIMARS zinapiga show mrusi hatembei π€
Machuma chuma yao yamebondwa na RussiaKuna jamaa alisema HIMARS zinapiga show mrusi hatembei [emoji2960]
Hii biashara ya kupigana kindugu ndugu kwa kuwaonea huruma wa Ukraine kwa kuwa ni Waslav wezao - kitu hii itakuja kuwagharimu dearly jeshi la Urusi eventually - jeshi la Zelensky na wamuluki wake sio wa kuonea huruma hata kidogo - Putin akumbuke kwamba Zelensky anatumiwa na USA kwa lengo la kuhujumu Urusi kiuchumi na pia kujaribu kudhoofisha Urusi kijeshi ili mwisho wa siku wa instigate regime change na ikiwezekana Taifa la Urusi ligawanywe vipande vipande ili multinational companies za magharibi ziifanye Urusi iwe shamba la bibi, ndio walivyo hakuna cha kusema USA ina uchungu wa kweli kwa Ukraine no raia wake, hawana kabisa shida yao ni unyonyaji tu,basi.
Ama vipi mzichange na kuzichapa kama Russia na Ukraine. Atakayeshinda, ndiye yuko sahihi.Nasema ivii thank you namaanisha.
Kwamba kutokuamini data nilikua mbali kilometer mia.
Nitaelekeza kwa kutumia mfano.
Mfano wa kutumia hotel izi five stars.
Grand melia ina room mia tano kwa hiyo sio lazima ufike ili uligundue hili.(fixed data)
Mimi nataka nikapumzike pale kwa siku mbili ivyo itanibidi nipige cm au email ili kukonfam kama kuna availability.
Nikimaanisha bila kukonfam uwezo wa kukosa room upo hata kama ni mimi peke yangu kwa fact zipi room ziko occupied,out of order ( siwage system haifanyi kazi) hivyo sio active.
Accurate data ni zile ziko active/ tayari kwa matumizi sasa unakuna hotel room 500 ila zinazofaa ni 480 hivyo ww wa huku hauwezi kulitambua hilo ni mpaka umkoseni wahusika/ muhusika.
Na ndivyo pia kwenye uwanja wa kimedani hautaweza kuujua ukweli ni kwa intelligence ( mfano hii report) au muhusika akuambie,na sio rahisi kukuweka wazi katika hali kama hiyo ndio maana kwenye report wanakuja na % tuu.
Mimi ndicho ninachoelewa kwenye neno data kwamba ni fact katika mfumo wa namba.
#SIMUACHII MUNGU.
Urraaaaaa πππππ
Ama vipi mzichange na kuzichapa kama Russia na Ukraine. Atakayeshinda, ndiye yuko sahihi.
Mkuu lakini kumbuka Merikani inaweza kuwa ina mpago hatarishi zaidi usije kuta amekwisha wapatiaAmefanya hivo kwa kuogopa majibu ya Russia baada ya kuvunja onyo alilopewa la kutopeleka Makombora ya masafa marefu ambayo yanaweza Shambulia ndani ya Russia.
Sasa baada ya kupeleka HIMARS ameona kabisa ashavuka Redline na muda wowote Russia inaweza ika upgrade aina za silaha inazotumia sasa hivi nakwenda kwenye high advanced millitary weapons, ambazo zinaweza isambaratisha USA embassy kama sehemu moja wapo ya USA ndani ya Ukraine.
Hao wababe wa vita duniani (USA&Russia) wanafahamiana vyema kabisa uwezo wao wa kijeshi kuliko mtu/taifa lolote lile duniani. Kwahiyo ukiona USA amekimbia ardhi yake (USA embassy) basi jua kuna harufu kaihisi ya kufanyiwa kitu mbaya na Urusi
Siku tu Ukraine ikijichanganya kutumia hizo HIMARS kurusha kombora likatua kwa bahati mbaya hata pale Crimea Hiyo embassy ya USA itageuka kifusi na magofu.
URUSI HUWA HAIKOPESHI[emoji635]
Count me in. Silaha za kisasa utapata. Media coverage na political propaganda pia. Nitawashawishi marafiki waweke vikwazo vizito kwa jamaa ili wachoke na kulegea. Nitafanya training fulani fulani za kimedani ili upate mbinu sahihi.πππππMpaka hapa ni KO one vs wao.
Coz kuna fact nyingine ilipostiwa kwamba kulikua na watu wanachukua data mtandaoni alafu wanawablemu Ukraine msemaji wao aksema kuna screpa na blablaa zingine.
Kwa wakati ule sikua na time lazima ningejibu Maana ndio inayoshabiiana na ubishani wa jana.
Alafu mimi ndio nikaonekana mwehu πππ
Ila sio kesi ndio utamu wa battle.
Ukweli haukai mbali siku zote.
Count me in. Silaha za kisasa utapata. Media coverage na political propaganda pia. Nitawashawishi marafiki waweke vikwazo vizito kwa jamaa ili wachoke na kulegea. Nitafanya training fulani fulani za kimedani ili upate mbinu sahihi.
Kitu cha msingi, chonde! chonde! Usikubali kamwe kwamba umeshindwa, hata kama maji yakifika shingoni! Otherwise, silaha zingine nitakazokutumia, make sure unazitunza na kufanya logistics vyema na kuzitumia kwa makini.
Most importantly, usilenge Moscow!
πππAmefanya hivo kwa kuogopa majibu ya Russia baada ya kuvunja onyo alilopewa la kutopeleka Makombora ya masafa marefu ambayo yanaweza Shambulia ndani ya Russia.
Sasa baada ya kupeleka HIMARS ameona kabisa ashavuka Redline na muda wowote Russia inaweza ika upgrade aina za silaha inazotumia sasa hivi nakwenda kwenye high advanced millitary weapons, ambazo zinaweza isambaratisha USA embassy kama sehemu moja wapo ya USA ndani ya Ukraine.
Hao wababe wa vita duniani (USA&Russia) wanafahamiana vyema kabisa uwezo wao wa kijeshi kuliko mtu/taifa lolote lile duniani. Kwahiyo ukiona USA amekimbia ardhi yake (USA embassy) basi jua kuna harufu kaihisi ya kufanyiwa kitu mbaya na Urusi
Siku tu Ukraine ikijichanganya kutumia hizo HIMARS kurusha kombora likatua kwa bahati mbaya hata pale Crimea Hiyo embassy ya USA itageuka kifusi na magofu.
URUSI HUWA HAIKOPESHI[emoji635]
Oyaaaa tuachie machuma chuma yetu mzee πππMachuma chuma yao yamebondwa na RussiaView attachment 2293281
πππππAma vipi mzichange na kuzichapa kama Russia na Ukraine. Atakayeshinda, ndiye yuko sahihi.