Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Россия идет вперед! ты знаешь этого приятеля?🇷🇺🇷🇺🔥
 
Slava Russia 🇷🇺💪
 
Kwani lini US aliwahi enda water territory za Russia.
Taarifa ya Washington Post sio primary source ni taarifa according to Russian sources. Vyombo vyote vilitoa taarifa according to Radio Vesti ambayo ni TBC ya Russia na vyombo vingine vya Urusi. Same story na Moskva ilivyozamishwa wakasema ni dhoruba baharini. Source zote ni claims from Russia

Na news tabloids ziko independent kulingana na contributors. Hata wewe unaweza amua kuandika kwa umakini na kutoa claim za jinsi Russia inavyoweza hili ama lile wakachapisha.
 
Vyombo vya Ulaya lazima vi confirm habari before ku report. Wewe kubali tu USA alizidiwa. Siyo lazima upinge kila kitu unapozidiwa na ushahidi wa Link umepewa. Russia hadi sasa hajatumia technologia yake ya kisasa, anajua fika hii vita ni endelevu (WWIII) hivyo ana mvizia USA aingie kichwa kichwa amkung'ute. USA kwa Intellegencia yake tiyari anajua Russia anacheza tricky ame goma kujiingiza front.
 
Duuh humu mnaongea kitaalamu tupu, wengine tunapita kapa
 
'Eti porojo kutoka kwa random people kua Washington Post hawawezi, so hawa ni wakina nani au ni Dada zako wa Uwanja wa fisi?"

teh teh teh duh inatosha inatosha..
 
Duuh humu mnaongea kitaalamu tupu, wengine tunapita kapa
Hakuna utaalam wowote jomba hapa ni kama kesi ya mme na mke kwa mjumbe tu. Kila mmoja anatoa evidence kutoka source inayofeva upande wake.
Sisi tunaangalia MATOKEO uwe una uwezo wa kujam radar ku hack au sijui Himars hazipigiki haisaidii, kama matokeo ni ZERO
Angalia nani anashinda vita. Period
 
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Kubali tu umeshindwa hoja maana unavyozidi kubisha unazidi kujipunguzia reputation yako na kuonekana muongo.
 
Mkuu hongera sana,kwa kufichua madahifu ya T14 Armata.
Mdau huyo ni mchambuzi Mzuri sana lkn kwa kuegemea upande Fulani.
Ila pole sana maana unpigia mbuzi gitaa.
Habari hiyo niliwahi kuipost miaka zaidi ya mitano humu.
Huyo jamaa hayuko tayari kabisa kuukubali uwezo wa Urusi kijeshi.
Habari hiyo iliripotiwa na magazeti vyanzo vingi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…