Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Thanks! Hii katika medani za kivita inaitwa TACTICAL PREPOTENCY (China over US) na TACTICAL PREDOMINANCE (US over everybody else).

cc: T14 Armata (tuletee japo comment yako ya mstari mmoja mkuu)!
 
Hii inaitwa TACTICAL MANOEUVRING (MANEUVERING). Kutompa adui anachohitaji bali kumpa anachostahili. Ikumbukwe kwamba mbinu na audacity ya kukwepa vita kimkakati, kwa yenyewe tu kimedani hutafsiriwa kuwa ni kushinda vita.
 
Hii inaitwa TACTICAL MANOEUVRING (MANEUVERING). Kutompa adui anachohitaji bali kumpa anachostahili. Ikumbukwe kwamba mbinu na audacity ya kukwepa vita kimkakati, kwa yenyewe tu kimedani hutafsiriwa kuwa ni kushinda vita.
Ukiona military exercise ya China sio ya kuspotispiti inatisha hata US anastuka that is power demonstration kinachofuata unapiga eneo nyeti unaclaim bahati mbaya kisha unawaacha waamue
 
Mkuu umemaliza kila kitu asante Sana
 
Kulko kutukana ungetoa point kama unazo, watu wenye iQ ndogo siku zote ni rahisi kutukana kulko kutoa pont
Bro..kama unazani wenye IQ wako jf baas ushaliwa sheghee..in fact africa nzio hakuna mwenye IQ kubwaa sote ni manyani tuu..tukiongozwaa na ww nyani mzee..IQ kubwaa ziko russia..usa..china na ulaya kiujumla
 

HIMARS: Destroyed by Russia​



One of the vaunted HIMARS Multiple Launch Rocket Systems (MLRS) sent to Ukraine by the United States, has been destroyed by the Russian Army.
We are told by sources in Europe this is the first of what will be quite a few more.
Apparently the Russians arranged to "buy" one of the US HIMARS from corrupt government soldiers/officers in Ukraine.
We are also told that Russia paid the cash, received it, took it apart, analyzed it, and has now found "multiple ways to track it, jam it, and destroy it."

Looks like one of the ways they found . . . works.
 
Mdogo wangu upo brait
 

Pelosi Plane has landed in Taiwan but cannot takeoff! A no fly zone imposed.​


02 AUGUST 2022
The US Air Force plane carrying Speaker of the House Nancy Pelosi is now below 18,000 feet in altitude, and is on final approach to Tapei, Taiwan, in direct vioolation of Beijing's order that she not enter.
Plane is now physically over land, no longer over Pacific Ocean.
Altitude 16,300 feet as of 10:32 AM eastern US time.
As of 10:38 AM Pelosi plane now at 8300 feet altitude. China's Global Times newspaper says Chinese Air Force fighter jets moving across Taiwan Strait to intercept.
10:39 AM EDT -- Plane altitude 6400 feet.
10:40 AM 5600 feet.
5175 feet
4800 feet
Pelosi's plane safely landed and Pelosi has deplaned.

UPDATE 12:16 PM EDT--
Chinese Foreign Ministry spokesman Zhao Lijian made an official statement.

"Pelosi's visit to Taiwan will be a gross interference in China's internal affairs, and will lead to very serious events and dire consequences," Lijian said.


China's Economy Ministry has stopped HALTED hundreds of food product shipments to Taiwan amid Pelosi visit

China vows 'targeted military actions' in response to Pelosi Taiwan visit.

12:28 PM EDT --
Reuters confirms, the Air Space over Taiwan Straits is now closed. China fighter jets are flying all around Taiwan. AIR RAID SIRENS are sounding in southern CHINA:



Chinese military PLA Eastern Theater Command announced it will start military "exercises" in the coming hours around Taiwan Island in response to Pelosi's visit to Taiwan.


UPDATE 5:04 PM EDT --
China's military exercises block the air and sea around Taiwan. All of it.


China Central Television announced the start of military exercises in three areas around Taiwan. These maneuvers demonstrate the dissatisfaction of the Chinese ruling party with the actions of the United States, in particular with Pelosi's statements on "democracy" in Taiwan.
Until the PLA completes the live-fire exercises, Pelosi can't LEAVE. Her plane can't take-off else it may "accidentally" be hit by live fire from the "exercises."
 

FLASH TRAFFIC - URGENT -- CHINA DEPLOYS NUCLEAR ICBM'S​

02 AUGUST 2022

China's People's Liberation Army (PLA) is now actively moving nuclear-tipped intercontinental ballistic missiles (ICBM's) in Fujian Province near Taiwan. These missiles can reach the United States. All this over a confrontation about Speaker Nancy Pelosi entering Taiwan when she was told she could not come, by Beijing.
VIDEO:
The images below are from the roads of Fujian Province, taken today:

The short and sweet of the DF-5B appears below:
 

Attachments

  • ChinaDeploysNuclearICBMs.mp4
    757.3 KB
  • ChinaNukes-DF-5B.jpg
    34.6 KB · Views: 20
Wanapoteza mibomu Yao bure
Eti lisa mwanamke mmarekani katembelea Taiwani ni sawa na Sisi angetembelea Zanzibar halafu tujitie kurusha mikombora hewani .Taiwani na China ni.kama zzanzibar na Tanzania bara.Sioni sababu ya mchina ku.panick kwa kiwango kikubwa hivyo
 
Power demonstration ya kibabe .China is ready to confront US . Anga limefunikwa njia ya maji imekabwa
 


Wafuasi, mashabiki, na wafautiliaji huku wananiuliza, Eti ni sawa kulikumbuka shuka kukiwa kumepambazuka?
 
Ukraine , Syria unataka wapi tena
wachague wenyewe uwanja kama wanabisha wamwambie china atuuzie sisi iko kisiwa waone kama uyo bibi angekanyaga tena apo west wenyewe kina macron na olaf wanakuambia uyu jamaa atanii ataki masihala kabisa kwenye national security tumeichukua crimea wakiwa wanatuangalia tu..mbabe ni mmoja tu kwenye hii dunia kwenye mambo ya millitary leo hii Assad anatembea bila walinzi apo damascus watu wameshasahau kama kuna vita iliwai kuwepo nchini kwao venezuela ndio kabisa tumeshawashau maisha yanaenda kama kawaida
 
^Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu^

Lakini tumeshaambiwa repeatedly kwamba vita vya uchumi ndivyo vibaya zaidi.
Upo sahihi!

Ila mwisho wa siku haya yote yatatatuliwa kijeshi tu kwa sababu ndiyo njia pekee na ndiyo hatua ya kiuhakika kwa China kuumaliza huu mgogoro mahususi ukiangalia Taiwan ilipofikia.
 
Kampuni kubwa zaidi duniani ya China CATL inayo zalisha mabetri ya magari ya umeme na magari yanayotumia petroli imesimamisha kuanza ujenzi wa kiwanda chake Marekani.

Kiwanda hicho, kilitaka kujenga kiwanda kingine Marekeni kwa ajili ya kutengeneza betri za gari za umeme za Tesla na Ford ili kupunguza gharama ya usafirishaji.

Kiwanda kingewekeza $5 billion na kutoa ajira kwa watu wapatao 10,000.
 
Haina Athari yoyote hata ya kiwango cha chekechea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…