Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Nukta ya msingi ni kwamba yeye yuko wapi now? Or, better yet, amezipataje taarifa hizo? Isijekuwa naye anazipata twitani kama Joe Biden.Ukweli ni kwamba Russia yaelekea kushinda vita yaani kuchukua kiujumla eneo lote ya Donbass, hivyo media ya west haiwezi kusema ukweli huo bali kutafuta "patchy news" za kipropaganda.
Mkurugenzi wa CIA William Burns aliwahi kuwa balozi wa US Moscow kwa miaka mitatu (2005-2008) , hivyo kaongea kwa kufuata analysis yake kwa Putin na amejidhihirisha kuwa Putin si mgonjwa.
Ila habari nyingi za media ya nchi za magharibi zilikuwa zikiwalisha habari za uongo na kipropaganda wananchi wao kwamba Putin ni mgonjwa ana saratani na kadhalika .
Wafahamu kwamba majasusi wa US wapo Moscow na wa Russia wapo Washington na wana majengo ya ofisi zao na zajulikana?Nukta ya msingi ni kwamba yeye yuko wapi now? Or, better yet, amezipataje taarifa hizo? Isijekuwa naye anazipata twitani kama Joe Biden.
Kwa sababu sisi tunamwamini Zelensky ambaye yuko right kule fildi akisema soon Ukraine inarudisha maeneo yote aliyoyapoka na kuyakwapua Mrusi. Hutaki kumwamini?
Hatujarudi nyuma kuwaogopeni--^tactical withdrawal^--ni kawaida sana katika medani za vita.
^As Ukrainians, we've everything that it takes to win this war, EXCEPT WEAPONS!^~ Zelensky
Assumption. Can you prove it now?Wafahamu kwamba majasusi wa US wapo Moscow na wa Russia wapo Washington na wana majengo ya ofisi zao na zajulikana?
Hivyo hapo basis of info kwa bosi wa Washington zinategemea na majamaa wa Moscow.
Eti wananikumbusha hapa nikwambie kwamba kila upande una mchecheto na uhakika wa ushindi, so hawawezi kusuburi hadi hukoo fainali.Hi vita siyo ya kushabikia wakuu ,inavyoelekea kuna upande utaumbuka sana ,yetu macho ila mda utasema tuu.bora ukae kimya acheni habari za kukopi media za online mkifikiri zina ukweli kuhusu hii vita ,hii vita subirini finally
Ndo yale nayosema kwamba kuna watu kama wewe hamtafuti habari mwategemea habari za western Media.Assumption. Can you prove it now?
Naona serikali za Mabeberu zazidi kuangamia badala ya serikali ya Putin⚔️⚔️⚔️After the British Prime Minister, the Italian Prime Minister also resigns who will be next I uncork a bottle of mint vodka⚔️⚔️⚔️
Mbona swali ni rahisi sana, wewe Pro-Russia? Nimekuuliza SPECIFIC QUESTION kwamba una hakika gani kwamba huyo CIA wa mchongo alipata taarifa huko?Ndo yale nayosema kwamba kuna watu kama wewe hamtafuti habari mwategemea habari za western Media.
Hivyo hufahamu kwamba mwanzoni mwa vita (mwezi February) Moscow walimtimua jasusi wa US na US ikawatimua Russia diplomats ambao kiukweli wana-cover shughuli zao kwa kazi za kijasusi?
Hizi taarifa zilitolewa mwanzoni kabisa na RT ambayo sasa imefungiwa kwenye nchi za west. Pia mwanzoni western media walikuwa wakitoa habari sahihi kwa matumaini kwamba Ukraine itaweza kuikabili Russia mapema.
Habari zingine ni kama hizi:
Russia expels second-highest ranking US diplomat in Moscow amid Ukraine tensions.
Brent D. Griffiths
Feb 17, 2022, 3:29 PM
The State Department confirmed that Bart Gorman, the deputy chief of mission, was expelled. The department said Gorman's tour, where he holds the second-highest post beneath the ambassador, was not complete and he had a valid visa. It's not immediately clear why Gorman was expelled.
Gorman has worked for the State Department for decades, focusing mainly on diplomatic security and intelligence. He previously worked in Moscow from 2014 to 2016, according to his official bio.
US is expelling 12 Russian UN diplomats
By Richard Roth, CNN
Updated 2117 GMT (0517 HKT) February 28, 2022
New York (CNN)The United States has asked 12 Russian United Nations diplomats to leave the US, accusing them of "espionage activities," as Russia continues its attack on Ukraine.
The Russian diplomats were asked to leave due to their alleged engagement in "activities that were not in accordance with their responsibilities and obligations as diplomats," Ambassador Richard Mills, deputy representative of the United States to the United Nations, said during a UN Security Council meeting Monday afternoon.
Russian Ambassador to the UN Vassily Nebenzia responded by saying Mills' explanation of the expulsions was "not satisfactory."
Russia expels 85 diplomats from France, Spain and Italy.
May 18 (Reuters) - Russia said on Wednesday it was expelling a total of 85 embassy staff from France, Spain and Italy in response to similar moves by those countries, highlighting the damage to relations with leading European Union members since it launched its war on Ukraine.
The three countries are among European nations that have collectively thrown out more than 300 Russians since the Feb. 24 invasion. In many cases, they accused Russian diplomats of spying, which Moscow has denied.
Vyanzo: CNN na Reuters
Haya majamaa sijui yanawaza nini?View attachment 2299976
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]A large number of Ukrainian militants were captured by "O" forces near Seversk[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
View attachment 2299976
⚔️⚔️⚔️A large number of Ukrainian militants were captured by "O" forces near Seversk⚔️⚔️⚔️
Vita vinapiganika kirahisi kwenye kiibodi. Lakini fildi mambo ni tofauti kabisa. Njoo huku ujionee mwenyewe! Si rahisi kama unavyodhani.Haya majamaa sijui yanawaza nini?
Hiyo Seversk tayari imeshaanguka badala yarudi huko Kramatosk- Slovyansk line of defense kujipanga yanaamua kukomaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Sasa yanakuwa pow wakati yangeweza kurudi nyuma ili yapate chansi ya kupigania siku nyingine.
Kwahiyo William Burns ni jasusi wa mchongo, are you serious?Mbona swali ni rahisi sana, wewe Pro-Russia? Nimekuuliza SPECIFIC QUESTION kwamba una hakika gani kwamba huyo CIA wa mchongo alipata taarifa huko?
NB: It's not a general question like one of those ^Assess the factors contributing to deforestation in Sub-Saharan Africa^ lines.
Majeshi ya Russia yajongelea kituo cha pili kikubwa cha nyuklia kilichopo sehemu iitwayo Vuhlehirska. Kituo hicho kipo kilomita 50 (maili 31) kaskazini mashariki mwa jimbo la Donetsk.
Kituo hicho kipo katika mpango mzima wa kijeshi wa Russia (military plan) kukamata miundombinu muhimu katika miji muhimu ya Kramatorsk na Sloviansk.
Wakati huohuo mashambulizi ya anga yamelenga mji wa Kharkiv huku gavana wa jimbo hilo bwana Igor Telekhov akiwasihi raia kutafuta maficho kujikinga na mashambulizi hayo.
Katika jimbo hilo la Donetsk majeshi ya Russia tayari yameshambulia na kuharibu majengo mbalimbali kama mashule katika miji hiyo ya Kramatorsk, Kostiantynivka, eneo kubwa la viwanda la Kramatorsk na katikati ya mji wa Bakhmut.
Wizara ya Ulinzi ya Russia pia imetangaza kuwa majeshi ya Russia yameidungua ndege ya kijeshi ya Ukraine aina ya SU-25 ambayo inasaidikiwa ilikuwa ikipeleka mzigo wa silaha kupitia sehemu ya Kramatorsk.
Mashambulizi yote haya yanofanywa na Russia yalenga kudhoofisha uwezo wa Ukraine kujibu mapigo na pia kuharibu silaha ambazo zahifadhiwa katika majengo na miundombinu mbalimbali kama mashule, maduka makubwa, viwandani na sehemu zenye maghala ambazo zote zilikwishaandaliwa na Ukraine kwa kipindi kirefu.
Chanzo: Telegram.
Hizi hqbari njemaMajeshi ya Russia yajongelea kituo cha pili kikubwa cha nyuklia kilichopo sehemu iitwayo Vuhlehirska. Kituo hicho kipo kilomita 50 (maili 31) kaskazini mashariki mwa jimbo la Donetsk.
Kituo hicho kipo katika mpango mzima wa kijeshi wa Russia (military plan) kukamata miundombinu muhimu katika miji muhimu ya Kramatorsk na Sloviansk.
Wakati huohuo mashambulizi ya anga yamelenga mji wa Kharkiv huku gavana wa jimbo hilo bwana Igor Telekhov akiwasihi raia kutafuta maficho kujikinga na mashambulizi hayo.
Katika jimbo hilo la Donetsk majeshi ya Russia tayari yameshambulia na kuharibu majengo mbalimbali kama mashule katika miji hiyo ya Kramatorsk, Kostiantynivka, eneo kubwa la viwanda la Kramatorsk na katikati ya mji wa Bakhmut.
Wizara ya Ulinzi ya Russia pia imetangaza kuwa majeshi ya Russia yameidungua ndege ya kijeshi ya Ukraine aina ya SU-25 ambayo inasaidikiwa ilikuwa ikipeleka mzigo wa silaha kupitia sehemu ya Kramatorsk.
Mashambulizi yote haya yanofanywa na Russia yalenga kudhoofisha uwezo wa Ukraine kujibu mapigo na pia kuharibu silaha ambazo zahifadhiwa katika majengo na miundombinu mbalimbali kama mashule, maduka makubwa, viwandani na sehemu zenye maghala ambazo zote zilikwishaandaliwa na Ukraine kwa kipindi kirefu.
Chanzo: Telegram.
Nije wapi wewe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Vita vinapiganika kirahisi kwenye kiibodi. Lakini fildi mambo ni tofauti kabisa. Njoo huku ujionee mwenyewe! Si rahisi kama unavyodhani.
Remember they simply take orders from the boss--if you don't comply then you're dead.
Hayo maandish yanamaana gan???