Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu umevuta marijuana ya wapi?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Duh! Hivi hiyo pesa yote isingetosha kweli kununulia ardhi & nchi nyingine kule Planet Mars na kuwahamishia raia wake wote 45 million--na kuwa-secure na kuwalisha hadi pale Elon Musk atakapokuwa ameotesha mimea?
 
Iliwahi kusemwa na Richard Black, former US Marine Colonel.

The funniest and saddest thing is that no one really pays attention to such pertinent information and warning!

Hao viongozi wa Magharibi, NATO, na Ukraine, the way wanavyoshupaza shingo utadhani wako wanafanya experiment ya kugundua watu wengi kiasi gani wanaweza kuteketezwa kwa silaha za Russia!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…