Mkuu umeamua kufuata lugha ya USA? Si ni kukubali ubeberu? Je katika falsafa yako msimamo wa wenyewe hauna maana? Pamoja na historia kwamba watu hao hawakuwahi chini ya serikali ya Jahuri ya Watu wa China hata siku ??Narudia tena ngoja nikuache
Kama taifa lenu la us halitambui uhuru wa taipei utakua wewe
Kwakukusaidia tu hakuna taifa linaitwa taiwan kama lipo nitajie balozi wake wakudumu pale un
Taipei nisehem halali ya UCHINA
Sent using Jamii Forums mobile app
US hataki akaguliwe same thing kama wanavyoiruka Israel, hivyo Russia akaona sio issue. Kaamua kujitoa, hiyo ni kwa mujibu wa wizara ya mambo ya nje kama muhtasari unavyosomeka hapaGud nuz!!! Huon km watafanya kuongeza mizigo bila kizuiz
Wakazi wengi w east Ukraine wana asili ya Russia,, ni sawa na mfano wajaluo na wakulya wa kenya waamue kupiga refrundum kujiunga Tanganyika[emoji1]
Wee jama unashida gani au mwanamkiei umekuja na jina jipyaMkuu umeamua kufuata lugha ya USA? Si ni kukubali ubeberu? Je katika falsafa yako msimamo wa wenyewe hauna maana? Pamoja na historia kwamba watu hao hawakuwahi chini ya serikali ya Jahuri ya Watu wa China hata siku ??
visit to the black continent[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji631] Blinken's trip to Africa may fail because of Lavrov.
The Wall Street Journal writes that the US Secretary of State's visit to the black continent is likely to end in nothing.
Blinken's task is to influence African leaders to join the anti-Russian sanctions.
However, it will be problematic to implement the plan after the tour of the Russian Foreign Minister.
Earlier, Lavrov's African trip had already spoiled the mood of the head of European diplomacy Borrel.
Mkuu unajua vema kwamba Taiwan inatumia jina rasmi "Jamhuri ya China" ikishika nafasi kama mwakilishi wa pekee wa China yote hadi mwaka 1971. Hata hivyo, nafasi hiyo ya serikali ya Taiwan haikuondoa kuwepo kwa Jamhuri ya Watu wa China (bara) kama nchi ya pekee. Vivyo hivyo hali ya kinyume tangu 1971 haiondoi kuwepo kwa nchi ya pekee nje ya China bara.Wee jama unashida gani au mwanamkiei umekuja na jina jipya
Mie nimekwambia wewe kuhusiana na us kama unaongelea yaliipita kwenye leo pole MKUU
Nitajie mjumbe wakudumu wa taipei pale UN
Kama huna basi ujue taipei ni sehemu ya UCHINA utake usitake ukubali ukatae nahuo ndio ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu itabidi tuingie kwenye huu mjadala.............................................Mkuu unajua vema kwamba Taiwan inatumia jina rasmi "Jamhuri ya China" ikishika nafasi kama mwakilishi wa pekee wa China yote hadi mwaka 1971. Hata hivyo, nafasi hiyo ya serikali ya Taiwan haikuondoa kuwepo kwa Jamhuri ya Watu wa China (bara) kama nchi ya pekee. Vivyo hivyo hali ya kinyume tangu 1971 haiondoi kuwepo kwa nchi ya pekee nje ya China bara.
Pamoja na hayo, Taiwan inashiriki kama mwanachama wa kujitegemea katika taasisi na shirika nyingi za kimataifa; kwa majina tofauti kama vile "Chinese Taipei", "Republic of China", "Taiwan", "Taiwan (ROC)" na "Taipei, China".
Kati ya taasisi hizo ni WTO, IOC.
Menginevyo hatuwezi kuepukana na hali halisi kwamba serikali ya Jamhuri ya Watu wa China haikuwahi kuwa na mamlaka yoyote juu ya Taiwan.
Good moveChina has announced the end to the following cooperation with the US
1) Calls with leaders
2) Defense meetings
3) Maritime Security Consultation
4) Climate Change Talks
5) Anti-Drug cooperation
6) Transnational crimes
7) Illegal Immigration
Safi sana kiduku, Uchina wamesuasua sana kwenye kutoa kampani,Korea Kaskazini oyeeeee![emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2316153
Urusi ni mbabe sana 😂😂😂 US Gay hapo walikuwa wanyongenakumbuka vizuri sana hilo tukio pia liliongelewa sana marekani nilikuwa ndio nimeingia nikiwa mgeni mgeni na all the main news channels were broadcasting and castigating their government
wacha niongezee na video hapa
Tusishangae baada ya hii SMO, EU na mashirikisho mengine yote Ulaya yakasambaratishwa. The governments round the world are fast collapsing all because of one self-styled world prefect.Wazungu wa ulaya wameanza kuistukia Amerika
Restoring freedom and sovereignty should be a top priority for every European citizens, enough of US oppression, enough of leaders imposed by the US embassies, enough of degeneracy, every European nation should put its own interests above those of Washington/Davos psychopaths.
Mbona swali lake lipo ndani mada ya uzi ..... !!?Je una sababu maalumu kubadilisha mada?