Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

@T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How almost all people of goodwill earnestly wish that now he makes the same mistake (?) of shaking hands with himself, because it would then do humanity a wonderful service--saving thousands of innocent people from certain death & life-long incapacity due to his own reckless decisions or indecisiveness, to be exact.

This war strategy is conventionally known as TACTICAL LETHAL CONTACT.
 
Naona mzee kwenye International finance ulibobea [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Everyone thinks he's a ginius in his own mind, anyways, ndo upeo wako unakokutuma
 
Umeanza vizuri ila umekuja kuharibu sana mwishon, forex ndo inayosababisha inflation not otherwise
 
Ukraine bhana[emoji1787][emoji1787]

View attachment 2314713
Hiyo next year watakapoanza offensive hiyo nchi si itakwa imemegwa karibu nusu yake na kupachikwa jina la Russian Federation?
Sio wao waliotuambia ifikapo mwezi 9 Kherson it's US huru kutoka Russian troops.
Nb.
HIMARS inazidi kufanya kazi kubwa Sana

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
China has announced the end to the following cooperation with the US
1) Calls with leaders
2) Defense meetings
3) Maritime Security Consultation
4) Climate Change Talks
5) Anti-Drug cooperation
6) Transnational crimes
7) Illegal Immigration
 
Ndo mwajidanganya hivyo?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.
Russia anachofanya ni Ukoloni kabisa.
Ana eneo kubwa Sana lakini bado tamaa inamponza anataka kuchukua Ukraine.
Awe makini asije anguka.
Russia haitamani Ukraine ili iwe koloni lake,hapana mkuu.Nia ni kutaka Urusi iwe salama.Naomba ujue kwamba Marekani na nchi za Ulaya zilikuwa zinapanga kuishambulia Urusi kwa kutumia Ukraine kama staging ground kwa kutumia bio-weapons,nuclear na conventional weapons.Superpower gani inge-kubali upuuzi huo?Russia hawana njia,except to annihilate Ukraine,and they will do it,no mistake about it!Ushahidi huu hapa!👇

"Russia To Capture Kiev and Odessa over U.S. Biological Laboratories!​

WORLD HAL TURNER 05
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov stunned the collective West today when he declared that Russia "Has information that the US built two additional bio warfare labs; one in Kiev, the other in Odessa. They have developed pathogens in those labs.
We will have to capture those cities to dismantle those labs to save the world from another pandemic."
This stunning statement makes clear Kiev and Odessa are now officially targets of the Russian special military operation (SMO).
It also makes clear that Russia flatly believes it was the US through its foreign biolabs, that caused the COVID-19 pandemic, and may also be to blame for the outbreak of Monkeypox.

Now that Russia's intention to take Kiev and Odessa is public and clear, one wonders if there will even be any country called "Ukraine" after this conflict is done"


Also note that, Russia ku-wipe out Ukraine ni kwa faida yetu sote kama wanadamu, kwa kuwa biological weapons aimed at humanity were being made in Ukraine by the US in collaboration with other Western countries..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…