Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Apparently a Russian tank liquidated 4 foreign mercenaries. 2 Americans were Luke Lucyszyn and Bryan Young. Along those 2 reported earlier another Swedish mercenary and a Canadian were also killed north of Siversk in Donestk.

According to mercenaries commander, Ruslan Miroshnichenko, the Americans killed were Luke “Skywalker” Lucyszyn and Bryan Young. He said they were killed alongside Emile-Antoine Roy-Sirois of Canada and Edvard Selander Patrignani of Sweden on July 23.

He said that a Russian tank ambushed the mercenary group where the first tank shell injured Luke. 3 other mercenaries tried to give him first aid when the second tank shell liquidated them all.

The article also notes that 2 other mercenaries named Finn and Oskar received critical injuries.
 
Ili kujikiga dhidi ya nato😁😁😁😁😁😁 nimemkumbuka yule jamaa aliye sema MASUHALA badala ya maswala
 
Tujipe muda tu hiyo hesabu yako itakufunga
 
Kwa kigezo hicho mrusi anaweza kuipiga nchi yeyote ndani ya nato
 
Hebu jiulize mwenyewe hao hao waliowaaminisha kiev itakuwa majivu baada ya mwezi ndo mnawaamini hivi sasa 5 months later haya.. time will tell...baada ya mwaka nitakutafuta unipemrejesho wa idadi
 
Kwa kigezo hicho mrusi anaweza kuipiga nchi yeyote ndani ya nato
Hapana, kama ilivyo USA ilikataa Cuba kuweka kambi ya Soviet kwa sababu Cuba Ipo karibu sana na USA na kusabisha Cuba Missile Criss mwaka 1962 na kuivamia, ndiyo ivyo Russia inakataa Ukraine kuwa member wa NATO na kuweka kambi za NATO mpakani mwake.
 
Aya asante kwa masimango
 
Vladimir haeleweki kama tupu ya binti, yani akisimama iko mbele akiinama iko nyuma 😂😂😂
 
Hebu jiulize mwenyewe hao hao waliowaaminisha kiev itakuwa majivu baada ya mwezi ndo mnawaamini hivi sasa 5 months later haya.. time will tell...baada ya mwaka nitakutafuta unipemrejesho wa idadi
Nani alisema Kiev itakuwa majivu ndani ya mwezi mmoja kama siyo media za Western?

Hivi kuna chochote unacho kijiu kuhusu Russia ambacho huja sikia kutoka kwa maadui zake?

Ukiangalia operation nzima ya Russia, utagundua kuwa Russia haina haraka na papara.

Wanajua michezo yote ya western kwenye kupotosha ukweli.

Mfano mzuri angalia ishu ya mafuta na gesi, Russia hawaja mzuia mtu kununua gesi au mafuta kutoka kwako. Hata hao maadui zake wa NATO na EU. Lakini kila siku utasikia viongozi wa West na Western media zikisema Russia ina sababisha bei ya mafuta na gesi kupanda. Na kuwa ina sababisha kuwa na upungufu wa bidhaa hizi sokoni. Lakini ipo wazi kuwa sunctions ndiyo sababu.
 
Wamuue na hayo madeni atawalipa nani
 
Yani WARUSI wakitaji watu wa kujitolea kwa ajili ya kuivamia POLAND basi mimi nipo tayari kujitolea[emoji635][emoji635][emoji635]
Ile shehena ya "Surgical Strikes" ndio ishakatiza hapo Kalingard 😂😂😂 Liuthania wamefunika kombe mjuba apite.

Tujiandae kwa kipigo cha maangamizi siku 2-3 zijazo wale waliotamba na Himars wataita maji kwa lugha ya kinabii! .....RAKASHA BOBOBOBOBO 😀😀😀
 
Guys jeshi la Ukraine lilikiwa kubwa mno. Lilokuwa tishio. Hakuna nchi yoyote huko NATO ingeweza kupambana na Ukraine.
View attachment 2302405

Ndege vita zilizoteketezwa ni 260, vifaru 4,156!!! Halafu mtu anakataa wanajeshi 45,000 tu kuuawa!!?
Hafuatilii command posts na battalion zilivonyingi . Jeshi ni kubwa na ndio maana ya demilitarization kupunguza hasa kuwaua sio kuwateka ndio maana Russia anawazunguka
 
Hili neno " Liquidated " sijui linamaanisha nini. Au ni KUYEYUSHA 🤣 🤣
 
Wamuue na hayo madeni atawalipa nani
Kwanza unadhani kwanini kama mwezi hivi EU wamezuia mkopo wa Euro 9 billion?

Pili, kwani upatu huu kuwa unamkopesha mtu. Nchi ndiyo imekopeshwa na mikataba kibao. Yoyote atakaye chukua nchi, madeni yana mhusu.

Wasiwasi mkubwa wa EU sasa hivi
1. Namna ya kuomba po bila kuonyesha wameshindwa.

2. Hali ya uchumi nchini kwako kutokana na gharama ya mafuta na gesi.

Kumbuka mwaka 2020 walinunua gesi kwa €100 kwa kila 1000 cubic meter, mwaka 2021 walinunua kwa €250 mpaka €280. Sasa hivi wana nunua kwa €1,700 na kuna uwezekano winter itapanda mpaka zaidi ya €2,000 kama wasipo omba po.

Kama walishindwa kushinda na China kwenye uzalishaji kipindi wana nunua kwa bei nafuu. Wataweza leo?

Hii ita pelekea mauzo yao kushuka, alafu uzalishaji kushuka, then ajira kupotea. Lazima watu wataingia barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…