Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati US yupo bize kusifia na kupromoti Himas zake, Urusi wanateka uti wa mgongo wa nchi ya Ukraine...
 
Kumbe Russia inaogopwa Sana huko ulaya
🇷🇺🇪🇺Europe was shocked by Lithuania's actions during the crisis with transit to Kaliningrad.

Senator Andrey Klimov @rusaccent told the correspondent of @Sputnik about this.

"I just know through exclusive channels what directives were sent out there and what horror reigned there. They just realized that we will respond not only by conventional methods."

Russia really considered all options to get out of this crisis, the senator said.

"I would not like to frighten anyone, but the mood in Moscow was peculiar. I also wrote in my channel at that time that we were considering all the tools," he said.

Subscribe to @Sputnik
 
Baba tawala milele kelele za Bob wyne ziishie studio mwamba baki ikulu 👍👍👍ivi kuna kura za east africa nimuongezee mzee wetu😂😂😂😂😂.
😁😁 Huyo babu aliwahi kuulizwa ndoto yake Ni Nini? akasema Ni kua rais wa Kwanza wa shirikisho la Africa mashariki,so Muda ukifika utapata muda wa kumpigia kura mkuu 😁😁
 
Ndugu unauliza maswali ya ajabu kidogo. Nimeonyesha waziwazi kura ya maoni ilitekelezwa na Pew. Kama huwajui, basi watafute tu. Taarifa yao kamili pamoja na data zote inapatikana online,
Je, unashangaa mawazo katika Poland kuhusu Urusi??? Kweli huna habari?? Ujerumani utaona namba afadhali kidogo kwa Urusi lakini Ujerumani haikuwa koloni ya Urusi kama Poland.
Kuhusu uhuru: sawa hakuna "absolute freedom" lakini kuna uhuru wa kawaida. Uhuru wa kawaida ni nchini Poland unaweza kuweka tangazo hadharani kwamba hukubali na siasa ya serikali yako ikituma silaha Ukraine; sijui tangazo litasimama siku ngapi wakati majirani 9 kati ya kumi hawakubali msimamo wako, lakini unaruhusiwa kuiweka.
Urusi? Nimeona video jinsi gani watu walikamatwa walipoonyesha karatasi mkononi tu . . .
Putin anahitaji kuaminisha watu wake kwamba hakuna vita na yale yanayoendelea yanaendelea vema tena kwa utu. Ambyo si kweli, lakini . . .

(Sijui kwa nini unahitaji kuleta topic ya ushoga tena na tena lakini hapana, hakuna anayewekwa gerezani huko kwa kupinga ushoga hadharani. Huna mfano. Kupiga washoga ni kitu kingine, lakini kupinga ni uhuru huko)
 
Ni noma. Na leo bei imefika €2240. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hali tete... Aisee...

Kukubali kushindwa wanaona aibu, mlima ndiyo kwanza una chachamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kenya hamna uwezo wa kupigana na taifa lolote alishabab wanamilik asimia 30 ya eneo la garisa nzima ha ha ha
 
WAGNER GROUP wamechukua udhibiti wa mtambo wa kufua umeme wa UGLEGORSK POWER PLANT uliopo karibu na mji wa Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635]

Kweli HIMARS game change




View attachment 2304889View attachment 2304890
Hao watu wa kazi wamekaa mkao wa kula--hii inaitwa TACTICAL POSTURE in terms of medani za vita.

Kwa mkao huu, hata sisimizi lazima wapige salute. Ni mkao wa kumkaribisha adui ajaribu hata kupumua tu, aone funga kazi.
 
Ukiona BBC, Aljazeera, SkyNewna CNN hawarangazi chochote ujue upande Fulani wenye kiherehere unadundwa na unakaribia kuzungukwa
Hii katika medani za vita inaitwa TACTICAL SILENCE--yaani mnasikilizia kiwango cha ukimya wa adui ili kukadiria hali ya majeraha mliyomsababishia.

Normally, mbinu kama hii hutumika ku-detect negative effects kwa adui mbishi wa mdomoni, japo hana nguvu yoyote kimapambano.

Kuna mifano mingi, lakini sitaitaja maana navutwa hapa nikarekodi kichapo kingine huku fildi. I promise to be back soon.

#We Need More Sanctions!
 
Because wananchi wanataka unafuu wa maisha na uhakika wa usalama wao. Marekani na NATO ni wazi kwamba licha ya kuwa waoga, hawaaminiki pia.
 
Najitahidi nipotee labda nikirudi ntakuta Zelensky kafanya comeback lakin bado ye na shoga zake west wamebananishwa wanachezea kichapo kwanzia hand to hand combat had kiuchumi wanachezeshwa rege wakati wanavipara mafala kweli hawa
 
Because wananchi wanataka unafuu wa maisha na uhakika wa usalama wao. Marekani na NATO ni wazi kwamba licha ya kuwa waoga, hawaaminiki pia.
Sina uhakika unaelekea wapi? Yaani nimeonyesha idadi kubwa kabisa ya wananchi wa Poland wanakubali kusaidia Ukraine kwa kuwapa silaha dhidi ya vita iliyoanzishwa na Putin.
Ukimaanisha hao wanafanya vile kwa sababu wanaona usalama wao uko hatarini - sawa. Na wakiona pia mfumo wa uchumi ungewarudisha nyuma - sawa pia.
Ila je unamaanisha hayo?
 

Unajua kama mumechanganyikiwa vile, nyie hapo ndio mumeleta mfano wa Vietnam tena ghafla mnageuza na kuniambia nisitumie mifano ya 70s, kabla huu ugomvi uishe waarabu wa Bongo mtakua mumechizi, najaribu kupata picha hapa mnavyoteseka huko....ha ha ha
 
Hahahaha,Acha kisingizio cha kujilipua,tangu lini Al Shabbab aljilipua kwa KDF? Mmeshindwa miaka yote hiyo mnatolewa jasho na vibaka wa Al Shabbab. Uwezo wenu imeisha julikana hapa EAC. Msiiongelee Ukraine kabisa.

Fuatilia ugomvi wao, hakuna kundi lolote la waislamu lisilojitoa mhanga kufuata mabikira, kumbuka hata yule Mpare aliyejiingiza kwenye ugaidi na kuhusika kwenye kundi lililokuja kuua wanafunzi wetu Garissa, yeye akaogopa kujilipua na kukamatwa mazima mazima, ila mateso aliyokumbana nayo mpaka kajifia mwenyewe gerezani.
Huyu hapa wenzake walijilipua kuwahi mabikira yeye akasuasua Tanzanian jailed for life over Kenya terror attack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…