Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unatetea upopoma mdogo wangu, zile mbwembwe zote zilikuwa za nini sasa? Ana tofauti gani na NATO wazee wa No Actions just Talks Only.

Mara oo don't play with fire my foot ushubwada tu. China hamna kitu hapo, mara 10k ka mwamba kiduku anaishi maneno yake.
 
Zile story zenu za kahawa[emoji3][emoji3]

Hivi huwa mnashirikisha ubongo kweli nyie[emoji16], Ukraine yenyewe bado inamshinda je kwenda direct kwa us ndio ataweza!
We Jamaa kajielimishe Kwanza au kafanye utafiti.ukraine inamshindaje ebu kuweni na akili MTU amechukua maeneo mengi ya Ukraine alafu unasema Russia imemshindwa Ukraine?kafanye utafiti na ni kweli sio Russia Tu nchi yoyote yenye nuclear hata NK anauwezo wa kuiharibu USA ndo Maana marekani amebaki kubwabwaja Tu Kwa NK.
 
Basi walichokifanya mchina leo Ni TACTICAL DELAY 😄😄
Watakuwa wamegundua kwamba hiyo ilikuwa TACTICAL DIVERSION ya Marekani out of Ukraine na pia kujisahaulisha internal problems zake.

Possibly Putin amemshauri Xi Jinping afanye TACTICAL FOCUS hadi pengine SMO ikamilike. Hii itakuwa na faida kubwa sana kwa hawa wawili regarding trade partnership.
 
Hapa kuna pro RUSSIA watakua nau NATO fulani
UCHINA kama walijua hawatafanya kitu wangekaa kimya
Kwahapa uchina hana lakutuambia umbwa yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kharkiv na Odessa ndani ya Agust
 
Marekani hana nuclear? Na Russia kachukua % ngapi mpaka sasa zinafika hata 20%.?

Afu Vita ni akili, mi nikikufanya upigane sina Cha kupoteza but wewe ndie unapoteza.

Kwa akili zako hata Russia akiichukua Ukraine US atakuwa kapoteza nini!

Ila mpaka sasa Russia kapoteza wanajeshi wangapi! Hela! Vifaa! Vikwazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…