Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio tu kwamba zinatumia dola kwa sababu ya uimara wake balu ziuzo nyingi zinaogopa kuswichi kwenye currency nyingine kwa sababu ya udikteta wa usa....mfano kili chotokea iraq na libya
 
Hawa jamaa ni zero torelance kabisa.....yaani sio wa kuwaamini kabisa....wao wakiwa wengi wengine wote hawana haki...wakiwa wachache wao ndo wanaonekana wanaonewa....angalia hata nchi zote ambazo ni wengi lazima wapitishe misheria yao ya kuwaaffect wengine...
 
Mkuu embu fafanua hapa, foreign exchange inasabisha inflation kivipi?
Labda nitajifunza theory mpya hapa duniani.
forex au Foreign exchance ni kununua pesa ya nchi nyingine na kuuza pesa ya nchi nyingine, ovious, kama unanunua pesa ina maana unauza pesa nyingine
Inflation ni kuongezeka kwa bidhaa flani, kuringanisha kwa kupungua kwa thamani ya hella flan, kama hella imepungua thamani ina maana inauzwa sana, maana yake haitakiwi na mtu, so maana yake ni kuwa bidhaa humo zinapanda kulingana na hyo hella, mfano ni zimbabwe
So sikuzote Forex ndo inasababisha inflation na sio inflation inasababisha Forex
 
The mobs of the 2nd battalion of the 56th brigade of the Armed Forces of Ukraine complain that they were thrown onto Peski without training and appropriate equipment, where the front fell down near the Hohlovermacht

Complain kila uchwao kwelii kazi ya kufata order ni ngumu na ukiacha unaonekana mhaini, snitch poleni ndugu zangu ndio kikombe mlichochagua.
 
Source please
 

Simply UNBELIEVABLY true! Yet another demonstration of THE MONSTER at work. This is probably the lone area where US does best. Very sad and pathetic!
 
Russia anafanya mambo mengi ya AIBU kwa Marekani lakini huji kuta wakiongelea hata siku1. Vijana wa Biden msione US anaogopa kuingia vitani na Russia ni kwamba ukweli amezidiwa ki tech kwa kila kitu.
Hujiulizi kwanini Russia vitisho vyake sikuzote ni kutumia Nuclear tu,
Ji kuwa Putin anajua kabisa kazidiwa kila kitu na nyia pekee ni Nuclear kwa kuwa hakuna winners
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…