Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

EU watakuwa wameshatepeta, Ujerumani hoi, Wafaransa ndio usiseme yani, poland wanagombania vichaka maana miti itakuwa imeisha.

Huyo Marekani anatobolea wapi!?
 
🇺🇦🇪🇺Europe complains about the decline in defense capability due to the supply of weapons to 🇺🇦.

This was stated by the European Commissioner Thierry Breton.

We are talking about a shortage of anti-tank complexes, armored vehicles,air defense systems,artillery and ammunition
 
Kaenda Iran kufanya nini ?
 
Kwenye pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana wakiongelea KHARKIV na KHARKOV
Hivi hua wanaongelea sehem moja ila wanakosea maandishi kuandika ama nisehem mbili tofauti
Wajuvi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni sehemu mbili tofauti. Kharkiv iko North East of Ukraine na ni mji wapili kwa ukubwa, ni sehemu ya mji uliopiganiwa sana mwanzaoni mwa vita ila Urusi ilipoamua kupunguza moto ili kuruhusu mjadala, aliondoa majeshi kule. Kwa sasa wameamua kuurudishia mji moto maana Ukraine na west walijitekenya wakisema eti Urusi ilitimuliwa.

Kharkov iko kusini karibu na Odessa, huu mji uko chini ya Urusi kwa sasa japokuwa Ukraine inajaribu kufyatua mizinga humo ila ndo hivyo.
 
Hill la wizi wa wataalamu na brains ni la kweli......nilisoma na jamaa yangu mmoja miaka mingi ya nyuma Form six...yule jamaa alikuwa genius...masomo yote matatu ya sayansi alipata A kwa Kila somo...yule jamaa Yuko USA kwa Sasa...huwa haifahamiki anafanya Nini huko...lakini akija TZ pengine Mara moja kwa kipindi Cha zaidi ya miaka 10 huandamana na bodyguards wa kizungu wasiopungua wanne.
 
🇳🇮 President of Nicaragua Daniel Ortega spoke about the confrontation between Russia and the West:

"They want to subjugate Russia and China, they are having a moment of schizophrenia, thinking that they still dominate the entire planet, and they do not understand that this is already in the past."
 
More sanctions wakati it's a windfall for Russia!Wewe na mabwana zako wote ni insane,the West wanakata tawi walilo kalia,very stupid indeed.Tunasubiri winter tushuhudie Wazungu watakavyo pukutika,hadi huruma.
Sipati picha pale Berlin, kwa mfano, Hali itakuwaje wakati wa winter....yaani ile baridi yote ile eti kusiwe na gas for warming houses...kwa hakika watakufa...no joke ..
 
Shukran sana MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Háhahahahaha Putin ana meza yake moja ndefe hapa na Manzese,wale wazinguaji wote hukaribishwa hapo
Nalog off Z
Ngoja wamzingue china [emoji1787][emoji1787]kama ajawapeleka nato kwenye kung fu master tempo na kuwaweka nato sakafu ya chini huku juu kuna ngazi kama 200 hivi ndiyo kiongozi wa china kakaa
 
Kwenye pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana wakiongelea KHARKIV na KHARKOV
Hivi hua wanaongelea sehem moja ila wanakosea maandishi kuandika ama nisehem mbili tofauti
Wajuvi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mji ule ule bro, lugha tu ndio yafanya mabadilishano ya hizo herufi I na O.

Ukrainian wanaita "Kharkiv" while Russian wanaita "Kharkov". Second largest city hapo Ukraone. Kama ilivyo "Kiev, Kiyv, Kyiv" Spellings tofauti but mji ni ule ule.

Kaka nahisi kidoogo kama umechanganya "Kherson na Kharkov"

Kherson ndio ipo kusini mwa Ukraine iliyo chukuliwa na Urusi.
 
Kakueleza vizuri sana shika ulichoelekezwa
 
Hakika MKUU tushanyanyasika mnooo natutaendelea kunyanyasika kama hatutajiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Du kweli kabisa wahuni wa serikali za magharibi wanatufisidi sana kama canada wamesomba madini miaka kwa miaka for nothing ....
Mimi na amini hata mradi wetu wa kubadili gesi kuwa kimiminika tungempa mrusi unge gharimu nusu ya pesa wanayo tupiga awa mbwa wa nato
 
Kharkiv na Kharkov ni mji mmoja. Nahisi hapa umechanganya Kharkov na Kherson.
 

Uko sahihi. Nimechanganya kidogo. Nadhani mjadala huo tajwa unazungumzia tu mji wa Kharkiv. Ni mji mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…