Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Mkuu punguza makasiriko shusha nondo.Wapi nimesema naonyesha Su-34, 11. Mnanilipa? Kama hamtaki si mnaacha
Kasema hujuiWapi nilisema najua sana silaha za Ujerumani?
Waziri wa ulinzi kasemaje kuhusu kauli yangu?
Big up ya kitu gani?😂😂😂 Umekosa Cha kupea hiyo big up?😂😂😂Urusi ni viazi kama viazi vingine big up kwa taifa kubwa duniani marekani
Wakimaliza kulipa Marekani Kwa Mauaji aliyofanya ndio atafuata Urusi....lakini Marekani akishalipaUrusi ni sikio la kufa. Atalipwa kwa mauaji yake ya raia haswa wale wanyonge. Shame on them!
Chaaaaaali,kifo Cha mende,mlalooooooooooooooo-In Juma duni's voice.Hakuna mwanaume mwenye kariba kama yako! Wanaume huwa wakiona hawawezi league wanatulia kimya..ww warusi weusi hapa jf wamekutwanga na facts chungu nzima kuhusu hii vita ila bado umekaza shingo iliyojaa vipingili kama ya umi mwarimuu...utajiita mwanaume kwel..umekalia kuja na vijistatistics vyako uchwaraaa..hakuna mwanaume wa aina hiyo..ww n shosti tuu..ndembe ndembeee..
😄😄😄 Duh Ile we jamaa..Akishtua kama hivi huwa anashuka vitu vya nchi jirani ile deep kinoma. So tulia upewe somo na mzee wa nye**o [emoji23]
View attachment 2297166
Hii ndio wanaiona leo...kwamba Russia atachukua maeneo zaidi ya Donbas Region..? Kama ndio hivyo basi hiyo wanayoiita "Intelligence" Ni zaidi ya ugoro.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2297279
Wewe na wewe unatuchosha bana...kama umeishiwa piga kimya....sasa hapo kuna kitu gani kipya....??Number 24 before and after. Ndio maana wakaacha kuonyesha namba za ubavuni kwenye propaganda videos. Bisha ili nikuletee nyingine uzidi kusikitikaView attachment 2297101View attachment 2297106
Unatafuta kitu kipya nenda kwenye uzi wa inventionWewe na wewe unatuchosha bana...kama umeishiwa piga kimya....sasa hapo kuna kitu gani kipya....??
Teknolojia inakua mnama[emoji41][emoji41][emoji41]Hii ni Kh-59M imekuwa intercepted Ukraine. Sijawahi ona air launched missile inakuwa interceptedView attachment 2297074
Hiyo kazi inabidi uajiri mtu akufanyie. Hujalazimishwa kukubali. Huoni ulivyo mjinga unaniambia "niletee", "nimekwambia". Kwani nani kakwambia nimekutajia wewe, unaniamuru hivyo wewe kama nani
[emoji3][emoji3][emoji3] daah, eti anajisifu kabisa kwa wiki anapiga mara kadhaa, tena ratiba ni fixed... WTF! Huyu akikaguliwa marinda tutayakuta kweli?Akishtua kama hivi huwa anashuka vitu vya nchi jirani ile deep kinoma. So tulia upewe somo na mzee wa nye**o [emoji23]
View attachment 2297166
View attachment 2297090
Na nyinginezo
Marekani alitumia hadi mabomu ya sumu na ya kibiologia kule Vietnam ila walishindwa ..tena wavietnam walikuwa wanatumia ak47 tu ....pia hizo silaha za marekani unazo sema azijatumia na zina nguvu ..kitu usicho jua ni kwamba zinategemea sana msaada wa satelite hivyo urussi ikitaka kuzi geuza skrepa basi ni kulipua satelite za usa [emoji631]....pia siyo kweli kuwa urusi katumia aina zote za silaha kuna aina chugunzima ya silaha za maangamizi mrusi azitumii kwa sababu ajatangaza vita kamili ...siku akitangaza vita basi mambo ya kulinda raia na haki za binadamu yana weka pembeni hapo ndiyo utajua kuwa urusi ni hatari kiasi gani hata maji ya kunywa yatageuka bomu hata mito na maji yake vitageuka silahaIla upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Ni mtu mwenye roho ngumu tu ndiyo anaweza kuongea haya.
Hiyo ni mashine ya vita sawa na hii hapa namba RF-95070. Utajua mwenyewe ni nini mi nakupa before and afterView attachment 2297131View attachment 2297132View attachment 2297133