Hii video Ukraine wakicheki inawaumiza sana kwa kweli.yani Maliupol ishaanza kujengwa upya wakati wao bado wana imani itarudi tu kwao
Kwa hiyo mmebeba hicho kijiji kimoja tu ndiyo kelele zote hizi?Pamoja na kutupigia kelele kuhusu HIMARS, Urusi inazidi kusonga mbele🇷🇺🇷🇺🙌🙌
Kijiji au Ukanda wote wa kusini. Ni eneo karibia na ukubwa wa nchi 3 za Ulaya. Urusi ina linda eneo hilo kubwa kwa takribani wanajeshi 12,000 hadi 15,000. Ni kubwaaaaa mzee.Kwa hiyo mmebeba hicho kijiji kimoja tu ndiyo kelele zote hizi?
Sasa bado mngali mnataka nini tena jamani? Hiyo haiwatoshi tu? Mbona tunafanyiana mambo siyo?Kijiji au Ukanda wote wa kusini. Ni eneo karibia na ukubwa wa nchi 3 za Ulaya. Urusi ina linda eneo hilo kubwa kwa takribani wanajeshi 12,000 hadi 15,000. Ni kubwaaaaa mzee.
Sasa bado mngali mnataka nini tena jamani? Hiyo haiwatoshi tu? Mbona tunafanyiana mambo siyo?
Kazi kwelikweli. Kwa hiyo ni mwendo wa kukomoana. Anyways, ndiyo falsafa ya vita hiyo. NGOJA TUNGOJE!Ukraine hii vita naona wameshindwa ila sasa ivi wanarusha makombola ili kuwakomoa WARUSI.JIONI hii wameshambulia mtambo wa kufua umeme wa nuclear(Zaporizhia nuclear power plant).
Sasa kama wangefanikiwa kuaribu kinu ina maana uwo mji usingekaliwa tena na binadamu.ina maana wao hawana mpango tena wa kuchukua maeneo yaliyochukuliwa na WARUSI.View attachment 2297983View attachment 2297984
Mkuu hapo kuna point umetoa ni kama US na washirika wake wanataka ile vita iendelee muda mrafe sana kumdhoofisha Russia, vita ni gharama, vita inachosha.Kukomesha upuuzi huu wa USA na like mind wenzake,binafsi napendekeza Urusi ijitose moja kwa moja ie afanye full mobilization na kutangaza vita kamili wahachane kupigana vita kindugu ndugu wakihofia kuwaua waslav wenzao.
Putin akiwa na huruma huruma za Kipadri/Askofu Waamerika wataitumia Ukraine kikamirifu kuihujumu Urusi kiuchumi na kuhidhoofisha kijeshi - USA wako determined kweli kweli kuimaliza Urusi kwa kupitia mbinu za ku-wage proxy war kwa muda mrefu.
As I said, Putin na jeshi lake wapigane kwa kasi na nguvu zaidi wakiwa na lengo la kuiondoa madarakani Serikali ya Zelensky. Repeat, Putin akifanya makosa ya ku-delay kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake basi washauri wa Zelensky watamwambia ili kuwakomesha Warusi itabidi ashambulie St. Peterburg, Moscow na Crimea kwa kutumia roketi/makombora ya masafa marefu na kwa kuwa Zelensky akili zake ziko fyatu kidogo atakubaliana na mapendekezo hayo hatarishi ambayo yanaweza yakawa chanzo cha WW3 - my opinion.
Narudia kuwa kumbusha watu kwa mara nyingine tena kwamba kwa usalama wa Taifa la Urusi na Dunia kwa ujumla, Putin na jeshi lake wafanye juu chini kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake.
Hii vita ya polepole inatija kwa mrusi kwa sababu ndiyo inasababisha uchumi wa west ...nato na usa [emoji631] kuyumba na russia kuzidi kukubalika duniani ....kama urusi ingechukua ukraine kwa siku moja basi udhaifu wa jumuia ya NATO usinge julikana ...mrusi ni mjanja anataka mzozo ubakie muda mrefu hadi raia wa nato wachukie NATO nakutamani kujitoa .....kuna faida ngingi sana kama vita vitadumu muda mrefu huku urusi ikiendelea kupata ushindi ...Kinacho takiwa kwa urusi ni kuteka miji mingine kama mitatu na kuzidi kusonga mbaleKukomesha upuuzi huu wa USA na like mind wenzake,binafsi napendekeza Urusi ijitose moja kwa moja ie afanye full mobilization na kutangaza vita kamili wahachane kupigana vita kindugu ndugu wakihofia kuwaua waslav wenzao.
Putin akiwa na huruma huruma za Kipadri/Askofu Waamerika wataitumia Ukraine kikamirifu kuihujumu Urusi kiuchumi na kuhidhoofisha kijeshi - USA wako determined kweli kweli kuimaliza Urusi kwa kupitia mbinu za ku-wage proxy war kwa muda mrefu.
As I said, Putin na jeshi lake wapigane kwa kasi na nguvu zaidi wakiwa na lengo la kuiondoa madarakani Serikali ya Zelensky. Repeat, Putin akifanya makosa ya ku-delay kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake basi washauri wa Zelensky watamwambia ili kuwakomesha Warusi itabidi ashambulie St. Peterburg, Moscow na Crimea kwa kutumia roketi/makombora ya masafa marefu na kwa kuwa Zelensky akili zake ziko fyatu kidogo atakubaliana na mapendekezo hayo hatarishi ambayo yanaweza yakawa chanzo cha WW3 - my opinion.
Narudia kuwa kumbusha watu kwa mara nyingine tena kwamba kwa usalama wa Taifa la Urusi na Dunia kwa ujumla, Putin na jeshi lake wafanye juu chini kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake.
Faida kubwa itakuja wakati wa baridi .Hii vita ya polepole inatija kwa mrusi kwa sababu ndiyo inasababisha uchumi wa west ...nato na usa [emoji631] kuyumba na russia kuzidi kukubalika duniani ....kama urusi ingechukua ukraine kwa siku moja basi udhaifu wa jumuia ya NATO usinge julikana ...mrusi ni mjanja anataka mzozo ubakie muda mrefu hadi raia wa nato wachukie NATO nakutamani kujitoa .....kuna faida ngingi sana kama vita vitadumu muda mrefu huku urusi ikiendelea kupata ushindi ...Kinacho takiwa kwa urusi ni kuteka miji mingine kama mitatu na kuzidi kusonga mbale
Kwa hiyo mmebeba hicho kijiji kimoja tu ndiyo kelele zote hizi?
[/QUOTE
Ingine hii inaenda
Kuna wapumb2vu fulani watakuja kuiponda hiyo submarine wakijifanya wajuvi mno kuliko hata US/NATO....A WARNING TO WESTERN CAPITALS:HANDS OF RUSSIA,
NEW DOOMSDAY SUBMARINE HAS ENTERED THE RUSSIAN NAVY FOR DUTY!!!👇
Hata Idi amini mambo yalipo mfika shingoni alifanya hivyo hivyo ..hiyo ni dalili ya kufika ukingoni kwa ZelenskyZelenscky yupo bize na safisha ya ndan.
Anaondoa wale wote ambao wanaenda kinyume na taratibu zake ili ajiweke salama ktk kiti cha enz.
Lkn hao wanaosafishwa nao wanamvutia kasi akiteleza tu watu wanasinya[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji1787]Intelligence yetu makini ya JF iliweza kumnasa jamaa akichukulia sheria mkononi, sasa toka lini ukamwamini mpiga nyeto[emoji23][emoji23]