Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kharkiv mbona isha kombolewa ipo chini ya Ukraine zaidi ya miezi miwili now
 

Attachments

  • saintjavelin-20220727-0001.jpg
    96.5 KB · Views: 23
Wewe na DW nani tumuamini
Wewe unasema lisitumike wenzako wanasema litatumika ila kutakua nauzito wakulitumia sababu yamashimo mashimo kidogo yaliopatikana humo
Mkiachá mahabba munakua watu wamaana sanaaaa !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona jamaa unakula na sahani moja hakuna kumpa nafasi
 
Kwani nimesema halitumiki? Hilo daraja hupitishi kifaru cha tani 60 au heavy truck ya ammunition lilivyo hivyo, litapitisha malori na magari ya tani chache. Sasa silaha nzito zitapita wapi hapo ndio usubiri matengenezo au njia mbadala
Jamaa yangu umekuaje au huyo alosema kwamba daraja lisitumike nani!!?
Naomba nirejee nliposema awali napingana nawewe uliposema kwamba shambulizi limefanya daraja lisitumike
Nikakwambia wewe na DW nani tuwaamini maana wao wamesema magari na vifaa vitapita kama kawaida ila kwashida kidogo kutokana na mashimo shimo
Ila unakana maneno yako ww jamaa bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona jamaa unakula na sahani moja hakuna kumpa nafasi
Nnae huyu anatulisha matango DW wamesema daraja linatumika nazana zote kama mwanzo
Ila wakatanabahisha kwamba yanapata ugumu sababu yamashimo yalotokana na shambulizi
Ila jamaaa anasema daraja halitumiki kwahio yeye anajua zaidi kuliko DW nimemuuliza tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia na Ukraine nani aaminiwe
Umesema UKRAINE wameshambulia RUSSIA sijakataa
Tena uzuri post umeileta wewe mwenyewe nakwenye post yako tumeona UKRAINE wamekataa kwamba hawajashambulia RUSSIA sasa wewe na waziri waulinzi au msemaji wa serikali ya UKRAINE wakuaminiwa yupi!!?
Shambulizi lifanywe na UKRAINE wakuthibitisha shambulizi tajwa awe RUSSIA ila mfanyaji anakataa
Twende taratibu UKRAINE wamesemaje kuhusiana na hilo shambulizi na wewe na UKRAINE nani aaminiwe kwenye hilo shambulizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisha katwa kabisa

 
Natofautiana na wewe kwenye ubora wa JWTZ kati ya majeshi hapa Afrika Mashariki.

Uimara wa jeshi umeupima kwa kutumia vigezo gani?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Issue ya kibiti iliyoongozwa na kamanda Sirro au Kuna nyingine.
Wale hawakuwa special forces waliovaa nguo za kipolisi Bali walikuwa ni police kamili, tuwape kongole yao.

Hata hivyo vikosi vingine vilishiriki.

Kumbuka Ile issue ilianzia vikindu pale walipojificha na kufanya ambush kule Mbande kata ya chamazi walipoua askari kadhaa waliokuwa wanalinda jengo jipya, palipotakiwa pafunguliwe benki ya crdb.

Bado issue ya kibiti sio kubwa na hawawezi kuitwa waasi hata kidogo na wengi wao walitumia siraha ndogondogo.

Ila kule Kongo wale M23 ni mziki mwingine,
Tanzania, Malawi zilipeleka vikosi kupambana nao ambazo nyingi ni silaha duni tu hivyo kuwapunguzia nguvu na sio kuwamaliza, wengi wao walilitreat kurudi kwenye misitu mikubwa na kwenye mpaka wao na Rwanda, kumbuka hawa jamaa ni banyamulenge.

Hivyo bongo haikuwa peke yake, pili ushauri ulitoka kwa UN na Bado hatukuonyesha ubora wa kimedani unaotaka kutuaminisha hapa.

Kumbuka M23 Bado wapo na Sasa wamerejuvinate nguvu yao huku inasadikika Rwanda wapo nyuma yao.

N.B Mfululizo wa matukio kama kibiti huwa yanajirudia bongo na hili sio la kwanza, kumbuka Handeni saga, Kilindi issue
 
Inasikitisha sana mkuu, kuona chombo kinacho jiita kinalinda amani ya dunia kinafuga na kulea magaidi kwa gharama ya maisha ya askari wetu.

Naona hata wakongo washakishutukia hiki chombo uchwara cha kulinda amani hawakitaki tena, Juzi wameandamana wakitaka UN iondoe vikosi vyake Kongo lakini cha kushangaza Raia ndo wameishia kuuwa na kupigwa vibaya.

Kama wenye nchi yao hawataki uwalinde kwanini ulazimishe kulinda?
Kuna uchafu mwingi sana umejificha nyuma ya UN hasa nchi yako ikiwa na rasilimali nyingi.
Swali fikrishi: Tangu hao UN wapeleke vikosi DRC kwa lengo la kulinda na kuleta amani nchini kongo wamefanya kipi cha maana zaidi ya kusababisha vifo vya askari wa nchi za Africa (UN soldiers) na raia wa Kongo?

UN ni tatizo kwa usalama wa dunia. Naungana na wakongo kupinga uwepo wa vikosi vya UN nchini Kongo.
 
Jana kuna mtu huko DRC alihojiwa akaongea madini matupu
Anauliza MINUSMA cjui ndio Minani wapo DRC muda gani sasa faida gani wao wameipata kama wakongo man
Akamalizia kwakusema nikheri tukajifia wenyewe kwakujua kua hatulindwi na hatuna mlinzi kuliko kudanganywa kua tunalindwa halaf twaendelea kufa
MINUSMA cjui ndio wajinga gani hao wamesema kama jukumu lakuwalinda wakongo man nila jeshi la RDFC kama sijakosea sasa wanakaa wanangojea nn kongo siwaondoke
Naungana na wakongoman kwa 100%
Kwanza UN inatakiwa ivunjwe haina faida yeyooote ile[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee acheni kumtukuza mzungu.
Kwanza ujiulize ustaarab nini?
Halafu kuna watu wamelike. Au ndo zile TACTICAL LIKES
Hahaaaaaa
Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.

embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
 
Hii habari ya daraja kufungwa ndo kwanza nasikia kwako.sasa sijui umeitoa wapi
 
Ebu fafanua ukilinganisha na nchi ulizozitaja.

Kwenye idadi ya Askari walio kwenye service na reserve.

Uwezo wa nchi kufanya mobilization kwa kipindi kifupi.

Teknolojia

Military spending hasa purchase of military hardware's.

Uchumi wa nchi na Military budget ukilinganisha na nchi tajwa.

Uzoefu wa kivita kwa askari wa kila Taifa hasa miaka ya karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…