Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwamba wa Kremlin ni jasusi haswa, sio kama jasusi wenu wa kimchongo aliefurushwa CCM na hayati Jiwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kama namwona jasusi na briefcase yake akiwa mbele ya waandishi wa habari wakati alipopotea ghafla kwenye kampeni 2020 eti alienda kuchukua pesa zake somewhere πŸ™‚
 
Mwanzo wa Taifa kuanguka. Sasa rasmi Rais ana maadui wa ndani.
Nawambieni huyu hachukui. round - watamtoa pumzi siku za hivi karibuni, labda na yeye amekwisha hisi hivyo ndio maana anafanya mambo ya ndio sivyo na liwalo liwe - kesha jitoa kafara - angalia zungumza yake, maelezo yake ni totally incoherent and too childish, nashangaa western media kumsaidia kwenye publicity stunts zake - hayuko serious hata kidogo - my opinion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…