Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani una maanisha London Au New York au Berlin au Paris wapo Tayari miji Yao iharibiwe na mabomu ya nuclear kisa tu kumfurahisha Zelensky eti waonekane wanamtetea. Are you serious mkuu?
Mabomu yakija kuwalipukieni na kuwafukunyueni bongo zenu, mm tayari nimeshawatahadharisheni ilee kitambo. Adios! Naenda zangu Planet Mars aboard SpaceX!
 

Hii mada bado tu? Mbona kama tulishaisawazisha?
 

Unafiki wa US umeshachorwa kwa red pen tayari na mataifa yenye akili. Wamegundua njia pekee ya wao kuendelea ni kuwa free from her fatal fetters.
 
Kunufaishana ndio mpango mzima.

Lkn kwa haya yanayoendelea na kwa namna west wanavyofanya maamuz najikuta nashangaa kuwa taarifa tunazotangaziwa si sahih au west wana malengo makubwa zaid ndio maana wamechagua subra.
Sina hakika kama ni "subra", kwangu naona kama hana la kufanya. Nawaza endapo akiamua kuji'stress zaidi ya hapo alipofika hali itazidi kua ngumu zaidi.

🔸US nation debt ni kubwa sana mara dufu. Akilazimisha mazito zaidi anaweza kujisababishia "default" kama aliyo kua akii-lazimisha kwa Russia.

🔸Akisema aongeze vitisho kwenye matumizi ya dollar au mifumo ya kifedha. Hiyo hali itaongeza mbio kwa nchi zingine kutafuta alternative. Alternative ambayo itasababisha kupungua kwa demand ya dollar.

Since dollar ni free currency, haiko pegged to anything. Value yake inategemea demand kwenye forex market. Demand ikipotea dollar will be no more. US economy will collapse kama kufumba na kufumbua jicho.

🔸Akisema afanye kwa ubabe, Quarter ya pili hiii economy growth ya US inasoma negative. Atapigana na wangapi ukizingatia walio baki upande wake ni "State 51" maarufu kama EU, then Japan na Australia. The rest wamempa kisogo.

🔸US ni net importers, 41% ya imports zake according to CIA factbook zinatoka China na Mexico. Kuendelea kuweka tension unaelewa hapo nini kitatokea.

🔸Mbali na hilo, US economy kwa mujibu wa hao hao CIA Factbook, Uchumi wao umejikita sana katika sector ya Sevices.
I mean composition ya GDP yao by sectors iko hivi.
<1% Agriculture
19% Industries
80% Services

Kwenye uchumi services sector huwa ni zao la "expenditures" za watu. Hali ya Raia inapokua ngumu, waka-anza kubana matumizi. That means wana punguza spending. Sasa wakibana matumizi automatically Hii sector ya uchumi (Services) huwa inayumba.

Alikuwa akitumia Uber anaamua kutembea kwa mguu, Mlo wake ulikuwa McDonald au KFC hali tata anarejea jiko lake nyumbani. So Services sector inapoteana kama hivyo.

Na hiyo ndio sababu ya Uchumi wa US kipindi hiki kudorola. Sasa endapo akizidisha ***** ***** hali itazidi kua mbaya upande wake.

Kati yao US na EU, US ni kama mjanja mjanja... Hana adui wala rafiki linapokuja issue ya maslahi yake. Angalia US ana lift sanctions anazoona zinamuumiza ila EU zombies wako radhi viumane no matter what.

Tumesikia karejea kushirikiana na Urusi kwenye International Space Station. Kesho tutamskia anashirikiana jambo na Uchina maisha yanasonga. Hizo ndio Geopolitics zilivyo. Michezo ya Power...
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺🇹🇿
 
Kuna jamaa alisema HIMARS zinapiga show mrusi hatembei 🤭
PRO-NATO hawajielewi mkuu, wamesahau walivyokuwa wakitupigia makelele humu ooh javelin...ooh MANPAD zaenda maliza kila kitu. Tulichoshuhudia baada ya kupelekwa MANPAD na Javelin ni Ukraine kupoteza zaidi ardhi yake. Siku hizi Javelin na MANPAD hazitajwi tena😂😂🤣🤣
 
Ungemuuliza aliye-iendeleza nadhani angekupa majibu mazuri.
Lipotezeeni Hilo jambo ila dada yangu Ngaboru dah!!!..............

Kamanda Qibsyl ungeipotezea kimya kimya lakini dUh!!!!!............

Ninyi wawili ingetokea mmefunga ndoa au uchumba au hatua za awali za mitongozo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]............

Wana tungesema Vimeumana...............
Yaani chuma kwa chuma msuguano wako ni Cheche au moto.

Kweli ninyi ni pro Russia...................
Yaani ng'adu kwa ng'adu, fact kwa fact kudadeki, Hila hii battle yenu..... Hiiiiii in magufuli voice


Naomba kwa niaba ya pro Russia wote, Hili swala liishe na muanze kushambulia pro Nato waliopo kule Isongole Ileje
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Huwa napotezea saaana tu bro! Jana nilijibu text moja tu kisha nikakausha kiume sasa leo nimelikuta tena vidole vikakosa subra 🤪🤪🤪.

Siko nalo wala basi tu ndio vile nishakula KO natulia zangu 🤭
 
Eti "hiiiiiiiii" in Meko Voice bagheshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa Russia na USA wanafahamiana vizuri, yakuwa wote ni maji marefu kuliko hata hizo open records zilizo public kuhusu Military Power zao.

Naamini ni hasi na chanya, direct contact ni short circuit.

But Russia ni mbabe sana na yupo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…