Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
πππNYETO BANA inakuhamisha akili kabisa...πππππ
Mkuu chukuwa mfano huu...Hapa wajomba nina swali.
Tukiachana na wapiga umbea wa EU, kwanini US, Canada na UK issue ya Ukraine wameivalia njuga sana?
NJE YA MADA.πππ
Issue ya Nyeto walio salimika katika Jinsia yetu ni wachache sana. Ila sasa ukiwaza hali mtu anayo kua nayo wakati wa kufanya hilo tukio haswa wakati wa kupiga lile bao la ushindi kisha anapata ujasiri wa kuliropoka mbele ya kadamnasi tena anatoa msisitizo kua ratiba iko fixed ase hicho ni kipaji maalum kiheshimiwe kwa kweli.
Ukienda ndani utaona matendo ya mtu yanavyo kua reflected kwenye ubongo wake. Nyeto ni sex ya kufikirika. Unaweza sex hata na mke wa BoJo π kadri upendavyo.
The same na kwake "Imaginations" zimetawala bongo yake. Soma sentence zake utaona hiyo kituu. Kukuru kakara huu mzozo unaumbua sana watu wenye mahaba.
Intelligence yetu makini ya JF iliweza kumnasa jamaa akichukulia sheria mkononi, sasa toka lini ukamwamini mpiga nyetoππSasa unaletaje habari za udaku,ebu nipe jinsia yako inawezekana sio mwenzetu
Haaa icho kitu cha kuondoa vikwazo mrusi akipendi kabisa yeye anatamani vikwazo walivyo mwekea viendelee....ili NATO NA USA ZIDONDOKE DUNIANI .. DU VIKWAZO VINA MANUFAA MAKUBWA SANA KWA MRUSI
Achana na ***** huyoWe inaonekana somo la hesabu lilikuwa linakupiga chenga sana darasani.nimekwambia naomba ushahidi wa SU-34 unazosema izo 11 zilizotunguliwa,wewe unaniletea maneno mengi
Russia ana test silaha zake, ndo muda mzuri, maana hakuna sehemu zingine anaweza test in real battle, hivyo kila silaha aliyotengeneza lazima ifanyiwe majaribio kasoro mabomu ya nuklia. Na zile intercontinental ballistic missile.
πππ Siyo mzee wa ewura au kapanda cheo βΌοΈAcha propaganda mzee wa nyeto
Sijasema ni ajabu, nilitoa taarifa akatokea mtu akabisha. Ushahidi huo nilikuwa nampaMbona kupigwa ndege ni kitu cha kawaida tu vitani tena ukumbuke kuwa ukraine anapewa mifumo ya mrusi ya kutungua ndege aliyo uza nchi jirani hivyo hakuna cha ajabu hapo
Alafu hizo Su-34 nyingine ni modernization ya M ambayo imeanza kutolewa 2014. Na zina Khibiny electronic countermeasures ambayo inasemekana ni nzuri sanaAfu zinapigwa na silaha za bei rahisi.
Wao hadi leo wameshindwa jua Himars zapiga tokea wap
Lea watoto sasa, unampa kazi kubwa sana mumeo kama ndio uko hivi kichwani.Unatafuta kitu kipya nenda kwenye uzi wa invention
Mimi ni ile jinsia ambayo inawapanda kuwashibisha. Mimi sio mwenzenu ndio, nafuga wenzako kama watatuSasa unaletaje habari za udaku,ebu nipe jinsia yako inawezekana sio mwenzetu
Watoto nimewaachia yaya mwezako kama wewe. Mimi niko natafuta kwa jasho, ole wako nikute umeenda kusukaLea watoto sasa, unampa kazi kubwa sana mumeo kama ndio uko hivi kichwani.
Mkuu, historia inaonyesha kwamba Taifa lilo kubuhu katika wizi wa design za silaha Zach kivita ni US sio Urusi - ninacho sifia media za maghabi zimefanikiwa sana kuwachota akili/brainwash watu wengi Duniani mpaka wana amini kwamba ground breaking designs za silaha za vita zinaundwa Merikani tu, mataifa mengine wanaziiba na kuzi-copy, hiyo si kweli hata kidogo ebu someni historia ya kweli kwanza sio propaganda.
Ngoja nitoe mifano michache kwanza: tuanze na jet fighters: Pioneers wa jet fighters ni Wajerumani Me-262, jet engines ni Wajerumani kampuni ya BMW, waingereza udai kwamba wao ndio wa kwanza kuunda jet engine by Frank Whittle,nilitembelea aliko zaliwa Whittle kuangalia na museum lakini wanakubali kwamba Wajerumani waliwatangulia waingereza katika mbio*NB kwa leo naishia hapa, ntaendelea kufafanua zaidi kesho.
World war zote zilianzishwa in Continental Europe, na hicho ndicho US anakitaka - kisaikolojia US wamekwisha kata tamaa, na wameanza kuona Mataifa mengi Duniani yameanza kuikacha US kimtindo - kwa bahati mbaya hulka za Uncle SAM hakubali kushindwa na kuadhirika atatanya lolote ili aonekane bado yeye ni zaidi - kutokana inept EGO ya watu hawa, binafi nahisi uwezekano wa kufumuka WW3 hupo sana na chanzo watakuwa Wamerika wenyewe, How I wish Trump was still in office, huyu jamaa mwingine siyo, mchezo wake, dharau na chuki binafsi na Putin ndio kitakuwa chanzo cha kuiangamiza Dunia nzima - wala hilo yeye halioni -yupo yupo tu na jeuri yake.
Mk254 aione hii.Uwezo wa kuipiga Ukraine ata kwa dk60 tu russia anao sema anataka mteseke wote kama mnavyoteseka muda huu vilio kila kona ulaya uko mafuta bei juu gesi imepelekea mpaka ndugu zenu poland wameanza kuokota kuni yani sikuwai kufikiria kama kuna siku uerope watafikia hatua kama wanayopitia muda huu tuliaminishwa ulaya kuna watu smart wanamipango ya miaka 50 mbele mara hoo wale watu ni magenius mainstream media zilitu brainwash sana tunamshukuru Russia kutuonesha uhalisia wa wazungu .....Viva putin nasisi pro russia tunataka vita iende mdogo mdogo alafu tuone nani atahumia zaid
Acha kuleta urembo katik maneno bna, ukweli uko palepale, hii vita inaonesha Russia ni level za Ukraine
Wewe wacha ujinga mwanaume kamili hanaga mambo ya kubishana kuhusu wanawake...Mimi ni ile jinsia ambayo inawapanda kuwashibisha. Mimi sio mwenzenu ndio, nafuga wenzako kama watatu
Halafu haya mataahira baada ya vikwazo kuwabana wenyewe yanakuja kuisingizia Africa,sijui Yana shida gani.EU wanatia aibu
====
The European Union is planning to amend its sanctions on Moscow to facilitate trade in food and fertilizers, Reuters reported on Tuesday.
The changes will allow EU nations to unfreeze the funds of top Russian banks, which may be required to ease bottlenecks in the global trade of food and fertilizers, Reuters explained, citing a draft document it has seen.
The document said the funds could be released βafter having determined that such funds or economic resources are necessary for the purchase, import or transport of agricultural and food products, including wheat and fertilizers,β the agency said.
The revised sanctions will also help facilitate exports of food from Russian ports, which traders had stopped servicing despite food exports being explicitly exempted from the sanctions, Reuters added, quoting an official.
The amendments are expected to be adopted on Wednesday, and will reportedly concern Russian lenders such as VTB, Sovcombank, Otkritie FC Bank, Promsvyazbank, and others.
Russia is the worldβs largest exporter of fertilizers and wheat. According to Reuters, the changes follow criticism from African leaders about the negative impact the sanctions have had on the trade of critical commodities. The ongoing conflict in Ukraine and broad restrictions on Russia have led to food-supply shortages, rising grain and fertilizer prices, and have triggered fears of a global food crisis.
Halafu haya mataahira baada ya vikwazo kuwabana wenyewe yanakuja kuisingizia Africa,sijui Yana shida gani.
"According to Reuters, the changes follow criticism from African leaders about the negative impact the sanctions have had on the trade of critical commodities".