Kwa ambavyo ameyumba anapigika tu, sema alichosalia nacho ni manyuklia na yenyewe huwa imewekwa kwenye mizani, siku ikisomwa vizuri itaondoshwa kwa mapigo ya kiwaki waki.
Marekani ametumia Ukraine kudhoofisha Urusi, kwa sasa hivi Urusi hajui arudi nyuma au asonge mbele, na Ukraine wanaandaa jeshi la wapiganaji milioni moja ili kuondoa adui ndani ya nchi yao.
HIMARS zishafanya yake huko Ukraine; Russia yateka mtambo wa kuzalisha umeme wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine uliopo Donetsk. UkrIne yakiri kupoteza mtambo huo ila yaiita hiyo kuwa ni 'a tiny tactical advantage'😁😁🤣🤣🤣😀😀
Wale 'bendera fuata upepo' waliokuwa wakibwabwaja kuwa HIMARS zitafua dafu na kubadili hali ya mambo Ukraine, waje waone kichapo kinavyoendelea hadi nchi yaachia mtambo wa umeme wa pili kwa ukubwa nchini. Mtambo mkubwa wa kwanza ulishatekwa, huu ni wa pili sasa kwa ukubwa nao upo kwenye mikono salama.
View attachment 2306465View attachment 2306466
Acha mbwembwe hahahaTofautisha umaarufu wa UTALII na umaarufu wa kuwa Rogue state
Royo tua ilikuwa ni kutangaza UTALII sio kutangaza nchi
Yugoslavia()
Afghanistan
Iraq
Syria
Sudan
Ni maarufu je zina watalii kutuzidi ?
Wewe na waunga mkono wako sina kingine cha kufanya juu yenu bali naombeni msinizinge nipite katikakati yenu, lqbda musubili aje nabii mwingine mtamwelewaBahati,
Natumia JF old version sipati notification. Sikuona hii reply yako.
Aisee ndugu unatakiwa utazame upya mtazamo wako kuhusu wazungu. Sijui una maslahi nao gani au unapata nini kwa wewe kuwa na mtazamo huo au ilikuwaje? Je ni dini? Maisha? Mazingira? Kazi? Au makazi yamekufanya uwe na huu mtazamo? Kiukweli nimeshindwa kupata jibu la haraka.
Na Ukraine imepoteza mangapi???!!Kimeumana huko kwa Putin. Urusi yapoteza magari elfu tisa ya kijeshi,kwenye vita yake na Ukraine 🤔
Russia struggling to repair thousands of destroyed combat vehicles, British intelligence says
Russia is likely struggling to extract and repair combat vehicles damaged in its war in Ukraine, Britain’s Ministry of Defense has said.sg.news.yahoo.com
Hivi unafahamu wakati tunapata uhuru na kabla ya uhuru chuo kikuu Cha east Africa kulikuwa ni makerere peke yake?Uganda waliwazidi wabongo LabdA idadi ya silaha lakini si teknolojia.
Uganda na Tz wote tulitumia na tunatumia Soviet/Russian made weapons.
Eg mig 21 ambayo Ni Chinese made J7 nk.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wewe na waunga mkono wako sina kingine cha kufanya juu yenu bali naombeni msinizinge nipite katikakati yenu, lqbda musubili aje nabii mwingine mtamwelewa
Miezi miwili sasa wanaanda jeshi milioni moja 🤣🤣
Urusi amekwambia hajui arudi nyuma,au asonge mbele🤣🤣
Alafu wew panafrica mwone kwanza , kazi kujifariji tu na imaginary stories bila shaka yesu wako alikuwa mweusiSio hivyo bwana hakuna sera hapa ili iungwe mkono ni fact tuu nabii bahati 😂😂😂😂muambie nabii ajaye ajipange akija kichwakichwa anawambwa mtini.
Na wewe unajifanya mzunguuu sana muda wote kuleta vitu kwa kingerezaSo we had 6+ missiles hit Kiev
Unknown number in Chernigov
And Nikolaev got slammed +10 (I think)