PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 721
- 2,228
Mkuu unanivunja mbavu [emoji16][emoji16]Bado mnahangaika nao tu? Hao masikio yao wameungwa earpiece inayopokea taarifa exclusively moja kwa moja kutoka Washington & London.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]NATO tungeweza kuingia, lakini ni vile tu hatutaki kuonekana na dunia kwamba tunamwonea inferior wetu kama nyie mnavyomtambia Ukraine.
Mara paap anakuta kwenye mkoba wa nuclear hamna kitu zaidi ya ile midoli ya nanhii. Maana hawa magasho hawakawii kujinanhii kila wanakoenda 🤮🤮🤮...Game changer kwa vibaraka wake sio kwa mcheza Chess nguli toka Kremlin...Anasukuma kete tu Gayden anazidi kwenda chaka mwishowe atakimbilia mkoba wa Nuclear ndio atajua hajui 😂😂😂
Hahahah kumbe spy wa kirusi kawawekea Toys 😂😂😂Mara paap anakuta kwenye mkoba wa nuclear hamna kitu zaidi ya ile midoli ya nanhii. Maana hawa magasho hawakii kujinanhii kila wanakoenda 🤮🤮🤮...
Au wao wenyewe maana wanaume wa west wana husudu sana "Dickson" kuliko "Papuchino". 🤭😂🚶Hahahah kumbe spy wa kirusi kawawekea Toys 😂😂😂
[emoji23][emoji16][emoji23]Mkubwa ni mkubwa tu, taratiiibu wanaanza kujirudi wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] njaa Haina mbabe
[emoji845] [emoji1099] [emoji635] The European Union is going to allow partially unfreezing the finances of Russian banks that have fallen under sanctions to allow transactions for food trade, European media report[emoji845]
Wanamaindisha Cassava La Bien 😂Au wao wenyewe maana wanaume wa west wana husudu sana "Dickson" kuliko "Papuchino". 🤭😂🚶
Wako radhi wakupige mithili ya Nagasaki na Hiroshima ili mradi wajihakikishie uhakika wa "Rungu" dawa ya meno wajisukutue waridhike sheeenzi kabisa hawa 😏🙄
Habari njema mnooooDollar inaendelea kupigwa teke
[emoji599] [emoji1130] [emoji635] The Tehran Currency Exchange launched trading in the Iranian rial - ruble pair
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Ukisikia uchokozi kwa marekani huu.
[emoji1130]Commander of the Iranian Army Heidari: Tehran is ready to export military equipment and weapons
[emoji23][emoji16][emoji23]
RUSSIA ndio maana halisi ya Super Power
Anatoa kipigo ya silaha na kipigo ingine huyu mwamba
kabisa awaambie RUBO ndio iwe pesa yamanunuzi
Ila US anazidi poteza ushawishi mpaka kwashost zake!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga Katia mtu mimba kazi ipo, hiki kitu wanaforce ila nature inatake placeAu wao wenyewe maana wanaume wa west wana husudu sana "Dickson" kuliko "Papuchino". [emoji2960][emoji23][emoji124]
Wako radhi wakupige mithili ya Nagasaki na Hiroshima ili mradi wajihakikishie uhakika wa "Rungu" dawa ya meno wajisukutue waridhike sheeenzi kabisa hawa [emoji57][emoji849]
AhaahahShiga Katia mtu mimba kazi ipo, hiki kitu wanaforce ila nature inatake placeView attachment 2296605
Ahahah,dah
Boss naona umefurahi sanaaa hadi umeamua kuunda neno jipyaUmenena vyema mjimba [emoji1666]
Zelensky kafuta wafakazi 28 zaidi ndani ya serikali yake akidai wana muhujumu kwa kushirikiana na urusi .
Alipofikia ni patamu wanao mjua anawapumzisha halafu badae wamtolee siri zake kirahisi zaidi hafikilii kama ukianza kupangua uongozi wako ni dalili ya kujimaliza kwa badae.
source WION .
Well said, kwenye nyanja za uhongaji, rushwa na mambo mengine ya ndio sivyo Biden ni gangwe mahili sana, hata mtoto wake wa kiume kaiga tabia ya baba yake to the letter!!Labda kama JB akiamua kuwatuliza kwa kuwalipa wote fidia. Maana kwa kuhonga naye ajambo.
Kazi mapema. Ndani ya masaa 24 wapo St petersbergNATO wakamsaidie UKRAINE[emoji4][emoji4][emoji4]
Maana RUSSIA hana silaha zakutosha ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwamba ilikuwa ndio plan yake. Yawezekana wengi wa aina hii wapo.Shiga Katia mtu mimba kazi ipo, hiki kitu wanaforce ila nature inatake placeView attachment 2296605