PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 721
- 2,228
Siyo Ukraine acha kuficha. Ni US+Ukraine+NATO≈NATO [emoji16][emoji16]Zile story zenu za kahawa[emoji3][emoji3]
Hivi huwa mnashirikisha ubongo kweli nyie[emoji16], Ukraine yenyewe bado inamshinda je kwenda direct kwa us ndio ataweza!
Hakuna mutakachokiona MKUU zaidi ya kurushwa videge viwili vitatu imeisha hioNi comment ambayo ni joke lakini ni point....tungoje tuone Nini kitatokea baada ya huyo mdada kuondoka
Mathalani China ikipigwa sanctions za nguvu kama Russia itahimili vipi?!Lakini uvumilivu wa China usitafsirike kama woga. What if wana Plan B ambayo ni the cheapest na simplest?
😄😄 Kule hawawezi wakasogeza pua,afu yule kadrov alipost kwamba Leo ndio dunia itajua Ni Nani gani super power Kati ya China vs US ukiwato wao Russia.Mchina hana tofauti na nato
Hem wajitoe akili wakatembelee CRIMEA
pua uchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Akigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?Siyo Ukraine acha kuficha. Ni US+Ukraine+NATO≈NATO [emoji16][emoji16]
Russia anamchakaza US huko Ukraine
[emoji16][emoji16][emoji16]Leo Pro East mtulie, Pro West watajaa hapa kwa matambo kama yote, China kashakula vidole kaharibu siku.
Naomba niwe msomaji tu kwa sasa [emoji23][emoji23][emoji23].
RUSSIA isaidiwe ninu MKUU mbona inapiga mambo yake yenyeweNever kujitangazia . hilo ni tangazo la vita. China asapoti Russia . US anataka kuidisturb China auwe ishu ya BRICS
RUSSIA wanakwamia wapi[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2312209
Binafsi leo ntaungana naoLeo Pro East mtulie, Pro West watajaa hapa kwa matambo kama yote, China kashakula vidole kaharibu siku.
Naomba niwe msomaji tu kwa sasa [emoji23][emoji23][emoji23].
Amechukua zaidi ya 20%wewe unaona ni ndogo?nisawa na kuchukua baadhi ya nchi za ulaya.Russia anachukua maeneo nyeti ndo maana kusafirisha chakula kutoka Ukraine mpaka watu wammbembeleze urusi aruhusu alafu Russia anaenda kuchukua maeneo mengi Tu.Marekani hana nuclear? Na Russia kachukua % ngapi mpaka sasa zinafika hata 20%.?
Afu Vita ni akili, mi nikikufanya upigane sina Cha kupoteza but wewe ndie unapoteza.
Kwa akili zako hata Russia akiichukua Ukraine US atakuwa kapoteza nini!
Ila mpaka sasa Russia kapoteza wanajeshi wangapi! Hela! Vifaa! Vikwazo!
Unataka kudhihilisha kua US hana masrahi na vita vya NATO+Ukraine VS Russia?Akigusa nchi ya NATO hata kwa inch moja, ndio ataona NATO iko vipi.. pia si aliahidi kufanya hivyo vipi kafanya?
Mpaka sasa US kapoteza wanajeshi wangapi ukraine?[emoji3] Sijui hata Kama yupo
Na Russia kapoteza wangapi? Sasa nani anachakazwa!
Sisi 🇷🇺🇷🇺 tunaendelea kusonga mbeleLeo Pro East mtulie, Pro West watajaa hapa kwa matambo kama yote, China kashakula vidole kaharibu siku.
Naomba niwe msomaji tu kwa sasa 😂😂😂.
US ni dude kubwa, uchumi unaruhusu, budget imeshiba, anaweza pigana Vita hata 10 kwa wakti mmoja.VIJANA MNACHEKESHA. CHINA KACHELEWA NINI .VITA SI NGUMI ZA SONGEA. KASOME I VITA YA KAGERA. AMINI ALIINGIA AKAJITANGAZIA TZ haikutangaza vita ilishighulikia km OP tu huku ikijiweka sawa . Wakati mwingine China anamtesa US tu aingie gharama za maandalizi na ashindwe kumanage uchumi wake . Sio kila vita inahusisha risasi. Tension ikiongezeka US anasahau habari ya ZELE
Lakini si unajua speed ya kuchukua imepungua kwa kasi! Yan urusi atahangaika na Ukraine mpaka mtasahau[emoji16]Amechukua zaidi ya 20%wewe unaona ni ndogo?nisawa na kuchukua baadhi ya nchi za ulaya.Russia anachukua maeneo nyeti ndo maana kusafirisha chakula kutoka Ukraine mpaka watu wammbembeleze urusi aruhusu alafu Russia anaenda kuchukua maeneo mengi Tu.
Siku haijaisha. Katika vita hata ugomvi wetu street anayeanza kurusha NGUMI ndio mgomvi. China anaangalia NAMNA bora ya KUMFANYA US aanze . China akishapata hiyo namba au sababu atafanya kitu. Ktk vita tunazingatia sana justifikesheni kwa raia wako na wanajeshi wako majirani zako marafiki zako. Sio fulani kapokelewa au Katua basi upigane. There must be something to trigger . Hiyo ya huyo mama haina nguvu ya justification[emoji1][emoji1] Kule hawawezi wakasogeza pua,afu yule kadrov alipost kwamba Leo ndio dunia itajua Ni Nani gani super power Kati ya China vs US ukiwato wao Russia.
Nadhani atakua amepata jibu [emoji1][emoji1]
Hapati hasara ya moja kwa moja,Unataka kudhihilisha kua US hana masrahi na vita vya NATO+Ukraine VS Russia?
😂😂🤣🤣Duh...inaelekea una hasira Sana.......ila inaelekea watu wanasahau matukio ya nyuma...upo mwaka jet fighter ya China ilidunguliwa na fighter ya Marekani na China haikufanya kitu....na pale ubalozi wa China ulipopigwa na mabomu ya midege ya USA/NATO pale Belgrade na kuua Wachina wawili hakuna kilichotokea😂😂🤣Hakuna mutakachokiona MKUU zaidi ya kurushwa videge viwili vitatu imeisha hio
Hawa uchina huenda hata bidhaa zao ikawa feki kweli hawa UMBWA
Sent using Jamii Forums mobile app