Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Niambie katika dunia hii ni nchi gani inayoweza kupigana na NATO +MAREKANI +WASHIRIKA WENGINE.URUSI anapigana na nchi zote izo maana kila siku silaha zinaingia UKRAINE.Bado nuclear pekee ndo UKRAINE hajapewa,ila silaha karibia zote kashapewa.



Silaha alizopewa UKRAINE ni zaidi ya silaha wanazomiliki jeshi zima la NATO.

 
[emoji23]

Kwingine anapeleka jeshi lilinde Raia wake, pale Ukraine anawaambia watoke chap, kwamba hakuna ndege itakayo enda kuwaokoa.

Life tam sana ase, kila Boss ana boss wake, kila mbabe ana mbabe wake.
Russia anatisha sana we ulitarajia kuona wapi Marekani akaishi kama nguchiro sasa ivi akisikia mwanaume anabatiza Ukraine na mabomu US anakimbiza kiwiliwili kwenye mashimo na kujificha
 
Nawasalimu kwa jina la Russia.

#ubuyu bado unaendelea.
#ID tatu mtu mmoja
#πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nilizani hatajitokeza mtu kweliii mambo ni bambam.
Naona umechelewa kufahamu tu mkuu,mimi Ni pro-russia wa kuzaliwa lkn Kuna ID 4 za Pro-russia zilikua Ni za mtu mmoja. Anaanzisha kitu na kujijibu mwenyewe na ktk hizo ID hata hii yako nilijua Ni moja Kati ya hizo 4, ingawa bado Sina uhakika pia Kama sio mojawapo ya hizo ID 4 zilizoamua kutuzuga tu.
 
Huyu jamaa ni nani? Kuna mwingine pia mwenye mawazo ya hivi nilimuona Twitter aliweka video akiilaumu US.
Jina limenitoka bro! Huwa hawapewi airtime ya kutosha kuwasikia ni mbinde.

Mwingine huyu mama, nahuyo mzee wa pembeni yake kutoka Ireland Republic ni moto wa kuotea juu ya mti.

Msikie
Your browser is not able to display this video.
 
Wakati operation ulifuatilia?
Mrusi mpaka anaingia mlango waKiev ulifuatilia?
Kikao kilichofanyika uturuki cha usuluhishi baina ya Russia na Ukraine ulifuatilia?
Miongoni mwa makubaliano ilikuwa ili maongezi yafanyike Russia alitakiwa na Ukraine asiipige Kiev ndio waongee uliisikia?
Rejesha fahamu zako vzr ili uweze kujua kwanini operation hii ina kauzito kidogo,kumbuka Russia anataka awapige
na kuwatawala na apate muunganiko sahihi sio kuua halafu atawale lzm iwe
ngumu hata kwa baadae
na utambue mrusi ana makombora ya kutosha kwa kila nyumba ikapopolewa na kombora lake na kuua ila hilo kwake
akilifanya mtihani kwenye kutawala
anajitahidi kupunguza chuki kwa baadae
anawapiga,anawatibia na chakula wanapewa na sigara wanapewa wewe ktk maisha yako uliwahi kusikia vita vikipiganwa katika muundo huo?
kuna mazingira Russia anakubali kupoteza askari wake ili kuogopa kujibu jibu litakalokuwa Kali mpaka likaathiri saikolojia za watawaliwa watarajiwa kumbuka kwenye Operation hii Kwa urusi anatumia macho kupiga ijapokuwa kuna mazingira Raia wachache inawakumba lait kama angeamua kupigana kama vita nikuhakishie Ukraine ingekuwa eneo la makumbusho pasi na kutumia nukes Hakuna silaha Russia aliyokosa za ya kuzidi na ufahamu urusi teknolojia ya Silaha ktk dunia ya kisasa yuko mbele nikupe mfano kwasisi tz,silaha tutumiayo kimapigano tumehamia Ak ambayo
ni SMG toka Maca 4 japokuwa zote ni rifle na itafika muda tutatumia mabomu ikiwezekana hata kukamata kibaka
Endelea kukumbuka dunia imehama kiteknolojia kuhusu vita mfano matumizi ya vifaru,kuja javeline imebadili kabisa umuhimu wake na hata Leo kukapiganwa vita baina yetu mfano Kenya na Tz mmoja akawa na javevili tutahama teknolojia ya mapigano bajeti kubwa itahamia Ulinzi fahamu tu dunia inahama zama za vifaru na kuingia kupigwa mpigaji akinywa kahawa mezani na askari wachache wakisafisha kwa miguu,na vifaru vya kisasa kama Armata,nimalizie kukumbusha pia vita ni ushindi haijalishi muda iliyopiganwa
ndio maana na sisi tunajivunia kuwapiga waasi pale Comoro waliokimbia wenyewe.
 
Hahahahahaha. Halafu nashangaa Tunaancha kujadili uhalisia mnaanza kuangalia mtu ana ID ngapi. Tupunguze tabia za kike kike , tunaomba tuendelee kuwaelimisha waliolala.
 
Anaekwambia Kwamba zama za vifaru zinaisha anakudaganya mzee,Snipper Bora huko Duniani ajulikanae Kama Wali alipokimbia Vita Kule Ukraine anakwambia Ile Ni 'War of machines' Ni mizinga inafyatuliwa kutoka kwny vifaru mpk unachanganyikiwa.Pamoja na kua Ni Snipper Bora lkn anasema amekimbia kutoka vitani akiwa amepiga risasi 2 tu.Maana vifaru vinavyatua mambo sio mchezo.
 
Huu mfano wa kususia chakula umekaa vyema sana yani ni sawa na mtoto wa familia agomee chakula flani halafu alazimishe wale ambao ni ndugu nao wagomee. Halafu katikati ya usiku njaa ikimzidia anaamka anakula kimya kimya.

Kukikucha anawaambia wenzie waendelee kukaza na mgomo wako pamoja πŸ˜‚. Eti tugomee pilau tamu la mrusi.

Marekani anawalazimisha wenzie wakaze kama yeye anavyokaza wakatii wanaumia. Njia ni kuondoa vikwazo ila haitasaidia washachelewa.
 
Walisahau pedi zao mjomba πŸ˜‚ sasa wanajifunga pampasi.
 
Watakao fuata kwenye mnyororo wa kuachia madaraka ni viongozi wa: Ujerumani, Sweden, Finland who knows may be na Secretary General wa NATO - vile vile ni wazi Joe Biden hawezi kushinda term ya pili kama atasalimika kwenye kupigiwa kura Bugeni ya kukosa imani na Uongozi wake kwenye term yake hii ya kwanza - kusema kweli mambo sio mazuri jinsi anavyo liongoza Taifa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…