political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] updates kama izi pro nato awataki kuzisikiaSerikali nyingine ya EU [emoji1099] yaanguka.
Raisi wa Bulgaria kavunja bunge masaa machache yaliyopita na kuunda serikali ya mpito. Uchaguzi mpya kufanyika mwezi wa kumi.
Chanzo kina semekana ni mvutano mkubwa kuhusu kupeleka au kitopeleka silaha Ukraine.
Ina semekana kazi kubwa kwa Waziri mkuu wa mpito Galab Donev itakuwa ni kurudisha mahusiano mazuri na Russia ili wapate gesi. Kumbuka kuwa Russia ilikata huduma ya gas Bulgaria tarehe 27 mwezi wa 4 baada ya nchi hiyo kugoma kulipia kwa Ruble.
Bulgaria inatumia zaidi billion 3 cubic meter ya gas kwa mwaka. Na zaidi ya 90% walikuwa wana nunua kutoka Russia.
Kazi nyingine itakuwa kurudisha uhusiano wa kidiplomasia na Russia baada ya serikali iliyopita chini ya Waziri mkuu Kiril Petkov kuwa fukuza wana diplomasia 70 wa Russia huko Bulgaria tarehe 28 mwezi wa 6.
Bulgaria alisema hahitaji gesi ya Russia kwa kuwa wana karibia kumaliza ujenzi wa bomba lingine kutoka Greece.
Tutapata taarifa zaidi siku zijazo.
Hizi aircraft carrier (hususani za US) zina mifumo ya kujilinda...mf Thaad.Kati ya nilichosema kuna kitu nyeti chochote hapo. Hivi kuna unyeti gani hapa kusema Nimitz zipo 10 na bado kuna Ford class zinakuja na zote kwa pamoja ni nuclear poweredView attachment 2311117 Na Admiral Kuznetsov ni diesel powered na iko moja tena kwenye matengenezo ya miaka minne sasaView attachment 2311118
View attachment 2311230
‼️ 🇨🇳 🇺🇸 🇹🇼On the eve of Nancy Pelosi's possible visit to Taiwan, the Chinese army published an impressive video with a demonstration of force‼️
Punguzeni chai bhana...Intercontinental Ballistic Missiles, ICBM. Nasikia Mr Kiduku hata akiamua kudungua mwezi, ni suala la dakika chini ya 20, shughuli imekamilika.
Hizo silaha za US sio za sikuizi, Russia ndo anatumia siraha za kisasa, sema nazo ni chache ndo maana anatumia za kizamani, ni kama Su 57 zipo nneHivi mnajitia upofu?Hamjaona jinsi miji ya Ukraine ilivyogeuzwa magofu na silaha za kizamani za Russia?
Halafu hivyo vi silaha vya kisasa vya USA vikishambulia kidogo basi kelele kibao watu hatupumui!
Mnachekesha kweli
Usipende kudandia mijadala husiyoijua imeanzia wapi. Unapofanya hivyo unakuwa Ni mtu mpumbavu. Sisi tulikuwa tunajadili kuhusu Aircraft carriers, wewe unakurupuka na kuja na story za HIMARS.Angekuwa kama kila Teknolojia anayo tayari angejua weakness ya HIMARS.
Halafu pia vifaru vyake kukung'utwa na NLAW na Javelin hiyo pia ni kuonesha mwenzake anamjua vizuri.
Ule msafara 45km uko wapi...!?
Au warirudi kimya kimya.
Mpaka sasa vifaru Russia kuanzia T70-T80
Vimebaki majivu.
Hizo propaganda tu, hizo sio namba moja, sema ndo zimefanywa biasharaizo air defence unazozidharau ndio namba moja duniani watu wanazigombania kama njugu s400,s500 alafu kuna hii s550 hii ndio noma inatungua mpaka satelite izi ndio air defence bora duniani kuwai kutokea
USA is dead. Mpaka inuke ndio ujue kuwa imekufa!? Soma kitabu kinaitwa:- "Who Moved My Cheese"Hizo silaha za US sio za sikuizi, Russia ndo anatumia siraha za kisasa, sema nazo ni chache ndo maana anatumia za kizamani, ni kama Su 57 zipo nne
Ata hizo HIMARS ni za zamani, na najua ulikuwa huzijui kabla ya hii vita
Ukitaja Siraha za US huwez kutaja hizo zilizopo Ukraine, HIMARS ana kaka zake ambao Range zao ni kubwa sana, ila Marekani kagoma kuzipeleka,
Apo mnagombana na mtu anaesaidiwa na anapewa tujisilaha twa zamani ambazo zina modification tu na apoapo wanajeshi wake wana limited training
Sa mkigombana na za kisasa, maana apo Ukraine advantage zote Russia anazo na kila mtu dunia nzima alijua ndo hvyo Ukraine imeanguka, sa leo ni mwezi wa 6 na furaha yenu ni kupigana kwa propaganda, Yaani Superpower anagombana na kinchi kidogo Jiran kwa Propaganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile Meli, zile S 400, zile ndege jeshi na milipuko ya kutisha iko wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iskander iko wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23], Themobarric, Vaccum bombs hazisaidii
Tulitegemea ndani ya wiki Ukraine iwe ishageuzwa na kuchukulia, ila leo mnagombana mitandaoni sijui mmeziharibu Howtizers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunahitaji Balance duniani ila Russia kakosea sana, tena ye ndo kavamia kibaya
Ushatoa hoja??Kwa hiyo hizo HIMARS zimeludisha miji mingapi iliyo twaliwa na Russia??
Ngoja tuziediti kwanza tuondoe security features msije kudukua vitu hukuWizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kulipua HIMARS Rocket Launchers 2 za Ukraine walizopewa na Marekani katika eneo la Energy Machines Plan lililopo Kharkov.
Wanasema wanajeshi 53 wa Ukraine pamoja na wale wa nchi nyingine wame uwawa kwenye tukio hilo.
Tuna subiri ushahidi wa video kama kawaida ya Wizara ya Ulinzi huwa inatoa kuthibitisha tukio hilo.
Pale unapokosa uhuru, kila mtu lazima akupige mkwara. Hahah🇹🇼🇺🇸‼️Taiwan's Foreign Ministry refuses to comment on Pelosi's possible visit:
"We will not give any comments on the reports about Pelosi's travel plan, we will not give any additional information to the media."
Naomba hii message nirushie PM. Hahahha (just kidding!!!)Moshi mweupe nauona kwa Russia na mweusi unaelekea NATO
"Too many German politicians want to revive relations with Russia" says Andrei Melnik, the ex-ambassador of Ukraine to Germany.
Melnik was asked to resign after comments he made to the German foreign minister as well as insults on the German president.
Many German leaders want to improve relations with Moscow in order to continue receiving gas from Russia.
After all, it is he who is the basis of Germany's economic success.
"They just have to give up these fantasies," says Melnik.
He promised that to do this, his successor "will continue to maintain pressure on Germany."
@NewResistance
Nani ameona hizo saluti mbili kwa Putin? Ziko mujarabu utadhani wanasaluti jua!Putin amewatolea nje wajumbe wa Israel walioenda kulialia kwake Urusi....Mshua Putin hataki kuvuna mabua hivyo ameamua kutowachekea kima
View attachment 2311231