Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Tulia bro usiwe na haraka, Mind you ilichukua Russia eight years to really respond to the 2014 Maiden coup, SMO hii tunayo iona leo.Dah sitaki kuamini kama China nae mdebwedo kiasi hiki. Anachofanyiwa sasa ni sawa na Muhuni kuja kumtafuna mwanao nyumbani kwako halaf usimfanye kitu. China katuangusha kifala sana! A p**y paper tiger!
Poor UCHINA hakuna kitu kama hichoHapana mkuu pelosi akiondoka China inachukua hicho kisiwa
Tudeal na RUSSIA mzee UCHINA hamna maajabuTulia bro usiwe na haraka, Mind you ilichukua Russia eight years to really respond to the 2014 Maiden coup, SMO hii tunayo iona leo.
Binafsi bado nipo kati nasubiri end result kwa China.
1st now ameshajipa kila sababu ya kuitandika Taiwan...
2nd nahisi wameachana na hiyo Move ya kushambulia "Mgeni" kuepusha direct war with US.... Ambayo of course ni Nuclear war kwani as far as we know China ni third to Russia and US in military capabilities.
Let's wait to the last naona mapema sana ku'judge position ya China kwenye hii mambo.
SMO ipo well UCHINA yuajua yote hayo kama alikua hanania angekua mpoleChina atafanya kitu ngoja Putin amshauri wapo na maongezi kitanuka lengo ni kumpunguzia sapoti Russia . China asipigane aisaidie Russia SmO kwanza. Akipigana direct Russia atashindwa. HAWA wanaogopa winter wapo tayari kupigana na Russia na China huku Israeli akidili na mwarabu . It's do or die for Nato. China asipigane aweke tension na kuongeza usaidizi kwa special mission kwanza .
China amsaidie Russia kwny hio SMO kufanya nini?China atafanya kitu ngoja Putin amshauri wapo na maongezi kitanuka lengo ni kumpunguzia sapoti Russia . China asipigane aisaidie Russia SmO kwanza. Akipigana direct Russia atashindwa. HAWA wanaogopa winter wapo tayari kupigana na Russia na China huku Israeli akidili na mwarabu . It's do or die for Nato. China asipigane aweke tension na kuongeza usaidizi kwa special mission kwanza .
Tulia bro usiwe na haraka, Mind you ilichukua Russia eight years to really respond to the 2014 Maiden coup, SMO hii tunayo iona leo.
Binafsi bado nipo kati nasubiri end result kwa China.
1st now ameshajipa kila sababu ya kuitandika Taiwan...
2nd nahisi wameachana na hiyo Move ya kushambulia "Mgeni" kuepusha direct war with US.... Ambayo of course ni Nuclear war kwani as far as we know China ni third to Russia and US in military capabilities.
Let's wait to the last naona mapema sana ku'judge position ya China kwenye hii mambo.
100%China atafanya kitu ngoja Putin amshauri wapo na maongezi kitanuka lengo ni kumpunguzia sapoti Russia . China asipigane aisaidie Russia SmO kwanza. Akipigana direct Russia atashindwa. HAWA wanaogopa winter wapo tayari kupigana na Russia na China huku Israeli akidili na mwarabu . It's do or die for Nato. China asipigane aweke tension na kuongeza usaidizi kwa special mission kwanza .
Nikajua Russia alikuwa huku Taiwan, kumbe yuko mzigoni?Leo ni mauwaji ya hatari kubwa
⚡️Russian MoD reports;
The Russian Aerospace Forces attacked the stationing point of the "Foreign Legion" in the Nikolaev region, up to 250 mercenaries were destroyed.
In the settlements of Merefa and Chuguev, Kharkiv region, as a result of high-precision strikes by the Russian Aerospace Forces, up to 500 Ukrainian military personnel were eliminated.
Dah sitaki kuamini kama China nae mdebwedo kiasi hiki. Anachofanyiwa sasa ni sawa na Muhuni kuja kumtafuna mwanao nyumbani kwako halaf usimfanye kitu. China katuangusha kifala sana! A p**y paper tiger!
Lakini uvumilivu wa China usitafsirike kama woga. What if wana Plan B ambayo ni the cheapest na simplest?Tusiwe wabishi wa kidwanzi Kama vile wanavyokuaga Wana-NATO,ukweli China Leo kapigwa middle finger mchana kweupeee.Hakuna Cha kujifariji kwny Hilo.
Sio china tu hata huyo mkubwa wenu.. ajichanganye aguse ambapo hapatakiwi kuguswa aoneDah sitaki kuamini kama China nae mdebwedo kiasi hiki. Anachofanyiwa sasa ni sawa na Muhuni kuja kumtafuna mwanao nyumbani kwako halaf usimfanye kitu. China katuangusha kifala sana! A p**y paper tiger!
Umeamua ujifariji[emoji3]At the same time, Ukraine is getting hammered by Russian missiles at the moment
Well said...Lakini uvumilivu wa China usitafsirike kama woga. What if wana Plan B ambayo ni the cheapest na simplest?
Basi walichokifanya mchina leo Ni TACTICAL DELAY 😄😄Lakini uvumilivu wa China usitafsirike kama woga. What if wana Plan B ambayo ni the cheapest na simplest?
Well said.All this drama, all this money wasted, for something no doubt they could have achieved with a simple video call.
Blatant provocation, poking the bear and risking a 3rd world war. This administration is the biggest disgrace in US history and anyone who disagrees is an utter moron.
Ukweli mchunguTusiwe wabishi wa kidwanzi Kama vile wanavyokuaga Wana-NATO,ukweli China Leo kapigwa middle finger mchana kweupeee.Hakuna Cha kujifariji kwny Hilo.