Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni theory yako....
 
Mkamguse bhs kama hana uwezo wa kutisha
Wakati ye anaona Nuclear ndio anatumia sana kuogopwa wenzake wanamtafutia tiba.
Kim Jong anafikiri ameshindika lakini US alipoona ana kiburi sababu ya Nuclei mwenzake yupo maabara anatafuta njia ya kuyazuia inadaiwa wamefikia 27.6%.
Na wao sio tisho kwa US nchi ambayo ingekuwa tishio ni Russia lakini nae kawa pilipili hoho na china nae kawa avocado akibinywa anabinyika.
Baada ya miaka 7 India nae itakuwa zamu yake.
Kim Jong akipiga Nucleur moja na US nae akampiga moja nani atafutwa kwenye usoni wa dunia,
N. Korea yenyewe kama Arusha yetu.
 
We jamaa umetuhadithia muvi ya Jaki Chen

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.
Russia anachofanya ni Ukoloni kabisa.
Ana eneo kubwa Sana lakini bado tamaa inamponza anataka kuchukua Ukraine.
Awe makini asije anguka.
Suala la Russia limezungumziwa kwa mapana. Shamra shamra za kukubaliana kwa kukubaliana au kukubaliana kwa kutokukubaliana zimebaki kwenye nukta 1, nayo ni mgogoro wa nafsi wa mhusika: Imma akubaliane na ukweli unaopingana na nafsi yake, au akubaliane na nafsi yake inaopingana na ukweli.

Ni kweli US ni mpendwa kwetu, halikadhalika ukweli nao ni mpendwa kwetu. Ila ukweli ni mpendwa zaidi kwetu na ndio njia nilioshika. Ni kama daktari siuangalii ugonjwa tu,bali natafuta chanzo cha ugonjwa ili niutibu vizuri.

Ni kweli kinachotokea Ukraine hakiridhishi; ila tusijisahaulishe chanzo cha haya matokeo tunayoyaona ni nini?! Wajuvi walidadavua zaidi hili, kilichobaki ni mgogoro wa nafsi kwa muhusika. Bila shaka umejifunza nchi inapambaniwa vipi?
 
Ni kweli kinachotokea Ukraine hakiridhishi; ila tusijisahaulishe chanzo cha haya matokeo tunayoyaona ni nini?! Wajuvi walidadavua zaidi hili, kilichobaki ni mgogoro wa nafsi kwa muhusika. Bila shaka umejifunza nchi inapambaniwa vipi?
mkuu siyo chanzo cha matukio ni kuporomoka kwa himaya kubwa ya kikoloni ya Urusi baada ya 1991 na sasa majaribio kurudisha ukoloni angalau katika maeneo kadhaa?
 

Nipe evidence ya unachoongea before sijakupiga na kitu kizito kichwani
 
Hammaz ni mpole sana ila ni balaa na nusu ujue!

Kuna siku walijichanganya bhana walinichukulia poa kisa ni white halafu nina muonekano wa ki-brother man ebhana eeh!

Nisiharibu Uzi wa watu.
Wapole ndo walivyo.
Huwa hawapendi kuonewa,
Hii hupelekea kuunda mifumo ya kujilinda.
Ikumbukwe upole sio ujinga wala,upole sio unyonge.
Watu hukosea mitazamo Yao juu ya wapole.
 
Goju Ryu ni habari nyingine.!💪
 
❗️🇷🇺🇺🇦 Highlights of Russian Military Operation in Ukraine on August 2, 2022

▪️ Russian Armed Forces stuck AFU positions near Myhal'chyna-Sloboda in Chernihiv Region.

▪️ In the northern Kharkiv Region, positional fighting and mutual shelling continue.

▪️ During the night, Russian forces struck AFU’s facilities in Kharkiv, Chuhuiv and Bohodukhiv district. Russian Aerospace Forces hit the positions of Ukrainian formations in Staryi Saltiv.

▪️ Russian Armed Forces managed to gain a foothold on the eastern outskirts of Soledar, securing a bridgehead for a further offensive deep into the city. Fighting is taking place in Bakhmuts'ke.

▪️ Russian troops liberated Semyhir'ya near Vuhlehirsʹka TPP, and advancing further towards Kodema.

▪️ Allied Forces break up AFU defence in the suburbs of Donetsk. In Pisky, Ukrainian formations suffer heavy losses and retreat from the fortified positions.

▪️ AFU’s 21st Battalion of the 56th Motorized Brigade came under "friendly" fire while retreating in the direction of Vodyane.

▪️ Ukrainian formations once again shelled towns in the Donetsk agglomeration and continue using Butterfly Mines (PFM-1), which are extremely dangerous for the population.

▪️ In Zaporizhzhia Region, artillery duels continue. Russian Armed Forces struck enemy positions in Zaliznychne, Mala Tokmachka, Kam'yans'ke and Novoandriivka.

▪️ In the morning, Russian forces launched several missile strikes on facilities in Mykolaiv and hit AFU garrison in Mykolaiv V.O. Sukhomlynskyi National University.

▪️ Russian units also targeted a deployment point of Foreign Legion mercenaries. A large number of enemy manpower and military equipment was eliminated.

▪️ In the evening, Russian Armed Forces struck AFU positions in the Chervonohrad district of Lviv Region.

▪️ Other missile strikes targeted Vinnytsia. Ukrainian air defence failed to protect AFU facilities.

#digest #Russia #Ukraine #video
@rybar

*Support us: 0x4739352b67Da6F4064757627D92A08EaDd3fb6b6 (ETH) | 33i1BwMuzeYTAUNtiLa6CjvaHtTVYNJfnp (BTC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…