Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi ni wapi hii Urusi ilisema inataka kuwa super power.???.Do they care about being super power au wadau ndo wanawashwawashwa tu...
 
Ebu nipe kazi ya carrier maana naona povu linakutoka tu bila sababu.
 
Hizo utakazozipata ututag MKUU usisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU hata IRAN haina udhaifu wakupigwa na KARIA yaani taifa la IRAN linapigika sawa ila sio kwa KARIA
KARIA upelekee LIBYA huko na SYRIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnajitia upofu?Hamjaona jinsi miji ya Ukraine ilivyogeuzwa magofu na silaha za kizamani za Russia?
Halafu hivyo vi silaha vya kisasa vya USA vikishambulia kidogo basi kelele kibao watu hatupumui!
Mnachekesha kweli
 
izo air defence unazozidharau ndio namba moja duniani watu wanazigombania kama njugu s400,s500 alafu kuna hii s550 hii ndio noma inatungua mpaka satelite izi ndio air defence bora duniani kuwai kutokea
 
Marekani ilipoteza carriers 12 kwenye WW2. Huwezi acha kutengeneza silaha fulani kisa itashambuliwa, mbona Russia iliipoteza Kursk nuclear submarine mwaka 2000 na kuua wote zaidi ya 100 ila Russia haijaachana na subs.

Carriers zitaendelea kuwepo maana mifumo ya ulinzi ipo. Kwanza hazihitaji kukaribia, carrier battle group inaweza kaa 1000 away na ikaestablish naval blockade kwako. Zinakuja kuleta air dominance, sasa kwanini Russia asiachane nayo ile yake kama haina maana. Maintenance ya nini na kitu hakihutajiki
 
Sasa MKUU kama unajua kwamba carrier yaweza kukaa 1000 km away naikafanya mashambulizi unahisi kuna ulazima wakufanya hvyo wakat pia waweza ukatumia missile kupiga pia 1000km away
Hapo nahisi nisuala la kukubali kujiendeleza upande upi zaidi
Juu huko kuna jamaa kauliza swali cjui kama nikweli ama laa ila anasema RUSSIA ina bomber yenye sifa gani cjui kuliko zote ulimwenguni
Akaambatanisha na swali je US kashindwa kufanya same na RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scott Ritter huwa namsoma. Hayo ni maoni yake na nayaheshimuz HIMARS ni silaha mojawapo kati ya silaha tofauti. Sio pekee inayotumika kupigana, haiwezi kushinda vita hiyo tu. Basi Russia ishinde maana Western weapons hazibadili kitu. Hii misafara ilikuwaje kama Western advanced weapons hazibadili kitu Safari ya Kyiv iliishia wapi. Occupation of Snake island iliishia wapi. HIMARS won't change anything on their own
 
North Korea ataipiga aircraft carrier kwa kutumia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…