Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NATO ile ni kama group therapy ya vibaka na mateja. Na pia wanapenda kuvizia mtu dhaifu lakini inapotokea mbabe anakatisha wanakimbilia mafichoni na kuishia kutukana

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Uchambuzi mzuri!
 

Nimependa style yako ya uwasilishaji( kikomedi)😂😂😂😂.
To hell na ustaarabu wao.
 
Sielewi nini umesema hapo, andika upya, huyo Urusi kwa ambavyo amechoshwa na hako ka-Ukraine ajaribu bahati yake kugusa kataifa kamoja ka-NATO.
Marekani na vibaka wenzie walipelekewa sana moto pale vietnam na wakulima wa mpunga....leo ndio maleria iwapande kichwani mpaka waivamie russia. Hapo ni sawa na mtu amewasikiliza motivational speaker na anaona anaweza kwenda kumzaba vibao Dubu mwenye watoto na hiyo ndio nato wanaiita "TACTICAL SUICIDE" kwenye ubora wake.

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
wanachekesha sana awa mwanzoni wakati Op inaanza walikaa kikao na Head boy wao USA akawaambia msijali kama gesi mimi ninayo nitawauzia mimi acheni gesi yake cha kushangaza ata siku 2 azijapita vijana wanamsemo wao wanasema yani "nyau nyau" yaani bila bila poland ndio akawa kiongozi kwenye mgomo baada ya mambo kuanza kuaribika akawa ananunua gesi ile ile ya Russia kwa ujerumani Rais wa dunia putin alivyoona ivyo akampunguzia germany kiwango cha gesi anayompa akampa ile inayomtosheleza yeye tu kwa maitaji yake poland kuona vile akaona amna namna akarudi Head quarter ya natural resource ya uerope kuja kununua.. yani nchi inayotia huruma ni germany Russia akikata gesi uchumi wake nao ndio bye bye viwanda vyote vinafungwa ...Pro nato nimewapa notes izo mezeni ili kipindi cha winter kinachokuja ziwasaidie kuwakumbusha kuwa Super power ni mmoja tu RUSSIA[emoji419]
 

Russia supplies about 40% of Europe's natural gas, mostly by pipeline. Deliveries last year were around 155 billion cubic metres (bcm).

= 155,000,000,000,000 litres
= *simtanks 15,500,000,000 (bilioni 15.5!)

*simtanks za ujazo wa lita 10,000

HOW MUCH MONEY DOES THE RUSSIAN COMPANY MAKE PER DAY?
PER YEAR?
 
Kwa hiyo Hao England wakiwarushia risasi Russia,Russia watazame TU,kwa sababu England ni England.
Usiwachukulie poa England ni Giant, ulaya wote wanaelewa
In morden history England hakamatiki, alikuja Napoleon akapotea, akaja Hilter akayeyuka, something is on their favor. Mimi sijui maybe her Royal highness, or queen factor
 
Hehehe waarabu wa Bongo mliingia cha kike kwenye huu ugomvi, mlijiunga kwenye upande wa hovyo mkidhani mnamkomoa Marekani.


Ndugu, are you serious?????
 
Hii inaitwa TACTICAL COUP. Ni kawaida sana katika medani za diplomasia, siasa, na mahusiano ya kimataifa na kivita, supapawa moja ikaamua kwa nia njema kuingilia mustakabali wa nchi nyingine na kuleta mabadiliko ya kimfumo, utawala na sera zake, kwa lengo la kuwanusuru raia wasio na hatia na pia kudumisha & kuharakisha maendeleo ya nchi husika, badala ya kuyabomoa.

Mfano: Uganda vs Tanzania (1978-79).
 
Ustaarabu waudikteta na kuoana wanaume kwa wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…